Mazoezi ya kukata kiuno

Mazoezi ya kukata kiuno

ktk vitu ninavyojivunia aisee kiuno changu. namshukuru sana bibi yangu. cha muhimu wanawake jitahidini na hilo zoezi mara kwa mara mtaweza tu.
 
hatuna muda wa kukata kiuno bana, afanye fasta fasta tuwahi shughuli za kujenga taifa sie.
 
Hata mie sielewi kukata kiuno ukiwa unacheza mziki au yaleee mambo yetu,hapa video muhimu jamani!!!!!!!
 
Ni mwanaume
Anajifunza halafu anaenda kumfundisha my wife wake, sasa huko kwenye siasa anakoenda lol! Ni zito, mara nape mara lowasa, mara wamemuua waziri wa fedha,mara kiama cha chadema kimefika, yaani ni full stress


Kwani Bujibuji ni bidada?
 
Back
Top Bottom