Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
-
- #81
Halaf unanidanganyaga wewe siku zile ukasema eti nilikuchekesha mpaka ukagalagala kwenye matope uongo sio mzuri ujueYaan nimecheka mpaka nika kaa chini
Lakini wanawake wa Congo wanapenda sana wanaume wa kitanzania. Yaan ukimwambia mtakuja kuishi naye bongo hakuachi.
Huoni wanawake tupo kwenye maombi naomba utulie[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nani anisomee?
May be ndio maana vijana wanakimbilia huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] lazima wawe makini
Ndio nimependa sasa inakuaje?Tena huko walivyo masikini tunakuomba uoe nyumbani
Sawa tutafanya hivyoWamerogwa tuwape mpoozo kuwazindua
tumtafute dada mange tuandamane
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Halaf unanidanganyaga wewe siku zile ukasema eti nilikuchekesha mpaka ukagalagala kwenye matope uongo sio mzuri ujue
Wanawake wacongo wananuka kama nguruwe naomba ubaki nyumbani ntakupa mdogo wangu mzuri ila ndoa kwanza mechi baadae
Hata sisi ni keepers piaHahaha
Ila ukiwa nao they are keepers wanajua chance ya kuishi nchini ni adimu.
Nimeacha kabisa![emoji23] [emoji23] usilalamike sasa
HahahahahaHuoni wanawake tupo kwenye maombi naomba utulie
Uisjali we nipe namba tu ya wakala!Naomba utuhonge
Hapa pamenichefua....wanawake wa kitanzania wazuri,waaminifu,hawapendi pesa
Umalaya tu wanapika kisamvu wanachanganya na majani ya nini halaf hawakitwangi wanakatakata kama mchicha si utarudi umekonda weweMay be ndio maana vijana wanakimbilia huko
Maswala ya kwenda kununua mkate kwa laki moja hatutaki we unaenda kutuongezea umaskini tuNdio nimependa sasa inakuaje?
Sana mizigo ya bei rahisi bongo kila kitu kiko juu!!!May be ndio maana vijana wanakimbilia huko
Ujue malaya wa nje ya nchi ni bora kulikl malaya wa bongo.Umalaya tu wanapika kisamvu wanachanganya na majani ya nini halaf hawakitwangi wanakatakata kama mchicha si utarudi umekonda wewe
Hahahaha basi kama huwa nakuchekesha vizurii ,na zile dawa za mbu za zamani za duara unazikumbuka ziliitwaje?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kweli ujue huwa una tachi zako flani hivi yaan unachekesha haswa.
Watu mbali mbali wana harufu mbali mbali
Mfano wanaigeria wana harufu kama ya samaki but ukiwazoea hupati shda[emoji23]
Hapana mechi kwanza, naomba iwe hivo.
Mmh jamani mawifi mbona mnazingua!Maswala ya kwenda kununua mkate kwa laki moja hatutaki we unaenda kutuongezea umaskini tu