Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Ulichokiongea ni kweli kabisa.

Ukitaka mapishi oa mwanamke wa Kitanzania.
Mimi nilipata mzungu wa kuoa kabisa na akawa ananililia lakini.

Hakuna mwanamke km mwanmke wa kitanzania.
Nimeoa nyumbani Tanzania
 
Kumbe ulikuwa unanilaghai
 
hata chai tu,hakuna chai tamu kama ya Tanzania,
Ulichokiongea ni kweli kabisa.

Ukitaka mapishi oa mwanamke wa Kitanzania.
Mimi nilipata mzungu wa kuoa kabisa na akawa ananililia lakini.

Hakuna mwanamke km mwanmke wa kitanzania.
Nimeoa nyumbani Tanzania
 
I'm full of doubt kwenye "hatupendi pesa"....venye mnapenda pesa kama mlizaliwa bank [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Siku hizi unaniotea sana!!swthrt nenda tu Rwanda najua utarudi hapa,remember jana nlikuambia nini
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ukifika huko wanakuchemshia matoke hata nyanya hakuna,halafu hao wananjunjana wenyewe kwa wenyewe na lazima azae na ndugu yake japo katoto kamoja(hapa lazima usingiziwe mtoto) nakujua ndo maana nakuambia utarudi na nitakupokea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
weee Mama Sabrina hutaki tu kusema ukweli. Hemu jiangalieni kwanza mmekosea wapi? ama mnakosea wapi? ujue mtoto mpaka kuacha chakula anachopika mama yake na kwenda kula ka jirani hapo kuna walakin? Mbona hapo zamani hayakuwepo haya kwa nini sasa? ujue hapo kuna tatizo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…