Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,802
Ni afadhali tuoe Rwanda, au Burundi na kwingineko ktk Africa hii, Kuliko kuoa America ambako mpango wao ni kuharibu vizazi vya Waafrika wasizaliane pamoja na kuwadunga sindano za Vvu,Kansa, pamoja na kuwafanya watoto wa Kiafrika wawe na akili taahira.Ahahahaaaaaa ilimradi tuu atuharibie uchumi wa nchi yetu.
Niliumia baby acha kabisa, sema nikawa najipa moyo na kale kamsemo "try to let it go" [emoji26]Ila usijali i have you babe, haendi nje mtu hapa
Basi sawa hamna nenoNi afadhali tuoe Rwanda, au Burundi na kwingineko ktk Africa hii, Kuliko kuoa America ambako mpango wao ni kuharibu vizazi vya Waafrika wasizaliane pamoja na kuwadunga sindano za Vvu,Kansa, pamoja na kuwafanya watoto wa Kiafrika wawe na akili taahira.
HahahNiliumia baby acha kabisa, sema nikawa najipa moyo na kale kamsemo "try to let it go" [emoji26]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunataka mnyooke, hatutaki ujinga sisi mnatukwaza sana
Ongea point ueleweke, yani tangu nilivyo anza kusoma uzi wako tangu mwanzo had mwisho hauna mashiko kabisa yani ni pointlessness kabisa yaniau unatumia viroba, mapenzi yapo kokote na wote ni binadamu, jifunze kutumia lugha nzuri JF,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Ndio tunanyooka kuelekea nchi jirani sasa.
kujipendaa na kujikubali kuwa halisi ndio kila kitu...tamaa za kijinga kuziachaDefinitly
We mwanamke, umeanza kumuonea wivu hadi kiba na mimi nipo?
Naenda Rwanda karibuni!!
Hahahahaha huyo aoe ila ice man kaba kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Malawi mtafanya nchi iingie kwenye vitaMalawi au Rwanda kote huko ni sawa kabisa mkuu!
Afadhali hiyo, maana kila mwanamke nikikutana nae tukabadilishana namba, ndani ya dk 5 napigwa kizinga,unakuta "my naomba nitumie 5000 ya vocha".......
Sijui wananionaje .....[emoji848][emoji848]
Katumie lugha nzuri kule jukwaa la Elimu kakaOngea point ueleweke, yani tangu nilivyo anza kusoma uzi wako tangu mwanzo had mwisho hauna mashiko kabisa yani ni pointlessness kabisa yaniau unatumia viroba, mapenzi yapo kokote na wote ni binadamu, jifunze kutumia lugha nzuri JF,
Hahahahahaha uwiii ice mlainiNiliumia baby acha kabisa, sema nikawa najipa moyo na kale kamsemo "try to let it go" [emoji26]
Sihitaji mwongozo wala msaada nitafika tu nikitaka nisije jikwaa kwaa unajua ukiongozwa ongozwa hutafikaNiliumia baby acha kabisa, sema nikawa najipa moyo na kale kamsemo "try to let it go" [emoji26]
Rudi nyumbani kaka yangu,cha jirani cha jirani tuKwani kuna wanawake wangapi bongo hawajui kupika?
Je ni wanawake wangapi bongo hawakogi???
Je ni wanawake wangapi bongo wana maji?
Je ni wanawake wangapi bongo wanajua kusafisha papuchi???
Hakika hakuna mkamilifu hayo mapungufu walionao majirani zetu hata kwetu yapo..Pia wanawake bora tuliona hata kwa jirani zetu pia wapo...