Mazoea ya kulala bila nguo

Mazoea ya kulala bila nguo

Mashimo hayo yapi, mbona pua na masikio hufuniki ukilala
Hao wadudu hawayaoni
Huo ni uzwazwa kama uzwazwa mwingine tu.
Hakuna mdudu anaweza kuingia kwenye tundu la mwanadamu
Ikitokea ujue ni ajali kama ajali zingine bibi yangu
Nani kakwambia sijifuniki? Kwanza Kiislam haturuhusiwi kulala tupu kabisa.

Kihusu masikikio na pua, sijawahi kulala bila net (chandarua)
Bila net sipati usingizi.
 
Nikiwa uchi hata nikiwa mwenyewe ndani napoteza confidence, Unalala uchi unakuja kushtuka umepalalazi mwili wote ni shingo na kichwa tu vinafanya kazi sasa kuita msaada unaweza ila tatizo wakiingia wanakukutaje na ubaya hujanyoa muda sana
Pole, hiyo roho ya hofu, wasiwasi na uoga uwapata watu dhaifu kiroho.
Mwili upumua na kutulia zaidi usiku ukiwa umejilaza utupu
 
Ukilala bila ya nguo aka ukilalaa uchi unamkaribisha Jini mahaba akuvamie ukiwa ni mwanamume unalala pasipo na nguo jini mahaba wa kike ndio atakuw ampenzi wako.

Na ukiwa ni mwanamke unalaal pasipo na nguo jini Mahaba wa kiume ndio atakuwa mume wako kazi kwenu munaopenda kulala pasipo an nguo.
Ni ujinga na upumbavu mtupu kuamini mizimu
 
Mie kabla sikazalishwa Nilikuwa siwezi kulala uchi
Baada ya kuingia leba nikajionea kawaida,nikaanza kulala uchi,manake kule ni tupu bini wazi
Sasa sijakaa vizuri baba watoto akanidunga ya pili lol nikaanza kulala na jinsi🤣🤣
 
Kuna mwingine alikuwa na mchezo huo huo wa kulala uchi. Kipindi hicho kabla ya mita za luku kulikuwa ni vidude vinabandikwa kwenye mita sina hakika jina lake.
Wezi walikuwa wanavichomoa sana na hata Tanesco ilikuwa wanavichomoa kama hujalipa deni.

Ikatokea siku hiyo mwizi kachomoa hicho kidude usiku mkali, jamaa akakurupuka mbio kumkimbiza. Wenge la kutoka usingizini hakukumbuka kuwa hajavaa nguo.

Kuja kutahamaki keshakatiza nyumba kadhaa akiwa uchi kabisa.
Ilibidi aachane na mwizi arudi kujisitiri.
Hizo Ni ajali na utokea mara chache, kama kuunguliwa moto ukiwa bafuni unaoga ama wahuni wanaweza kukukomoa kuchukua taulo ukiwa bafuni ili wakuibie ndani
Zote hizo ni ajali, huwezi sema sitaoga tena uchii
 
Msimu wa Joto huu hapa ndio zile nyakati unatoka kuoga baada ya maji yatiririke jasho ndio linatoka wazee wa AC wanapeta tu na feni hazipo nyuma kupambana na joto afu kuna wazee wa kulala wakiwa watupu.

Kama wewe ni jinsia Ke basi Ruksa kulala bila nguo.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole
Ipo siku popo Bawa atakudinya aminini nakuchana
 
Mie kabla sikazalishwa Nilikuwa siwezi kulala uchi
Baada ya kuingia leba nikajionea kawaida,nikaanza kulala uchi,manake kule ni tupu bini wazi
Sasa sijakaa vizuri baba watoto akanidunga ya pili lol nikaanza kulala na jinsi
Hongera kwa kugundua dawa mpya ya uzazi wa mpango
Kumbe Jean inazuia kudungwa ya tatu na ya 4 sio
 
Msimu wa Joto huu hapa ndio zile nyakati unatoka kuoga baada ya maji yatiririke jasho ndio linatoka wazee wa AC wanapeta tu na feni hazipo nyuma kupambana na joto afu kuna wazee wa kulala wakiwa watupu.

Kama wewe ni jinsia Ke basi Ruksa kulala bila nguo.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole
Kulala uchi hapana. Labda ile nikiwa geto baada ya kumaliza kuchakata mbususu story mbili tatu ndio usingizi utupitie
 
Ndio maana wazungu waliweka night dress za wakati wajoto na wakati wa baridi wanamaana zao huwezi kulala uchi hata ukisex unavuliwa niggr dress acheni ushirikina
 
Nikiwa uchi hata nikiwa mwenyewe ndani napoteza confidence, Unalala uchi unakuja kushtuka umepalalazi mwili wote ni shingo na kichwa tu vinafanya kazi sasa kuita msaada unaweza ila tatizo wakiingia wanakukutaje na ubaya hujanyoa muda sana
Uko na Ufala Mwingi
 
Back
Top Bottom