Kuna uhusiano wowote kati ya umasikini na matiti kulala?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,490
Tukiachana na pale kati sehemu nyingine muhimu katika mwili wa mwanamke ni kifuani aisee kama na wewe ni titi lover basi you already know what I'm talking about.

Kuna vitu havihitaji kufanya tafiti rasmi kupitia life experience ya kila siku unajikuta umegundua jambo fulani sasa mimi nimegundua hichi kitu na ningependa kushare na wanajukwaa wenzangu pengine naweza kupata majibu sahihi.

Wanawake wengi tokea familia za kitajiri matiti yao yanabaki katika hali ya kusimama bila ya kujali age yao, kunyonyesha hata idadi ya wanaume aliopita nao.

Njoo upande wa pili kwenye umasikini asilimia kubwa ya mabinti wadogo na wanawake tayari matiti yameanguka wengine masikini hata hawajahi kunyonyesha lakini titi lishakuwa chapati kimsingi inakata hususani kwa sisi titi lover.

The same nchi zilizoendelea kama za Ulaya ni nadra sana kukuta wanawake wakiwa na matiti yamelala labda wazee sana njoo nchi za kimasikini ni hatari tupu matiti yamelaliana hatari.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
 
Tukiachana na pale kati sehemu nyingine muhimu katika mwili wa mwanamke ni kifuani aisee kama na wewe ni titi lover basi you already know what I'm talking about.

Kuna vitu havihitaji kufanya tafiti rasmi kupitia life experience ya kila siku unajikuta umegundua jambo fulani sasa mimi nimegundua hichi kitu na ningependa kushare na wanajukwaa wenzangu pengine naweza kupata majibu sahihi.

Wanawake wengi tokea familia za kitajiri matiti yao yanabaki katika hali ya kusimama bila ya kujali age yao, kunyonyesha hata idadi ya wanaume aliopita nao.

Njoo upande wa pili kwenye umasikini asilimia kubwa ya mabinti wadogo na wanawake tayari matiti yameanguka wengine masikini hata hawajahi kunyonyesha lakini titi lishakuwa chapati kimsingi inakata hususani kwa sisi titi lover.

The same nchi zilizoendelea kama za Ulaya ni nadra sana kukuta wanawake wakiwa na matiti yamelala labda wazee sana. njoo nchi za kimasikini ni hatari tupu matiti yamelaliana hatari.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
Hii ni mpya.
 
Back
Top Bottom