Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Ngojea yakukute hiyo mizimu ndipo utakapojuwa kuwa ni upumbavu au matatizo. Ninakupa Test chukuwa udi wa vijiti 4 unapoa lala usiku washa udi zote kisha weka kila pembe ya kitanda chako kisha lala fanya hivyo kwa muda wa siku 3 utaona jinsi jini mahaba atakavyokujia usiku na kufanya nae mapenzi kama ni wewe ni mwanamke atakujia jini mahaba wa kiume la kama wewe ni mwanamume atakujia jini mahaba wa mwanamke na utafanya nae mapenzi utastarehe huna haja tena ya mwanamke wa au Mwanamume wa kibinadamu fanya hivyo uje utupe mrejesho wako. Au njia ingine iliyo rahisi fanya hivi kila siku usiku kabla ya kulala vua nguo zako uwe uchi kisha jiangalie katika kioo kwa muda wa dakika 10 kisha nenda kalale usingizi fanya hivyo siku 3 utakuja kuleta mrejesho wako hapa ninakutakia mafanikio mema jaribu uone kama kweli kuna nguvu ya mizimu au upumbavu.Ni ujinga na upumbavu mtupu kuamini mizimu
Jini Mahaba wa kike Succubus.
Jini Mahaba wa kiume anayeitwa kwa jina INCUBUS