Mazoea ya kulala bila nguo

Mazoea ya kulala bila nguo

Nikiwa uchi hata nikiwa mwenyewe ndani napoteza confidence, Unalala uchi unakuja kushtuka umepalalazi mwili wote ni shingo na kichwa tu vinafanya kazi sasa kuita msaada unaweza ila tatizo wakiingia wanakukutaje na ubaya hujanyoa muda sana
Hahahahaha

Acha basi kuwaza -.
 
Popobawa anawafuata wanayempenda na kumtajataja.
Kama unampenda Mungu, malaika watakuwa wanakuhakikishia ulinzi ukiwa umejilalia uchi mwili unapumua vzr na akili inafanya detoxification kwa ajili ya kupambana na kesho.
Sawa ndugu
 
Msimu wa Joto huu hapa ndio zile nyakati unatoka kuoga baada ya maji yatiririke jasho ndio linatoka wazee wa AC wanapeta tu na feni hazipo nyuma kupambana na joto afu kuna wazee wa kulala wakiwa watupu...
Ukilala bila ya nguo aka ukilalaa uchi unamkaribisha Jini mahaba akuvamie ukiwa ni mwanamume unalala pasipo na nguo jini mahaba wa kike ndio atakuwa mpenzi wako.
Na ukiwa ni mwanamke unalaal pasipo na nguo jini Mahaba wa kiume ndio atakuwa mume wako kazi kwenu munaopenda kulala pasipo an nguo.
JINI MAHABA.jpg

Succubus Jini Mahaba wa kike anaye penda kufanay mapenzi na wanaume usiku wakilala uchi.

INCUBUS JINIA MAHABA WA KIUME.jpg

INCUBUS Jini Mahana wakiume anaye pendakuwaingilia na kufanya nao Mapenzi wanawake wanaopenda kulala usiku wakiwa wapo uchi. au wanawake wanaopenda kujiangalia kwenye kioo wakiwa wapo uchi.
 
😂 😂 😂 😂 nishakua pro sasa, kimya kimya dk sifuri tu
uwe chumba cha pili hujui kama nakwea
🤣🤣🤣🤣
Unanikumbusha mshkaji wangu mmoja wa arusha, mdau sana wa hizo mambo, wakati tuko chuo Kuna siku aliniadisia eti kule mtaani kwao kuna siku walikuwa wanapiga story kijiweni bac ukazuka ubishani kwamba hamna mtu anaweza kupiga na mate.

Basi kuna mwamba mmoja akasema wekeni hela ni nakipiga hapahapa nakitoa, bac bhana wakamwekea elfu tano, mshkaji akaulambisha mkono mate akageukia ukutani kimya kimya kama anakojoa vile, masela wanamsikilizia wanasikia tu miguno baada ya dakika dakika tano akageuka akawaambia angalieni ukutani hapo, achukue hela yake huyo🏃🏃🏃🏃
 
Kuna jamaa alikuwa na mchezo wa kulala uchi ghafla palitokea moto kwake. Katika purukushani za kujiokoa alijikita yupo nje ya nyumba korodani zinatingishika.
Ha ha ha ha ha......................!
 
nikipiga bila mafuta, au bila picha au video , nachelewa sana
maana inabidi nitengeneze film yangu kichwani na ni concentrate vizuri kuishona, ukinisemesha tu, naanza upya
We kweli mbahili👏👏👏

Unashindwa kuvuta msukuma mweupe hapo geto ukamkaza🤣
 
Kuna jamaa alikuwa na mchezo wa kulala uchi ghafla palitokea moto kwake. Katika purukushani za kujiokoa alijikuta yupo nje ya nyumba korodani zinaning'inia wazi kabisa.
kuna mama mmoja alitoka nje ya nyumba yake uchi hana hata chupi na brazia, yuko kama alivyozaliwa baada ya nyumba yake kuanza kuwaka moto kitandani kwa kusababishwa na kibatari kilichokuwa kikiwaka karibu na net. Ishu ya kulala bila hata chupi hata kama uko peke yako ni kasheshe pindi hatari yoyote ikitokea ndani ya nyumba. Moto na nyoka ni tishio ndani wakifuatiwa na 'popo bawa'. Si vizuri kulala uchi kama hakuna shughuli ya kufanya inayokulazimisha uwe uchi kama tendo la ndoa. Ukimaliza kufanya tendo la ndoa vaa nguo za kulalia ulale salama. Halafu si vizuri kulala uchi huku mkiwa wanaume watupu kuna wengine hupandwa na mzuka wa kumpapasia mwanaume mwenzake mtulinga, kama vipi ni marufuku kulala kitanda kimoja wanaume watupu la sivyo vaaeni majinsi na mkaze mikanda. Ke na ke poa
 
Kuna mwingine alikuwa na mchezo huo huo wa kulala uchi. Kipindi hicho kabla ya mita za luku kulikuwa ni vidude vinabandikwa kwenye mita sina hakika jina lake.
Wezi walikuwa wanavichomoa sana na hata Tanesco ilikuwa wanavichomoa kama hujalipa deni.

Ikatokea siku hiyo mwizi kachomoa hicho kidude usiku mkali, jamaa akakurupuka mbio kumkimbiza. Wenge la kutoka usingizini hakukumbuka kuwa hajavaa nguo.

Kuja kutahamaki keshakatiza nyumba kadhaa akiwa uchi kabisa.
Ilibidi aachane na mwizi arudi kujisitiri.
 
appointments huwa zinavunjika masaa machache kabla ya game
nikishakwea tu, chap nafuta chats, nazima na simu, nachukua 15k nadaka pisi 3 za mbuzi, na Nectar Ceress ya baridi kabisa
We simu yako itakuwa imejaa madudu, tena ulivokuwa mjanja mjanja utakuwa umeyaficha kitaalamu, wazee wa nukta(.) kabla ya name of file huku file lenyew limefichwa kweny folder ya notifications.

HA HA HA HA HAAAAH
 
hahahaha, simu wala haina kitu(kuna video moja tu) hii hasa umeme ukikatika ndiyo naitumiaga, natoka hapo nasweat mbaya
PC ndiyo kuna mautam ya kufa mtu
 
Ukilala bila ya nguo aka ukilalaa uchi unamkaribisha Jini mahaba akuvamie ukiwa ni mwanamume unalala pasipo na nguo jini mahaba wa kike ndio atakuw ampenzi wako.Na ukiwa ni mwanamke unalaal pasipo na nguo jini Mahaba wa kiume ndio atakuwa mume wako kazi kwenu munaopenda kulala pasipo an nguo.
Basi kuanzia Leo nianze kulala uchi jini mahaba akaribie kwangu maana kulala Peke yangu na baridi hii upwiru unakaba koo
 
hahahaha, siku wala haina kitu(kuna video moja tu) hii hasa umeme ukikatika ndiyo naitumiaga, natoka hapo nasweat mbaya
PC ndiyo kuna mautam ya kufa mtu
Mm siwez eka kweny PC aisee🤣🤣🤣
Nikiweka kweny PC Sitafanya kazi maana najijua, bora zibaki hukohuko online.
THUBUTU.
 
Kuna jamaa alikuwa na mchezo wa kulala uchi ghafla palitokea moto kwake. Katika purukushani za kujiokoa alijikuta yupo nje ya nyumba korodani zinaning'inia wazi kabisa.
Ni ajali kama ajali zingine tu,
Hizo nguo zingekuwa na maana tungezaliwa nazo

Me binafsi liwe joto ama baridi nalala uchiii kabisa.
Labda ugenini pekee
 
Back
Top Bottom