Serikali ya Jamuhuri ya Muungano.Hao TBS nao wanathibitishwa na Nani?
"Maziwa ya AZAM Milk" eeeeeh!!!!!!Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
Teh teh teh teh mnanivunja mbavu wana jf.nipo na fursana bariiiiiiiiid hapaMi kuna siku nilikunywa Fursana nikaota nakimbizwa na fisi
Azam hawafanyi makusudi, ndio viwango vya bidhaa zao hizo na tbs ndio viwango vyao. Ukilinganisha na bidhaa nyingine utagundua viwango vyao viko chini. Hata juice,fizzy drinks zao viwango ni vya chini sana.Mfanya biashara km Azam hawezi kufanya upuuzi wa namna hio hata siku moja.
We unafahamu kosa la Kuwauzia wananchi Chakula au kinywaji kilicho nje ya kiwango?
Kwa upuuzi huo anahatarisha Kufungiwa VIWANDA VYAKE VYOTE na Kupigwa Faini ya mamilioni ya pesa.
Maziwa ya Azam yananywewa na Mamilioni ya watanzania.
Sasa itokee hata watu 100 tu wapelekwe hospital kwa matatizo ya hayo maziwa Ujue Azam tumo ktk SHIDA kubwa sana.
Hawa wanaohara ovyo ni Walevi wa Pombe za buku jero!
Ukute maisha yake yote bia anakunywa Christmas mpk Christmas au apewe divai ya bure kanisani.
Matokeo yake tumbo limezoa Gongo. Sasa likikutana na maziwa hali ya kuwa liko Tupu anahara ovyo .
Watakufa Kwa Gongo hawa watu.
Nilikunywa yale makubwa yalikua machungu cjui walizidisha chemical, hayalipi
Soma unachoandika Prondo.Azam hawafanyi makusudi, ndio viwango vya bidhaa zao hizo na tbs ndio viwango vyao. Ukilinganisha na bidhaa nyingine utagundua viwango vyao viko chini. Hata juice,fizzy drinks zao viwango ni vya chini sana.
KUNA SIKU NILIYANYWA NI MACHUNGU ULE WA KLOROKWIN SIKUJARIBU WALA SITAJARIBI TENANishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
Sema hamyamungu...KUNA SIKU NILIYANYWA NI MACHUNGU ULE WA KLOROKWIN SIKUJARIBU WALA SITAJARIBI TENA
Kwa nini usinywe ya ng'ombe tuuu yanapatikana kwa wingi? Hata kama ushakunywa sumu utamlaumu nani?Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
Basi sawa. Ukibadili mawazo nakusubiri PM.HAHAHA UTANIFANYA NIWE NAKUWAZA BHANA
NIACHE MIE
Teh teh teh teh mnanivunja mbavu wana jf.nipo na fursana bariiiiiiiiid hapa
watu wanadai eti ana shamba la ng'ombe UngujaHivi huwa ananunua maziwa kutoka kwa wakulima au anafuga ng'ombe au ni chemicals?