Mazishi ya Prof. Jwan Mwaikusa

Ni kweli sijawahi kusikia mtu kafungwa kisiasa ktk vipindi vya miaka mitano ya VASCO... ila tumeshuhudia assassinations za ajabu ajabu kwa kisingizio cha majambazi, ajali n.k. Hivyo nadhani Vasco ametuma ujumbe kwa wana JF kuwa mnapokosoa mjue siku rungu litawashukia. Tuombe MUNGU awaline akina invisible maana bila hivyo ishu itakuwa ishu.
Maneno ya Rais yanapaswa kuchujwa na kuhifadhiwa kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo. Tena LHRC wanapaswa kuipeleka segment ya hutuba hii The Hague ili waone dhamira iliyopo kwenye mistari ya mpewa dhamana.....

.
Hivi kweli jamaa ni smile killer? Ila kweli kauli yake bungeni inatakiwa iingizwe kwenye historia. Hii ni kauli inayotolewa na marais kama kina Bokasa,Mabutu, idd amiin nk. Kina Mwaipopo, Msope kaeni chonzo!!
 
Asante Invisible, wanabodi poleni, nilikwama mahali, na sio vibaya tukisaidiana ili kesho nisikwame tena.
Kwa kawaida hutumia Nokia E90 kupost JF na Backbery Storm 9500 kulog JF 24/7 kwa sababu mtandao wa blacbery internet ni bure.

Baada ta technology kupanda, nikaachana na E90 na kutumia N97. Leo from no where Blackbery just went black screen hivyo niliona inadim tuu. Na hiki ki N97 ni kimeo, log in kwa JF hakikubali, wala ukipost kitu hakiendi.

Kama kuna yoyote mwenye N Series naomba anijulishe anafanya nini kupost JF.
Blackbery storm najua zina kichaa, matatizo ni hayo tuu.
Asante tena Invisible.

.
I phone na sonyericsson(smart phone) ni bomba kwenye internet mkuu. Nokia is not suitable phone in internet connections.
 
Asante Invisible, wanabodi poleni, nilikwama mahali, na sio vibaya tukisaidiana ili kesho nisikwame tena.
Kwa kawaida hutumia Nokia E90 kupost JF na Backbery Storm 9500 kulog JF 24/7 kwa sababu mtandao wa blacbery internet ni bure.

Baada ta technology kupanda, nikaachana na E90 na kutumia N97. Leo from no where Blackbery just went black screen hivyo niliona inadim tuu. Na hiki ki N97 ni kimeo, log in kwa JF hakikubali, wala ukipost kitu hakiendi.

Kama kuna yoyote mwenye N Series naomba anijulishe anafanya nini kupost JF.
Blackbery storm najua zina kichaa, matatizo ni hayo tuu.
Asante tena Invisible.
Nami nina simu kama yako lakini haiposti pia.Labda nitapata ufaham kupitia JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom