Mazishi ya malaya

Mazishi ya malaya

Usichojua hiyo ni mila ya kabira la ga-adangbe lipo huko Ghana ambapo wenyewe mtu ukifa unatengenezewa jeneza kulingana na kazi uliyokuwa unaifanya, kama ulikuwa nesi bas jua utatengenezewa jeneza kama sindano, kama ni dreva jua unachongewa gar hivyo hvyo na kwa kaz nyingine

Umenifanye niende nikasome Wikipedia

Asante nimejifunza maajabu ya dunia hii
 
Umenifanye niende nikasome Wikipedia

Asante nimejifunza maajabu ya dunia hii
Wewe ni scholar. Bika shaka umeshawajua watu wa Ghana. Je, ungekufa jeneza lako lingekuwaje? Unapendelea nini?
 
Yalaaaaàa hataree..
Ila sasa mbona wamesahau kuweka na pyumbu kabisa..
 
Duuuuuh afu lina ng'aa mnooh bila shaka limepakwa durex. [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom