Mazishi ya malaya

Mazishi ya malaya

Atakayemhukumu ni Mungu wake tu huko aendako,haya majeneza ni kujifurahisha nafsi tu na kujidhalilisha
 
Usichojua hiyo ni mila ya kabira la ga-adangbe lipo huko Ghana ambapo wenyewe mtu ukifa unatengenezewa jeneza kulingana na kazi uliyokuwa unaifanya, kama ulikuwa nesi bas jua utatengenezewa jeneza kama sindano, kama ni dreva jua unachongewa gar hivyo hvyo na kwa kaz nyingine
 
kuna mtu alisema duniani hamna jipya tena..

akipita hapa akaona hiki kitu atafunga bakuli..
 
Usichojua hiyo ni mila ya kabira la ga-adangbe lipo huko Ghana ambapo wenyewe mtu ukifa unatengenezewa jeneza kulingana na kazi uliyokuwa unaifanya, kama ulikuwa nesi bas jua utatengenezewa jeneza kama sindano, kama ni dreva jua unachongewa gar hivyo hvyo na kwa kaz nyingine
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom