Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Tuko kwenye msafara kuelekea sokoni I kwenda kumpumzisha ndugu, mpendwa wetu Judy William,nitawaletea kitakachokuwa kinajili.
.
==============================
Picha za Makaburini
==============================
.
Picha za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I Judith William Moshi, alie uwawa na kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya soweto jijini Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe 15.06.2013, uchaguzi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16.06.2013...
View attachment 98624
View attachment 98625
View attachment 98627Marehemu wengine walisafirishwa juzi usiku kuelekea Tanga na Tabora huku jana majeruhi mwingine akiaga dunia kwa bomu na risasi za tarehe 15.06.2013..![]()
CCM mna pesa na majeshi, CHADEMA tuna MUNGU na WATU...hamtatuua wapenda mabadiliko wote nchini...
==============================
Picha za Makaburini
==============================
Attachments
Last edited by a moderator: