Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
- Thread starter
-
- #41
kule Ghana kama ulikuwa ni profesa basi jeneza lako linatengenezwa kama kitabu, kama ni mwanamuziki hilo jeneza linachongwa kama gitaa, au kama ni rubani basi jamaa wanakuchongea kama ndege vile n.k!!!aaaaa haya ndo mazishi anayezikwa hapo cjui yy alikuwa anavaaje!!!!
wale wa upande wa pili ndio wanaruhusu akina mama msibani !
Daktari Bingwa wa Moyo, jeneza shape ya moyo, Je daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake jeneza litakuwa na shape gani? Mkuu Askari Kanzu.kule Ghana kama ulikuwa ni profesa basi jeneza lako linatengenezwa kama kitabu, kama ni mwanamuziki hilo jeneza linachongwa kama gitaa, au kama ni rubani basi jamaa wanakuchongea kama ndege vile n.k!!!
Afadhali angevaa nyeupe kama ile yako eh?kwa wengine wote ningeweza kutojali lakini huyo mwenye kichupi duh! Hawezi kupita bila kupingwa.
Jamaa itabidi wakuchongee tu. Cheki hili jeneza la mvuvi kwa mfano!Daktari Bingwa wa Moyo, jeneza shape ya moyo, Je daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake jeneza litakuwa na shape gani? Mkuu Askari Kanzu.
Mkuu hujajibu swali la Msingi, nataka shape ya jeneza la gynaecologist, i.e Dkt Bingwa wa wanawake.Jamaa itabidi wakuchongee tu. Cheki hili jeneza la mvuvi kwa mfano!
Afadhali angevaa nyeupe kama ile yako eh?
Jamaa itabidi wakuchongee tu. Cheki hili jeneza la mvuvi kwa mfano!
kule ghana kama ulikuwa ni profesa basi jeneza lako linatengenezwa kama kitabu, kama ni mwanamuziki hilo jeneza linachongwa kama gitaa, au kama ni rubani basi jamaa wanakuchongea kama ndege vile n.k!!!
nataka kujua km ulikuwa changudoa jeneza lako linakuwaje?
Kweli,ila huyo mwenye kichupi cheusi namfahamu anaitwa Zubeda sasa sijui ni wa upande ule wapili?maana jina tuu linamtambulisha ni wa upande wetu bwana Ally Kombowale wa upande wa pili ndio wanaruhusu akina mama msibani !
Iyo picha itabidi nikaiweke kule kwenye jukwaa la wakubwa lakini Invizibo bado hajanipa ufunguo!Mkuu hujajibu swali la Msingi, nataka shape ya jeneza la gynaecologist, i.e Dkt Bingwa wa wanawake.
hii kali, siamini kama haya yalikuwa ni mazishi heeh!utafikiri wako casino