Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,109
- 18,326
Msoga sio ikulu.
Kule Tanga kwa mzee mkapa sio ikulu
Musoma kwa baba wa taifa sio ikulu
Chato pia sio ikulu.
Mazingira ya ikulu ni ya kipekee sana , kunaninvestiment nyingi sana zimefanyika na kila facility ipo vizuri.
Wengi tumeona mazingira ambayo waziri wa sheria aliapishwa ( sijui kama katiba inaruhusu mtu kuapishwa nyumbani kwa mtu)
Huku kuku wana piga kelele, mara sijui dirisha halija kaa vizuri,
Ninacho taka kusema labda awe fisadi ndio atakua na makazi yanayo lingana na ikulu.
Sasa unapo kua na mkutano kama wa sadc au EAC background nayo inazungumza kwenye mkutano.
Ingekua aibu sana kwa Tanzania kwa mazingira yale ya mzee kuonekana nje ya nchi. Ana nyumba nzuri sijui pesa kapata wapi lakini hazija jengwa kitalaam au kisasa, zimejengwa kwa nguvu ya hela.
Kwa hiyo hili swala la mkuu kukaa kijijijini kwake linaleta shida sana.. na linaweza chukua muda mrefu sana kwa sababu maambukizi yakienea utashangaa kakpeni za uchaguzi anapigia akiwa chato.
Ni vizuri Rais arudi Ikulu
1. Ni salama zaidi
2. Facility za kutosha
3. Usalama wake utakua poa zaidi
4. Coordination ni rahisi zaidi
5. Gharama kwa sababu watukishi wote alio enda nao wanalipwa as if wapo kwenye ziara .
Imagine chato ingeonekanaje hapa. Afadhali alikacha mkutano watanzania tusiabike.
Sent using Jamii Forums mobile app