Hata baada ya Mkoba bado palikuwa poa sanaYunus, mzee wa 'the himalayas','the hullabaloos'. Smart man Malima, Mzungu Peter na radio yake ya kuamshia mabwenini,akina Beda, mzee Muna etc. Naamini enzi za Mzee Mkoba ndio the best baada ya kutaifishwa shule toka Alliance School.