Nimemuelewa hoja yangu ni kwamba kwanini aseme gari inashida kwasababu spare ni gharama? Kwanini zile taa walimtengenezea ili akazivunje au azitumie barabarani kuangaza mwanga wa kuona akiendesha gari?Mkuu, jamaa kwenye uzi wake hajasema kuwa gari lina shida ila amesema linamfilisi kwa kuwa vipuri vyake na service ni vya gharama sana. Mfano hiyo service, ni kama amewatahadharisha wengine wataotaka kununua CX5, wajue wanachokiingia
Mkuu kwenye bandiko lake hakuna mahali amesema gari ina shida. Kuhusu ughali wa spea, chukulia kuwa taa ingevunjika kwa kugongwa jiwe lililoruka baada ya kukanyagwa na gari lingine - bado bei ingekua ni Tshs. 1.5m ndio anayoisema sasa kuwa ni ghali sana.Nimemuelewa hoja yangu ni kwamba kwanini aseme gari inashida kwasababu spare ni gharama? Kwanini zile taa walimtengenezea ili akazivunje au azitumie barabarani kuangaza mwanga wa kuona akiendesha gari?
😂😂😂😂😂😂😂😂 Jibu tu kama mmiliki wa chombo.Chombo chochote cha moto huwaga akuna ugumu wa kuinunua hata kama ni pikipiki. Linapokuja sual la service ndio watu huchanganyikiwa.
Nmeletewa hapa quotation nataka badili drive belt, nmesema ngoja nimalize chai ndio nijibu text yake, vingine na hii asira plus njaa naweza mtukana fundi
EehSiku ikishushwa engine si utajifia!
Tutakuwa na magari mapya kwenye barabara mbovu. Nisawa na unawe miguu alafu uanze kanyaga chiniTunahitaji kiwanda cha Magari hapa hapa nchini
Mchina akija kufungua duka lake wanaanza kusema anaingilia biashara za wazawaMazda toka lini ikawa na parts bei juu mkuu ni vile wauzaji wanaamua kuweka mazingira magumu tu hiyo ni sawa na VW polo au GTI parts zake sio bei kubwa shida wauzaji wa Tanzania wanaua sana...
Mchina anauza vya kuchakachua sana mkuuMchina akija kufungua duka lake wanaanza kusema anaingilia biashara za wazawa
Unahisi hizo zilizokuwa madukani zinatokea wapiMchina anauza vya kuchakachua sana mkuu
Service ni uzembe?Bado hujaonyesha ubovu wa hiyo gari.
Zaidi umeonyesha uzembe wako.
Sihisi kwa sababu parts ndio sehemu yangu zipo za China na Nchi zingine ambazo nao wanatengeneza kwa ubora zaidi na zilizotumika pia.Unahisi hizo zilizokuwa madukani zinatokea wapi
kiongozi mbona kama unaanza kumwonea wivu uyu jamaa? hutaki wanakijiji nao wajue kama saivi jamaa nayeye anamiliki mnyama mwenyewe CX5Kulikuwa na ulazima kwenda nayo kijijini
Angeenda nayo kipindi cha kiangazi angeosha vizuri huku kijijini kwao ila kipindi cha mvua anaua gari.kiongozi mbona kama unaanza kumwonea wivu uyu jamaa? hutaki wanakijiji nao wajue kama saivi jamaa nayeye anamiliki mnyama mwenyewe CX5
Rumion taa 180k tu, popote unapata hata mbagala kizuiani.Njoo nipe hio nikupe rumion yangu vipuri sio ghali