Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji

Af mkuu samahani mabeki tatu pia ni watu bora sana na muhimu kwetu sote. hata aliyekuwa beki tatu anaweza kumiliki beki tatu kwa sikuza baadaye.

muulize shemela bin wifi amewahi fanya kazi pale IIala Boma maghorofani? opp. na ofisi ya mkuu wa mkoa? siku za nyuma kidogo sura siyo ngeni
Sijakuelewa kijana.?!
Au wewe unataka kusema huyo beki tatu?!
Utapotea aisee anaweza kukunua huyo mama sawa.
Never understimate the one whom you don't know.
 
Si tatizo wewe ni mwafrika unaweza kwenda nchi yoyote kwa ticket ya uafrika? Tz tuna Masai na Kenya ivo ivo Masai wa tz anaweza kwenda bila utaratibu Kenya? Kila kitu kina utaratibu wake
Muisraeli ni myahudi popote alipo duniani akirudi kwao ruksa haulizwi wala kuzuiliwa kuishi hapo
 
The Bantu (also called Jareer , Gosha, and Mushunguli ) are an ethnic minority group in Somalia who primarily reside in the southern part of the country, near the Juba and
Shabelle rivers. They are descendants of people from various Bantu ethnic groups, who were acquisitioned from
Southeast Africa and sold into slavery in Somalia and other areas in Northeast Africa and Asia as part of the 19th

Ahaa! hha:D:D:D !hhhaa! te! te! :D :D :D :D teh! kumbe naongea na mtotoooo! ndo maana.

any way nimekusamehe bure. usiniulize kwani wewe mungu unanisamehe? yes! sababu mie ni mungu. nimeumbwa kwa mfano wake. najua nyie hamna sifa ya kuwa miungu ni watu tu. sijui mmeumbwa kwa mfano wanani. hapo sielewi labda unijuze

Kuhusu yangu picha wala usipate taabu mimi km unavyoniona hapo sifichifichi sura yangu. but one thing weye na mchumba wako mbona mna pua pana kama pipe ya Meli? mbali na hilo Lips kubwa sana hizo ni za kibantu, across both of you. mke mzuri unamjua kwa kuangalia lips zake hongela kwa hilo uta enjoy!

wewe una matatizo na usomali? kama ndo ivi ulivo ni bora ujitanabaishe tu na ubantu yaishe, kule haupo baba muulize mzazi vizuri ilikuwaje ukawa mbantu? au kwa ushauri mzuri tu fanya plastic surgery kama unapenda kuwa msomali siku hizi baba bei imeshuka,

NANI NI NANI;
Wasomali wana fish lips, kama yule mbabe wa vita Mohamed Farah idid, au Rais canal Siad barreh!

kama huyu ni wewe kweli tegemea Wasomali wakutenge sana, ujue wale watu ni balaa kwa ubaguzi kuliko mbaguzi mwenyewe, bora ungekuwa na rangi km yangu then pua iende mbele kidogo, nilikaa nao, nimesoma nao hao nawajua in and out.
Asa kama haujui kuna major ethnic groups and minor kule somalia.
Kabila moja wapo ni hilo somali-bantu.
Na mm nina originate hapo.
Ila tabu ilokuwepo ni pale sisi kuchanganyika na wamahara.
Wanabagua sana.
Nashukuru sibaguliwi ila wanyamwez waliotusitiri hawathaminiwi.
SIKU NYINGINE UKOME KUNIITA MTOTO KWASABABU UKO NOVICE SANA.
EMBU CHEKI HIZO IMAGES WAWEZA SEMA NI WASUKUMA KUMBE SOMALI BANTU TRIBE.
WANAKAA SOUTHERN PART OF JUBA.
KAMA UNA LINGINE ONGEA.
NA USIMFANANISHE MY GIRL NA BEKI TATU MAANA ANA UWEZO HATA WW HUMUINGII.
ASHAACHIWA NYUMBA NA BIASHARA NA MDOGO MNO YANI 22 YEARS WE MLIMA MCHICHA STAY SILENT
images-1.jpeg
images.jpeg
 
Occupying the south-central portions of the country, Hawiye (part of the Irir clan family) is probably the largest clan within Somalia, while Darood is the largest clan among all Somalis across borders. ... Minorities
Bantu - somali
Benadiri.
Gaboye.
Soma kabila la pili toka hawiye great tribe.
Hapo sawa mkuu
 
Ahaa! hha:D:D:D !hhhaa! te! te! :D :D :D :D teh! kumbe naongea na mtotoooo! ndo maana.

any way nimekusamehe bure. usiniulize kwani wewe mungu unanisamehe? yes! sababu mie ni mungu. nimeumbwa kwa mfano wake. najua nyie hamna sifa ya kuwa miungu ni watu tu. sijui mmeumbwa kwa mfano wanani. hapo sielewi labda unijuze

Kuhusu yangu picha wala usipate taabu mimi km unavyoniona hapo sifichifichi sura yangu. but one thing weye na mchumba wako mbona mna pua pana kama pipe ya Meli? mbali na hilo Lips kubwa sana hizo ni za kibantu, across both of you. mke mzuri unamjua kwa kuangalia lips zake hongela kwa hilo uta enjoy!

wewe una matatizo na usomali? kama ndo ivi ulivo ni bora ujitanabaishe tu na ubantu yaishe, kule haupo baba muulize mzazi vizuri ilikuwaje ukawa mbantu? au kwa ushauri mzuri tu fanya plastic surgery kama unapenda kuwa msomali siku hizi baba bei imeshuka,

NANI NI NANI;
Wasomali wana fish lips, kama yule mbabe wa vita Mohamed Farah idid, au Rais canal Siad barreh!

kama huyu ni wewe kweli tegemea Wasomali wakutenge sana, ujue wale watu ni balaa kwa ubaguzi kuliko mbaguzi mwenyewe, bora ungekuwa na rangi km yangu then pua iende mbele kidogo, nilikaa nao, nimesoma nao hao nawajua in and out.
Aya hongera kwa kutaka kujua na kuufaham ukweli.
Wacha nifute sasa maana si vema kuacha pics km hv
 
Lini? Wapi?

Kama ni kweli jibu hayo maswali ewe mfuasi wa Bwn. Mudy wa mecca

Nyie wa2 wa ajabu ktk huu ulimwengu,,,mkiambiwa wazungu/yahudi wanatutambua cc ni wanyama/sokwe mnakataa katata wakati yametokea kwenye macho yetu weusi wanatupiwa maganda ya ndizi na maneno kibao ya kibaguzi,,,lakini linapokuja swala la waarabu kutesa babu zetu mnaamini bila ushahidi wowote wakati ni propaganda za mashoga zenu na kuwakaririsha nanyi mkaamini. Hivi mmerogwa nyie?? Nauliza tena mmerogwa?? Dahhhh kila mara tunarudia hayahaya maneno lakini hamuelewi tu.
 
Kama huwezi kuandika kiswahili fasaha rudi darasani ewe mfia dini,waarabu na waajemi wagombanie mipaka huko mashariki ya kati,wewe mlala hoi hapa bongo inakuuma.
sijui ni lini sisi Waafrika tutakuwa huru..dini za mashariki ya kati zinatumaliza kifikra sana!
 
NIMESOMA POST ZAKO WW KAMA SIO MPUNGUFU WA AKILI ULIKUWA UNAUMWA BRAIN TUMOR SIO BURE.
HIV UNAJUA MAANA YA REFUGEE?!
WE FIKIRIA UMBALI TOKA LIBYA MPAKA ZENJI NI KIASI GANI.
HALAFU UNAROPOKA KM UMETIWA MKUYEYE HUJUI UNALOONGEA.
WE NAN KAKWAMBIA OMAN KUNA MACHAFUKO?!
KAMA HAUJUI BASI MAANA UNAROPOKA PASI NA ELIMU YEYOTE.
HAKUNA WATU WANAOKIMBIILIA TANZANIA KAMA WAARABU NA WAMEWEKEZA KINYAMA.
MM MSOMALI NINA NDUGU WAARABU WA YEMEN MAHARA.
NA WANAKUJA HUKU KM UTITIRI NANI ANASHOBOKEWA HAPO?!
TENA WENGINE WAKIMBIA VITA.
NA KAMA HUJUI MOROCCO INA WAKIMBIZI WENGI TU WA LIBYA KUKU WW NA FALME ZA KIARABU WANAKIMBILIA SANA PAMOJA NA QATAR TENA QATAR WANATOA HADI MSAADA WA KIPESA HUSUSAN KWA WAPALESTINES.
WEWE KUNYWA KWAKO GONGO WAJA ROPOKA MAMBO HATA HAYAELEWEKI.
UNAPOONGEA MAKE SURE UNA UHAKIKA NA UNALOONGEA SIO KUROPOKA KAM UMEKALIA UKUNI ETI MNAJIPENDEKEZA.
Na kama HAUJUI WAARABU WANAKIMBILIA SANA FRANCE UK KWASABABU KULE UISLAM NI DINI IKIMBIZANAYO NA UKRISTO.
MAKE SURE UNAKUJA HAPA NA EVIDENCE INAYOTOSHA.
NA KAMA HUJUI WAZENJI BADO WAKO CONNECTED NA OMAN NA MISAADA MINGI KUJA KULE NI KUTOKA ARABUNI.
SO USIWE WAROPOKA TU.
NA KAMA HUJUI WAZENJI WANATAKA WAVUNJE MUUNGANO ILI WAWE WANAPOKEA RUZUKU ZA MAENDELEO TOKA OMAN.
ILI SHARTI WAPATE HIZO RUZUKU WANATAKIWA WAVUNJE MUUNGANO NDIO MAANA ZENJI WENGI WANACHUKIA MUUNGANO
Atakuwa kakuelewa shekhe wangu punguza Jazba
 
Wewe ni mmakonde kabisaaa wa kulee Nanjilinji, karibu na kituo cha afya Mahulunga, hata kwa kuangalia avatar yako tu, sasa hii tabia ya kushobokea Usomali imetoka wapi?

Wasomali wako Namanga, Sirari,kakuma, Oloitoktok- Kenya, hawajui kiswahili fasaha. utasikia musuli kira ghitu bhanatabhuna - sasa huyu msomali wa kupinga muungano huyu! hayaaa!

Aliujuaje kwanza, unamuhusu nini? tuanzie hapo.

Eti Baba wa kambo au hata shemeji yako ni Msomali basi na wewe pia unajiita hivo. Usifanye hivyo.

km wewe kweli msomali tuma hapa picha yako live! tukuone

mie lugu niko mlimani mbona poa tu.
Umetukosea wamakonde atuko kama uyo bana.Tuombe msamaha,kutufanisha wakachinga na vitu vya ajabu.Harmonize namtag ajibu hii tuhuma
 
Dah asee mkuu sisi waajabu tenaaa
Waajabu elimu mnazo,na uyo smaki sijui samaki.ila aziwakomboe mimi Islamic ila sio mfia dini naheshim taratibu za kila dini.Nyie mnajifananisha mpaka viwango vya maisha na wapenzi.shekhe mmeniangusha mnakoelekea mtaonyeshana hadi nguo za.........
 
Daaaah kweli mkuu.
Wacha nikafute aibu hii nilishasahau kuwa mwanaume ashindani na. Sidiria
Waajabu elimu mnazo,na uyo smaki sijui samaki.ila aziwakomboe mimi Islamic ila sio mfia dini naheshim taratibu za kila dini.Nyie mnajifananisha mpaka viwango vya maisha na wapenzi.shekhe mmeniangusha mnakoelekea mtaonyeshana hadi nguo za.........
 
Tatzo yule smaki hana alijualo anaropoka mpk anatia hasira.
Ah nishafuta mkuu ule ubishani na huyu mwanamke.
Nilishasahau how the man must be gentle to a woman who can,t be a lady.
Waajabu elimu mnazo,na uyo smaki sijui samaki.ila aziwakomboe mimi Islamic ila sio mfia dini naheshim taratibu za kila dini.Nyie mnajifananisha mpaka viwango vya maisha na wapenzi.shekhe mmeniangusha mnakoelekea mtaonyeshana hadi nguo za.........
 
Kuna makundi mawili ya wayahudi ndani ya nchi ya Israel yamewekwa daraja la chini. Wayahudi wa sephardic na Wayahudi Mafalasha hawa wamewekwa chini kabisa kuanzia kwenye huduma za jamii na mambo mengineyo.

Jamii ya Wayahudi ambao wananeemeka sana na Israel ni Ashkenazi. Hawa inabidi waoane wao kwa wao. Akitoka akienda kuoa jamii nyengine ya Kiyahudi thamani yake inashushwa chini na serikali ya Israel kwenye mgawanyo wa huduma za jamii.

Na Ashkenazi jews siyo kizazi cha Ibrahim bali ni uzao wa jamii ya Turk, na mfalme wao aliitwa Bulan Kaghan. Na tafiti nyingi za DNA zinaonesha Ashkenazi jews hawana hata chembe ya uhusiano na Wayahudi waliyozungumziwa kwenye vitabu vya dini.
Hakuna mtu anayejiita Myahudi wa leo anayeweza kuthibitisha Uyahudi wake kinasaba, hususan kwa kuangalia makabila 12 ya Israel.

Zaidi, Uyahudi leo ni dini, si nasaba.

Hata wewe unaweza kuwa Myahudi kwa kujiingiza katika dini ya Uyahudi (Judaism)
 
Nyie wa2 wa ajabu ktk huu ulimwengu,,,mkiambiwa wazungu/yahudi wanatutambua cc ni wanyama/sokwe mnakataa katata wakati yametokea kwenye macho yetu weusi wanatupiwa maganda ya ndizi na maneno kibao ya kibaguzi,,,lakini linapokuja swala la waarabu kutesa babu zetu mnaamini bila ushahidi wowote wakati ni propaganda za mashoga zenu na kuwakaririsha nanyi mkaamini. Hivi mmerogwa nyie?? Nauliza tena mmerogwa?? Dahhhh kila mara tunarudia hayahaya maneno lakini hamuelewi tu.
Waarabu ni washenzi

Hakuna cha maana walichotuachia watu weusi, sio elimu sio teknolojia wala huduma za kijamii kama hospital n.k

Mpaka Leo hii hakuna ubunifu wala ugunduzi tunaopata kutoka kwao

Ninakushangaeni ninyi mnaoponda wazungu wakati wengi wenu mmepata elimu iliyoasisiwa na wao, hata wewe si bure ulisoma shule ya seminary iliyoanzishwa au kupata support kubwa ya hao wazungu.

Mh. Kikwete Alishalizungumzia hili. Lipumba alipitia seminary, Kikwete pia alipitia seminary na waislam wengine wasomi, kwasababu waarabu walikuachieni Quran, tende, karafuu na nazi.

Leo mmepata nafasi ya kujua kusoma na kuandika basi imekuwa nongwa. Daah

Kweli masikini akipata matako hulia mbata.

HUU NDIO UKWELI.
 
UMEROPOKA HAUJAONGEA.
FUATILIA HADI SASA WAARABU WANAKUSAIDIA SANA WW TZ.
UKIONDOA UFADHILI WA GADAFI,
KUNA TAASISI ZA KIARABU ZINAWASAIDIA WABONGO ILA SHUKRAN HAMNA.
visima mnajengewa,misaada ya kimatibabu mnapewa sijui mfanyiwe nn ili muone wema wa hawa majamaa.
Kuhusu swala la elimu labda Tz ndio hakukuachwa taasisi ya kielimu hii ni kutokana na ukoloni.
Mzungu wako kamtimua mwarabu ili akutawale.
Na kukuachia ww mifumo ya kimagharibi.
Ila kumbuka ht kiswahili unachoongea kwa asilimia kubwa kachangia mwarabu,
Ile talanta ya kujenga majahazi makubwa mliitoa kwa waarabu.
Kilwa ambayo ilishaanza kumiliki currency yake kabla ya Portuguese kuiharibu ilikua kwa Arabs influence mkuu.
Mali kuna vyuo vikuu vya kiislam viliachwa kule.
Pengine Tz ndio hakukuachwa taasisi ya kielimu.
Ila hata sasa WASHUKURUNI SANA ISLAMIC FOUNDATION NA ALHIKMA FOUNDATION.
Hawa waarabu wawili wanasaidia sana ndugu zenu wa pongwe,kagera,morogoro n.k msiwatusi.
 
Back
Top Bottom