Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji

kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,440
Points
2,000
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,440 2,000
Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji
Jul 06, 2019 10:58 UTC
Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, waliorubiniwa kwenda katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, wanaendelea kufanya maandamano ya kalalamikia unyanyasaji na ubaguzi wanaofanyiwa na Wazayuni.
Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Waethiopia hao wamepiga mayowe na nara dhidi ya viongozi wa utawala wa Kizayuni, bali wengine hata wamepiga "takbir" katika maandamano hayo.
Jumapili iliyopita pia, maelfu ya Mayahudi wa Ethiopia walifanya maandamano ya kulaani kitendo cha polisi wa utawala wa Kizayuni kumuua kidhulma kijana mmoja wa Kifalasha aitwaye Solomon Teka.
Maandamano hayo makubwa yaliyoambatana na fujo yalifanyika katika miji ya Tel Aviv, Hayfa, Ashdod na Ashkelon. Watu 60 walitiwa mbaroni na maafisa usalama wa Israel wakati walipokandamiza kikatili maandamano hayo.
Wakati huo huo, gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeandika kuwa, Mayahudi wa Ethiopia wametishia kuwa leo Jumamosi pia watakusanyika katika medani kubwa zaidi ya mji wa Tel Aviv ili kutaka kisasi cha kuuliwa kijana huyo mwenye asili ya Ethiopia, na jeshi la polisi la Israel.
Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, ni miongoni mwa makundi maskini zaidi ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Mayahudi hao walirubuniwa kuacha makazi yao huko Ethiopia na kwenda kwenye ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kwa tamaa ya kupata maisha mazuri. Hata hivyo wananyanyaswa na kubaguliwa sana na wanahesabiwa kuwa ni raia wa daraja la tatu wa utawala wa Kizayuni.
Tags
UTAWALA WA KIZAYUNI ETHIOPIA Kijana wa Kifalasha, Myahudi wa Ethiopia, Solomon Teka aliyeuliwa kikatili na polisi wa Israel 
Kijana wa kike mwenye asili ya Ethiopia akiwa na picha ya kijana wa Ethiopia aliyeuliwa kikatili na polisi wa Israel. Maandishi yana maana isemayo, maisha yangu yana thamani
si kitu cha bure
4bsj96bbfb74bd1gaog_800c450-jpeg.1148405
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,946
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,946 2,000
YAH: FEDHA ZA DENI LA LIBYA
1.0. Libya ni moja kati ya nchi wafadhili wa Tanzania ambapo, kama ilivyo wafadhili wengine imekuwa ikiipa nchi yetu misaada na mikopo yenye masharti nafuu. Serikali yetu imekuwa ikifanya taratibu mbalimbali kulipa madeni ya nchi wafadhili kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kubadili madeni na kuyaingiza katika miradi n.k, yaani ‘Dept Swap’
2.0. Katika utaratibu huo wa ‘Dept Swap’, tarehe 20/7/2005, Serikali ya Tanzania na Libya zilitia sahihi mkataba wa Dept Swap (Dept Swap Agreement) ambao uliweka utaratibu wa matumizi na urejeshaji wa fedha za deni la Libya.
3.0. Tarehe 4/3/2009, Serikali ya Libya na Tanzania zilitia sahihi mkataba wa nyongeza (Addendum to the Dept Swap Agreement) ambao ulizungumzia, pamoja na mambo mengine, matumizi ya jumla ya dola za Kimarekani milioni 20 (20,000,000) ambazo zilikuwa zimehifadhiwa katika akaunti ya Libya No.004-200-0002216-01, Benki ya Rasilimali Tanzania (Tanzania Investment Bank).
4.0. Nyongeza hii ya mkataba ilitamka bayana katika kifungu No.4.02, kwamba, fedha zilizokuwa katika akaunti tajwa, zikopeshwe kwa mwekezaji waliyemteua wao wenyewe, ambaye ni kampuni ya MEIS INDUSTRIES LIMITED kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa kiwanda cha Saruji Lindi. Kwa mujibu wa nyongeza hii, mkopo ulipaswa kulipwa ndani ya miaka sita, na baada ya hapo, fedha hizo zirejeshwe na ziendelee kukopeshwa Watanzania kwa ajili ya miradi mingine ambayo Serikali za Libya na Tanzania zitakuwa zimeridhia.
5.0. Kumbukumbu zinaonyesha mambo mawili:-
5.1 Kwamba, kabla ya Serikali ya Libya kutia sahihi nyongeza hii ya mkataba iliyotaka fedha zikopeshwe kwa MEIS INDUSTRIES, upembuzi yakinifu wa mradi husika ulifanywa na serikali ya Libya kupitia vyombo vyake, na wao wenyewe walishajiridhisha juu ya ubora wa mradi huo (Viability of the Project)
5.2 Kwamba, baada ya kutia sahihi nyongeza ya mkataba, Serikali ya Libya kupitia Ubalozi wake hapa nchini iliendelea kusisitiza kwa maandishi kwamba Serikali ya Tanzania iharakishe mchakato wa kuwezesha fedha hizo zikopeshwe kwa mwekezaji waliyemteua ili mradi huo muhimu usiendelee kuchelewa, na pia fedha ziingie katika mzunguko kwa manufaa ya Watanzania.
6.0. Katika kutekeleza mikataba hii miiwli, yaani Dept Swap Agreement ya tarehe 20/7/2005 na Addendum Dept Swap Agreement ya Tarehe 4/3/2009, na kwa kuzingatia umuhimu ambao serikali ya Libya iliuonyesha, Serikali ya Tanzania kupitia watalaamu wake wa Wizara ya Fedha, Benki ya Rasilimali (TIB) na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, na Mwekezaji (Kampuni ya MEIS), walikutana chini ya usimamizi wa Wizara ya Fedha na kuandaa hadidu za rejea ambazo zilipelekea kutengenezwa kwa mkataba wa uwekezaji (Investment Agreement) kati ya serikali ya Tanzania, TIB, Serikali ya Libya na Mwekezaji.
7.0. Serikali ya Tanzania, TIB na Mwekezaji walitia sahihi mkataba huu na kuupeleka Libya ili serikali ya Libya ipate kuweka sahihi. Kwa sababu ambazo hazikufahamika, serikali ya Libya haikutia sahihi mkataba huo.
8.0. Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu bila mafanikio, mwekezaji alimuandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania yenye kumbukumbu No. PC/MEIS/AG/2/10 ya tarehe 1/9/2010 akieleza kusudio la kuipeleka Serikali ya Libya Mahakamani kwa kitendo chake cha kutokutia sahihi mkataba.
9.0. Terehe 13/9/2010, Mwekezaji alifungua shauri Mahakama Kuu ya Tanzania, shauri la madai No. 124/2010 dhidi ya serikali ya Libya, akiiomba Mahakama Kuu itoe tamko kwamba kitendo cha serikali ya Libya kukataa kutia sahihi mkataba huu hakikuwa kitendo cha haki na kwamba mahakama itoe amri kwamba fedha hizo zitolewe kwa Mwekezaji ili kutekeleza mradi uliokusudiwa. Kumbukumbu zinaonyesha kwamba wito wa Mahakama (Summons) ulipelekwa Ubalozi wa Libya lakini hapakuwa na majibu wala mwakilishi aliyekuja mahakamani.
10.0. Mahakama Kuu, kwa kufuata taratibu zake, iliendelea na kusikiliza shauri na kutoa amri kama ambavyo mahakama yenyewe ilijiridhisha. Amri ya mahakama, pamoja na mambo mengine, iliagiza kwamba fedha hizo zitolewe kwa mwekezaji ili kutekeleza mradi husika.
11.0. Zilifanyika juhudi za Benki ya Rasilimali (TIB) pamoja na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga au kupata ufafanuzi zaidi juu ya amri hiyo ya utekelezaji wake. Mahakama Kuu pamoja na Mahakama ya Rufana, katika nyakati tofauti, zilishughulikia maombi hayo na kuyafikisha katika hatima yake kwa mujibu wa sheria. Kwa ajili ya kumbukumbu, mashauri yaliyofunguliwa ni kama ifuatavyo:-
11.1 TIB ilifungua maombi No. 126/2010 katika mahakama ya Rufaa kuiomba izuie na kufuta utekelezaji wa amri ya Mahakama Kuu. Maombi haya ya TIB yalifanyiwa uamuzi wa mwisho mnamo tarehe 7/11/2011, ambapo maombi hayo yaliondolewa mahakamani kwa kuwa, kwa mujibu wa Mah

SIKU NYINGINE MDOGO WANGU ULIZA UFUNDISHWE.
UNAROPOKA MPAKA UNATIA AIBUU
Natokea milima ya Ulugulu.

Arab hana cha kuisadia Tanzania kujenga msikiti siyo msaada, alimuhonga Mungu wao ile misikiti ambaye alimsaliti tena vibaya, kapigwa na kafir mpaka leo wanaokota takataka.

hiyo misikiti alijenga baada ya kafir kumuachia mateka wa vita ya kagera
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,946
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,946 2,000
Natokea milima ya Ulugulu.

Arab hana cha kuisadia Tanzania kujenga msikiti siyo msaada, alimuhonga Mungu wao ile misikiti ambaye alimsaliti tena vibaya, kapigwa na kafir mpaka leo wanaokota takataka.

hiyo misikiti alijenga baada ya kafir kumuachia mateka wa vita ya kagera
NA NAKUPA KAZI MDOGO WANGU.
KAIFUATILIE ISLAMIC FOUNDATION WANAOMILIKI RADIO NA TV IMAAN.
WARABU WALE WAMECHIMBA SANA VISIMA MOROGORO.
MNA MBUNGE ABOUD ANAYEWAPA MAENDELEO KWA HELA ZAKE KWA ASILIMIA KUBWA MWARABU YULE.
KUNA ALHIKMA FOUNDATION PIA YA SHEIKH NURDIN ALSALIMMY KISHKI INATOA MISAADA HUSUSAN HUKU DAR.
KAGERA LILE TETEMEKO LA ARDHI WALOTOA MSAADA WAARABU WA ISLAMIC FOUNDATION.
HALAFU UNAROPOKA KM UMEKUNYWA GONGO PASI NA KUJUA UNALOONGEA.
SERIKALI YAKO KUNA KITU IMEWAOMBA MOROCCO NA NI WAARABU WALE NAKUPA HOMEWORK NI NINI WAMEOMBA KWA MOROCCO.
WE ELIMU YAKO YA KULIMA MCHICHA USIILETE HUMU KUVURUGA HALI YA HEWA.
MNA SAID SALIM BAKHRESA KAAJIRI WENGI NA MWARABU YULE.
MNA MO GULAM DEWJI KAAJIRI WENGI PIA.
NA SERIKALI YAKO HUOMBA MIKOPO NA GRANTS KUPITIA HAO MATAJIRI.
KWAHIYO USIWE UNAROPOKA TU
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
17,924
Points
2,000
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
17,924 2,000
Yani umesoma madrasa za buguruni then unapambana na wayahudi ambao wa upeo wako wa hapo mnyamani unawaita mayahudi.
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
684
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
684 500
We mropokaji umetokea wapi.?!
Mbona Ghadafi alikuwa akiisaidia nchi yako km yeye firaun?!
Natokea milima ya Ulugulu.

Arab hana cha kuisadia Tanzania kujenga msikiti siyo msaada, alimuhonga Mungu wao ile misikiti ambaye alimsaliti tena vibaya, kapigwa na kafir mpaka leo wanaokota takataka.

hiyo misikiti alijenga baada ya kumuachia mateka wa vita ya kagera
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
684
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
684 500
Taifa teule,linawatesa wateule wenzao.
Haliwatesi wanawapa akili ya kujitegemea kama taifa la Israel mpya, hilo taifa wataachiwa pindi hawa Israel wa sasa watakapo rudi USA, na Canada. hamjui tu.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,946
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,946 2,000
Nimekufundisha aliyokusaidia Libya post ya #40,41 na 42 kazisome vema.
Au still mgumu kuelewa?!
Natokea milima ya Ulugulu.

Arab hana cha kuisadia Tanzania kujenga msikiti siyo msaada, alimuhonga Mungu wao ile misikiti ambaye alimsaliti tena vibaya, kapigwa na kafir mpaka leo wanaokota takataka.

hiyo misikiti alijenga baada ya kumuachia mateka wa vita ya kagera
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,946
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,946 2,000
Unajua maana ya kafir?!
Hata muislam akitenda dhambi ni kafir pia.
wajua mweusi ndo kafir.

kwa nini waita waso dini ya kiislamu kafir? kumbe mna maksudi nyie watu...
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,946
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,946 2,000
DOH ASEE DADAA UWE UNAACHAGA GONGO SOMETIMES
Haliwatesi wanawapa akili ya kujitegemea kama taifa la Israel mpya, hilo taifa wataachiwa pindi hawa Israel wa sasa watakapo rudi USA, na Canada. hamjui tu.
 
NaughtyGuy

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Messages
1,669
Points
2,000
NaughtyGuy

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2017
1,669 2,000
Hao ndio kwao asili yao hapo. Sio hao wazungu wala hao Wapalestina waliokuja na jambia la kusambaza uislam.
Hiyo sio ardhi ya mtu mweupe. Sema ndio masikini na ndio maana wananyanyaswa hivyo na hao vibaraka wa shetani waliokalia hiyo sehemu kimabavu.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,946
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,946 2,000
Kasome historia vema.
Hao ndio kwao asili yao hapo. Sio hao wazungu wala hao Wapalestina waliokuja na jambia la kusambaza uislam.
Hiyo sio ardhi ya mtu mweupe. Sema ndio masikini na ndio maana wananyanyaswa hivyo na hao vibaraka wa shetani waliokalia hiyo sehemu kimabavu.
 
Gavana

Gavana

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2008
Messages
22,209
Points
2,000
Gavana

Gavana

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2008
22,209 2,000
Hivi kwanini Mossad ilifanyaga operation ya kuwaokoa wale black jews from Ethiopia wkt inajua inaenda kuwa treat kama low class huko israel mkuu?

Kuwatumia kama chambo vitani na buffer zone na kuwapa kazi chafu wasizozitaka
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
684
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
684 500
NIMESOMA POST ZAKO WW KAMA SIO MPUNGUFU WA AKILI ULIKUWA UNAUMWA BRAIN TUMOR SIO BURE.
HIV UNAJUA MAANA YA REFUGEE?!
WE FIKIRIA UMBALI TOKA LIBYA MPAKA ZENJI NI KIASI GANI.
HALAFU UNAROPOKA KM UMETIWA MKUYEYE HUJUI UNALOONGEA.
WE NAN KAKWAMBIA OMAN KUNA MACHAFUKO?!
KAMA HAUJUI BASI MAANA UNAROPOKA PASI NA ELIMU YEYOTE.
HAKUNA WATU WANAOKIMBIILIA TANZANIA KAMA WAARABU NA WAMEWEKEZA KINYAMA.
MM MSOMALI NINA NDUGU WAARABU WA YEMEN MAHARA.
NA WANAKUJA HUKU KM UTITIRI NANI ANASHOBOKEWA HAPO?!
TENA WENGINE WAKIMBIA VITA.
NA KAMA HUJUI MOROCCO INA WAKIMBIZI WENGI TU WA LIBYA KUKU WW NA FALME ZA KIARABU WANAKIMBILIA SANA PAMOJA NA QATAR TENA QATAR WANATOA HADI MSAADA WA KIPESA HUSUSAN KWA WAPALESTINES.
WEWE KUNYWA KWAKO GONGO WAJA ROPOKA MAMBO HATA HAYAELEWEKI.
UNAPOONGEA MAKE SURE UNA UHAKIKA NA UNALOONGEA SIO KUROPOKA KAM UMEKALIA UKUNI ETI MNAJIPENDEKEZA.
Na kama HAUJUI WAARABU WANAKIMBILIA SANA FRANCE UK KWASABABU KULE UISLAM NI DINI IKIMBIZANAYO NA UKRISTO.
MAKE SURE UNAKUJA HAPA NA EVIDENCE INAYOTOSHA.
NA KAMA HUJUI WAZENJI BADO WAKO CONNECTED NA OMAN NA MISAADA MINGI KUJA KULE NI KUTOKA ARABUNI.
SO USIWE WAROPOKA TU.
NA KAMA HUJUI WAZENJI WANATAKA WAVUNJE MUUNGANO ILI WAWE WANAPOKEA RUZUKU ZA MAENDELEO TOKA OMAN.
ILI SHARTI WAPATE HIZO RUZUKU WANATAKIWA WAVUNJE MUUNGANO NDIO MAANA ZENJI WENGI WANACHUKIA MUUNGANO
Mpyuuuu! kumbe jisomali weye. mnaouana kila siku kama kuku eti na nyie ni waarabu? kweli?
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
684
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
684 500
ASEE NYIE WARUGURU NI NOVICE.
KAKAENI DARASAN MSOME.
MSITULETEE UBISHI WENU ILHALI HAMJUI KITU WALIMA MCHICHA NYIE
Siye Mororgoro mji kasoro bahari, tuko juu sana kwa sababu twalisha jiji la dar es salaam lote ukiwemo weye, kwa nini huna shukrani msomali wewe?. wenzako wakituona wanapiga magoti, wew
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,946
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,946 2,000
Eh unachekesha ww.
Nina ndugu wayemeni ambao asili yao ni wayemeni
Hata hvyo kuna kabila pale Usomali asili yake yemen kama ulikua hujui.
Au historia ya Somali huijui.?!
Wasomali ni mchanganyiko wa watu wa Yemen wale.Na myemen na msomali wanaelewana kinyama.
Mpyuuuu! kumbe jisomali weye. mnaouana kila siku kama kuku eti na nyie ni waarabu? kweli?
 

Forum statistics

Threads 1,315,685
Members 505,292
Posts 31,866,785
Top