Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,573
Kasome vema.Dunia imepitia katika tawala kuu 4. Hii ya Rumi ni Tawala ya 5.
Waami na Waajemi ndio Iran na Iraq
Waliokuwa na Elimu duniani ni utawala wa Wayunani / wagiriki
Ottoman Empire ilikuja baadae.
Kumbuka Ottoman Empire ilivunjwa na Greek kama umesahau.
Greek ndio waliivunja Ottoman empire .
Halafu unapozungumzia Ottoman ilicomprise kudsi,kurdi,fursi