Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji

kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,440
Points
2,000
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,440 2,000
Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji
Jul 06, 2019 10:58 UTC
Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, waliorubiniwa kwenda katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, wanaendelea kufanya maandamano ya kalalamikia unyanyasaji na ubaguzi wanaofanyiwa na Wazayuni.
Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Waethiopia hao wamepiga mayowe na nara dhidi ya viongozi wa utawala wa Kizayuni, bali wengine hata wamepiga "takbir" katika maandamano hayo.
Jumapili iliyopita pia, maelfu ya Mayahudi wa Ethiopia walifanya maandamano ya kulaani kitendo cha polisi wa utawala wa Kizayuni kumuua kidhulma kijana mmoja wa Kifalasha aitwaye Solomon Teka.
Maandamano hayo makubwa yaliyoambatana na fujo yalifanyika katika miji ya Tel Aviv, Hayfa, Ashdod na Ashkelon. Watu 60 walitiwa mbaroni na maafisa usalama wa Israel wakati walipokandamiza kikatili maandamano hayo.
Wakati huo huo, gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeandika kuwa, Mayahudi wa Ethiopia wametishia kuwa leo Jumamosi pia watakusanyika katika medani kubwa zaidi ya mji wa Tel Aviv ili kutaka kisasi cha kuuliwa kijana huyo mwenye asili ya Ethiopia, na jeshi la polisi la Israel.
Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, ni miongoni mwa makundi maskini zaidi ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Mayahudi hao walirubuniwa kuacha makazi yao huko Ethiopia na kwenda kwenye ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kwa tamaa ya kupata maisha mazuri. Hata hivyo wananyanyaswa na kubaguliwa sana na wanahesabiwa kuwa ni raia wa daraja la tatu wa utawala wa Kizayuni.
Tags
UTAWALA WA KIZAYUNI ETHIOPIA Kijana wa Kifalasha, Myahudi wa Ethiopia, Solomon Teka aliyeuliwa kikatili na polisi wa Israel 
Kijana wa kike mwenye asili ya Ethiopia akiwa na picha ya kijana wa Ethiopia aliyeuliwa kikatili na polisi wa Israel. Maandishi yana maana isemayo, maisha yangu yana thamani
si kitu cha bure
4bsj96bbfb74bd1gaog_800c450-jpeg.1148405
 
chikanu chikali

chikanu chikali

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
592
Points
1,000
chikanu chikali

chikanu chikali

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
592 1,000

si kitu cha bureView attachment 1148405
Chuki tu inakusumbua kila nchi ina utaratibu wake Wa kuishi, kama hawana vibali out
 
The Icebreaker

The Icebreaker

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2018
Messages
3,916
Points
2,000
The Icebreaker

The Icebreaker

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2018
3,916 2,000
Racism haikubaliki,
Some are superior and others inferior..!!
 
chikanu chikali

chikanu chikali

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
592
Points
1,000
chikanu chikali

chikanu chikali

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
592 1,000
Hao Waethiopia ni wayahudi nao pia na ni raia wa Israel mkuu
Si tatizo wewe ni mwafrika unaweza kwenda nchi yoyote kwa ticket ya uafrika? Tz tuna Masai na Kenya ivo ivo Masai wa tz anaweza kwenda bila utaratibu Kenya? Kila kitu kina utaratibu wake
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
581
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
581 500
Wa Ethiopia wanaoteswa ni waafrika wenzetu,lazima tupaze sauti.
Unashindwaje kupaza sauti kwa ndugu zako wa damu wanaoteswa huko uarabuni eti ujifanye una uchungu na waethiopia unafki na wivu ni mbaya Sana haitakusaidia chochote
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
581
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
581 500
Watanzania wenzetu wanakufa msumbiji wala hamutii Kelele wanafki wakubwa shetani kawajaza chuki juu ya ISRAEL...
 
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
2,755
Points
2,000
A

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2013
2,755 2,000
Muhamadi ndo mshikadau mkubwa wa huo
Hivi wewe kichwani kwako kuko sawa unaongea vitu bila dalili.

Sa we unabisha kama Israel ni taifa la mashoga? Hivi upo dunia ipi tunayo ishi cc au ingine.
 
Mandown

Mandown

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2012
Messages
1,667
Points
1,250
Mandown

Mandown

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2012
1,667 1,250
hapa kabla ya kutoa mchango wangu naona nimuene kwanza Mchungaji Mashimo au Nabii Tito nipate picha kamili juu ya wana wa Isarael na Taifa teule
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,945
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,945 2,000
Si wote wanaokimbilia ulaya acha unafiki.
Wapo wanaoenda Morocco na Falme za kiarabu na wanapokelewa vema tu.
Ila wanashindwa kuingia Suudia kwasababu kibaraka wa Marekani.
Au ushasahau walebanon kipindi cha mfarakano walikimbilia sana Iran?!
Na nchi zinazokimbiliwa za magharib mostly ni UK na France kwasababu huko population ya uislam ni kubwa.
Dini ya uislam kwa idadi inakimbizana na UKRISTO
Cha ajabu ndg zangu katika imani wakipigana huko kwao wanaenda kuomba hifadhi kwa makafiri(Us,uk,canada etc) hawaaendagi kwa ndg zao huko Iran,Saudi Arabia,Jordan.
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
684
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
684 500
Kuna makundi mawili ya wayahudi ndani ya nchi ya Israel yamewekwa daraja la chini. Wayahudi wa sephardic na Wayahudi Mafalasha hawa wamewekwa chini kabisa kuanzia kwenye huduma za jamii na mambo mengineyo.

Jamii ya Wayahudi ambao wananeemeka sana na Israel ni Ashkenazi. Hawa inabidi waoane wao kwa wao. Akitoka akienda kuoa jamii nyengine ya Kiyahudi thamani yake inashushwa chini na serikali ya Israel kwenye mgawanyo wa huduma za jamii.

Na Ashkenazi jews siyo kizazi cha Ibrahim bali ni uzao wa jamii ya Turk, na mfalme wao aliitwa Bulan Kaghan. Na tafiti nyingi za DNA zinaonesha Ashkenazi jews hawana hata chembe ya uhusiano na Wayahudi waliyozungumziwa kwenye vitabu vya dini.
Hawaja tengwa ila wana wasiwasi kuwa wametengwa, kwa maana hiiyo tatizo ni wao. siyo Ash/zi.

Maisha ya Ash/zi ni mazuri mno sababu wameyatengeza yawe hivyo kwa kufanya kazi ngumu, iliyogharimu/ inayoghalimu maisha ya ndugu zao. wanastahili heshima...but sababu ya tamaa Black Falashas wanayatamani. hata wakipewa leo hii Israel yote. Miarabu itawanynganya na ilivyo katili, mifirauni, itawanyonga km kuku. tena hawatumii risasi, wao ni mwendo wa takbriii! tu.... damu! chaaaa! watoto, wazee, wamama, wadada, twende

kwanza hawa black/fala, hawana mchango wa aina yeyote pale ndani ya Israel, zaidi ya kubebwa tu kama mizigo isokuwa na tija/ kwa hiyo inabidi wawashukuru sana kwa kubebwa. kama hawataki si warudi kwao Africa?. kwanza siyo mbali!
wenzao Ashkenaz wanapiga mzigo usiku na mchana ili kuilinda nchi yao. buta Falashas wao wanakesha wanakulana, kwa hiyo lazima wadhibitiwe wasije wakanunuliwa na wapalestine.

MADAI ETI ISRAEL SIYO NCHI YAO ;
Israel ni nchi ya Mungu humpatia yeyote ampendaye, wacha Ashkenaz watanue, Father Abraham naye si alipewa na Mungu? wajukuu zake wakalewa maisha wakamzoea Mungu sana. akawaonyesha. hawa waliopo leo Mungu asingetaka angewaua wote, Waafrica walipewa wakazembea sana wakaabudu Mungu kwa mazoea. Musa aliwaonya kumb/torati 68;20 mkizembea tu mtarudishwa kwa mitumbwi Masri, na kweli Afirica ya leo ya egypt.Mungu usipomwabudu atanyanyua hata mawe yamuabudu.
Niliwahi sema hapa ''hesima ya mtu inatokana na huduma yake kwa UMMA'', na hawa sijui falasha wafanye kazi wapate heshima
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
684
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
684 500
Si wote wanaokimbilia ulaya acha unafiki.
Wapo wanaoenda Morocco na Falme za kiarabu na wanapokelewa vema tu.
Ila wanashindwa kuingia Suudia kwasababu kibaraka wa Marekani.
Au ushasahau walebanon kipindi cha mfarakano walikimbilia sana Iran?!
Na nchi zinazokimbiliwa za magharib mostly ni UK na France kwasababu huko population ya uislam ni kubwa.
Dini ya uislam kwa idadi inakimbizana na UKRISTO
ACHA UONGO, ukimbizi hauna cha ukibaraka, popote unapokelewa kambini na kamwe muarab hawezi kimbilia Africa eti morocco.

Zanzibar uislamuni, hapo pametulia kwa nini wasije? si ni kwa babu yao Sultan wa Oman? mpaka leo kuna masalia ya ndugu zao? mbona hawakuji? Hapo kwene machafuko hatari ya Oman wameona bora wafe waishe kuliko kuja kwa ndugu zao wapemba weusi. hawakutakini, mnajipendekeza tu
sababu ya ubaguzi kuna minyani myeusi, ajabu eti wanakimbilia kwa wala kiti moto, tena UK, Israel wana pika kitu pock mzima mzima
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,945
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,945 2,000
We mropokaji umetokea wapi.?!
Mbona Ghadafi alikuwa akiisaidia nchi yako km yeye firaun?!
Hawaja tengwa ila wana wasiwasi kuwa wametengwa, kwa maana hiiyo tatizo ni wao. siyo Ash/zi.

Maisha ya Ash/zi ni mazuri mno sababu wameyatengeza yawe hivyo kwa kufanya kazi ngumu, iliyogharimu/ inayoghalimu maisha ya ndugu zao. wanastahili heshima...but sababu ya tamaa Black Falashas wanayatamani. hata wakipewa leo hii Israel yote. Miarabu itawanynganya na ilivyo katili, mifirauni, itawanyonga km kuku. tena hawatumii risasi, wao ni mwendo wa takbriii! tu.... damu! chaaaa! watoto, wazee, wamama, wadada, twende

kwanza hawa black/fala, hawana mchango wa aina yeyote pale ndani ya Israel, zaidi ya kubebwa tu kama mizigo isokuwa na tija/ kwa hiyo inabidi wawashukuru sana kwa kubebwa. kama hawataki si warudi kwao Africa?. kwanza siyo mbali!
wenzao Ashkenaz wanapiga mzigo usiku na mchana ili kuilinda nchi yao. buta Falashas wao wanakesha wanakulana, kwa hiyo lazima wadhibitiwe wasije wakanunuliwa na wapalestine.

MADAI ETI ISRAEL SIYO NCHI YAO ;
Israel ni nchi ya Mungu humpatia yeyote ampendaye, wacha Ashkenaz watanue, Father Abraham naye si alipewa na Mungu? wajukuu zake wakalewa maisha wakamzoea Mungu sana. akawaonyesha. hawa waliopo leo Mungu asingetaka angewaua wote, Waafrica walipewa wakazembea sana wakaabudu Mungu kwa mazoea. Musa aliwaonya kumb/torati 68;20 mkizembea tu mtarudishwa kwa mitumbwi Masri, na kweli Afirica ya leo ya egypt.Mungu usipomwabudu atanyanyua hata mawe yamuabudu.
Niliwahi sema hapa ''hesima ya mtu inatokana na huduma yake kwa UMMA'', na hawa sijui falasha wafanye kazi wapate heshima
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
684
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
684 500
We mropokaji umetokea wapi.?!
Mbona Ghadafi alikuwa akiisaidia nchi yako km yeye firaun?!
Natokea milima ya Ulugulu.

Arab hana cha kuisadia Tanzania kujenga msikiti siyo msaada, alimuhonga Mungu wao ile misikiti ambaye alimsaliti tena vibaya, kapigwa na kafir mpaka leo wanaokota takataka.

hiyo misikiti alijenga baada ya kafir kumuachia mateka wa vita ya kagera
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,945
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,945 2,000
ACHA UONGO, ukimbizi hauna cha ukibaraka, popote unapokelewa kambini na kamwe muarab hawezi kimbilia Africa eti morocco.

Zanzibar uislamuni, hapo pametulia kwa nini wasije? si ni kwa babu yao Sultan wa Oman? mpaka leo kuna masalia ya ndugu zao? mbona hawakuji? Hapo kwene machafuko hatari ya Oman wameona bora wafe waishe kuliko kuja kwa ndugu zao wapemba weusi. hawakutakini, mnajipendekeza tu
sababu ya ubaguzi kuna minyani myeusi, ajabu eti wanakimbilia kwa wala kiti moto, tena UK, Israel wana pika kitu pock mzima mzima
NIMESOMA POST ZAKO WW KAMA SIO MPUNGUFU WA AKILI ULIKUWA UNAUMWA BRAIN TUMOR SIO BURE.
HIV UNAJUA MAANA YA REFUGEE?!
WE FIKIRIA UMBALI TOKA LIBYA MPAKA ZENJI NI KIASI GANI.
HALAFU UNAROPOKA KM UMETIWA MKUYEYE HUJUI UNALOONGEA.
WE NAN KAKWAMBIA OMAN KUNA MACHAFUKO?!
KAMA HAUJUI BASI MAANA UNAROPOKA PASI NA ELIMU YEYOTE.
HAKUNA WATU WANAOKIMBIILIA TANZANIA KAMA WAARABU NA WAMEWEKEZA KINYAMA.
MM MSOMALI NINA NDUGU WAARABU WA YEMEN MAHARA.
NA WANAKUJA HUKU KM UTITIRI NANI ANASHOBOKEWA HAPO?!
TENA WENGINE WAKIMBIA VITA.
NA KAMA HUJUI MOROCCO INA WAKIMBIZI WENGI TU WA LIBYA KUKU WW NA FALME ZA KIARABU WANAKIMBILIA SANA PAMOJA NA QATAR TENA QATAR WANATOA HADI MSAADA WA KIPESA HUSUSAN KWA WAPALESTINES.
WEWE KUNYWA KWAKO GONGO WAJA ROPOKA MAMBO HATA HAYAELEWEKI.
UNAPOONGEA MAKE SURE UNA UHAKIKA NA UNALOONGEA SIO KUROPOKA KAM UMEKALIA UKUNI ETI MNAJIPENDEKEZA.
Na kama HAUJUI WAARABU WANAKIMBILIA SANA FRANCE UK KWASABABU KULE UISLAM NI DINI IKIMBIZANAYO NA UKRISTO.
MAKE SURE UNAKUJA HAPA NA EVIDENCE INAYOTOSHA.
NA KAMA HUJUI WAZENJI BADO WAKO CONNECTED NA OMAN NA MISAADA MINGI KUJA KULE NI KUTOKA ARABUNI.
SO USIWE WAROPOKA TU.
NA KAMA HUJUI WAZENJI WANATAKA WAVUNJE MUUNGANO ILI WAWE WANAPOKEA RUZUKU ZA MAENDELEO TOKA OMAN.
ILI SHARTI WAPATE HIZO RUZUKU WANATAKIWA WAVUNJE MUUNGANO NDIO MAANA ZENJI WENGI WANACHUKIA MUUNGANO
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,945
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,945 2,000
Natokea milima ya Ulugulu.

Arab hana cha kuisadia Tanzania kujenga msikiti siyo msaada, alimuhonga Mungu wao ile misikiti ambaye alimsaliti tena vibaya, kapigwa na kafir mpaka leo wanaokota takataka.

hiyo misikiti alijenga baada ya kafir kumuachia mateka wa vita ya kagera
ASEE NYIE WARUGURU NI NOVICE.
KAKAENI DARASAN MSOME.
MSITULETEE UBISHI WENU ILHALI HAMJUI KITU WALIMA MCHICHA NYIE
 
Forum statistics

Threads 1,315,679
Members 505,292
Posts 31,866,577
Top