Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Nadhani unamzimia sana Chrispin, acha kuuma vidole na kula vijiti ....jieleze mdada!!
Mchungaji hapa ulinena jambo jema. Nilikuwa nimesepa kimtindo, kumbe mambo mazuri yalikuwa yananipita.
Nadhani unamzimia sana Chrispin, acha kuuma vidole na kula vijiti ....jieleze mdada!!
Hapana Masa,Niombe radhi tafadhali.mume wa mtu ni sumu kali tena inaua.Sina mpango mchafu kama huo.Never in my life.Iam a decent woman with dignity and morals.
Guyz nilisoma kwa muda mrefu sana kabla ya kujiunga humu, nilivutiwa sana na michango wa members humu kiasi kwamba hata kama motion inaboa niliowataja hapo juu wanaifanya very interesting, these guyz are so funny. Moderator plz may I not die before I see these guys face to face, plz n plz, I realy love you guyz keep it realy I wanna see you soon.
Goodday.
kwa hiyo mmeamuaje mliotajwa na babylove?itabidi muifanye dream/wish yake iwe true asije kufa kabla.fanyieni kazi hiyo wadau. halafu babylove i will PM you unipe umbeya wanafananaje am kind of interested too to know them......

Nipo Julius naona tunapishana tuu mzima lakini???Maria mbona umeadimika? Nani huyo anayekuficha?
Nipo Julius naona tunapishana tuu mzima lakini???
Mo mzima hofu na mashaka ni kwako tu...
Im happy kuona upo pouwa maana nimepungua kukuwaza ww!!
Im happy kuona upo pouwa maana nimepungua kukuwaza ww!!
Hapa tumeishaanza kuharibia sasa!
Hebu acha kuwa mwanga bana......
Mkuu mbona mi na wewe ni heshima sana ila kwa hapa unagusa pabaya..
Mkuu mbona mi na wewe ni heshima sana ila kwa hapa unagusa pabaya..
Huh? Hebu fafanua...sijakuelewa
Karibuni Red wine!!!
Huh? Hebu fafanua...sijakuelewa
Simba mwenda pole ndo hula mabaki...
Mhh fafanua??
Mi hiyo hata siitaki kabisa!