May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

babylove

Member
Oct 13, 2009
59
5
Guyz nilisoma kwa muda mrefu sana kabla ya kujiunga humu, nilivutiwa sana na michango wa members humu kiasi kwamba hata kama motion inaboa niliowataja hapo juu wanaifanya very interesting, these guyz are so funny. Moderator plz may I not die before I see these guys face to face, plz n plz, I realy love you guyz keep it realy I wanna see you soon.

Goodday.
 
If you are a lady kindly send a PM to me! ila kama ni mwanaume sorry! karibu sana sana kwenye jahazi, kuna jamaa anaitwa Maxence Melo wasiliana naye uweze kupata upremium! Mkono mtupu haulambwi
 
Karibu sana, ni kweli hawa watu wanachangamsha sna mada umesahau kuna yoyo na Julius wanamichango mizuri sna!
 
Du! Nashukuru kama ni kweli, mimi niko available sana nakutana na kila mtu, ila ni vizuri tukamsubiri presdaa atoe tamko rasmi ni lini na wapi? na wewe hujasema unapatikana wapi? Karibu sana.
 
Guyz nilisoma kwa muda mrefu sana kabla ya kujiunga humu, nilivutiwa sana na michango wa members humu kiasi kwamba hata kama motion inaboa niliowataja hapo juu wanaifanya very interesting, these guyz are so funny. Moderator plz may I not die before I see these guys face to face, plz n plz, I realy love you guyz keep it realy I wanna see you soon.

Goodday.

Kabla hatujaingia choo cha kike babylove: Are you he or she?
 
Du! Nashukuru kama ni kweli, mimi niko available sana nakutana na kila mtu, ila ni vizuri tukamsubiri presdaa atoe tamko rasmi ni lini na wapi? na wewe hujasema unapatikana wapi? Karibu sana.

Binamu, umeona mwenyewe katekista Geoff hajatajwa. Manake nanvyomjua hachelewi kuingilia vismati vya watu. Tukae chonjo kabla hajatuovateki. Hahahaha!
 
hahahahah!shemasi nimeshakaribia ninaomba niku-ovateki,taa nimeshaiwasha
 
babylove karibu kwenye forum. hata mimi mwenyewe ni junior member lakini hao members uliowataja wanafanya hii page kuwa so homely and warm. napenda sana michango yao pia wengine wote wanachanga vema.

@chrispin : nadhani jinsia yake ni mwanadada username yake imekaa kidada "babylove"
 
Ingependeza sana japokuwa umri si tatizo sana. Is Babylove a married She? Hilo ndilo la msingi zaidi.
Mkuu speed yako ni ya rocket, ulitushindaga kwa FL tukakubali matokeo, hapa sikubali natoa wito kwa Masanilo, Yoyo, Fidel na Burn tusimwachie tena huyu ndg yetu atumalizie hata hili zali lililojitokeza na wasichana wengine humu igeni mfano huu, jamani sis tupo mkituhitaji
 
babylove karibu kwenye forum. hata mimi mwenyewe ni junior member lakini hao members uliowataja wanafanya hii page kuwa so homely and warm. napenda sana michango yao pia wengine wote wanachanga vema.

@chrispin : nadhani jinsia yake ni mwanadada username yake imekaa kidada "babylove"

Lo lo lo lo! Muulize PakaJimmy. Kuna midume humu ndani inatumia majina ya mademu. Wajanja tumewastukia. Hatuingii kichwakichwa. By the way JS are you he or she?
 
Back
Top Bottom