May be Dkt Samia is Frastated.

May be Dkt Samia is Frastated.

Kwa namna moja au nyingine MAMA ANAJITAHIDI KUONGOZA NCHI dhidi ya changamoto nyingi zinazomkabili.

UBARA DHIDI YA UZANZIBARI
MFUMO DUME NA IMANI YA JAMII YETU.
UTEKELEZAJI WA WAJIBU NA UTOAJI HAKI N.K

tatizo lipo kwa anaowapa nafasi ya kumsaidia, muda mwingine wanafiti muda mwingine wapo nje ya mfumo.

They are not flexible.

HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina Kasimu na Kamanda Siro muende mkalitazame hili kwa makini tuone "tunakwenda vipi".

Tumeanza kusikia "vijikelele kelele" vya watu kutaka kunipora urais wangu, nawaagiza mwende mkanipiganie mama yenu.

Suala JENGINE nasikia huko mitandaoni, ooh mama kauza bandari, mama kauza bahari, mama kafanya vile mama kafanya hivi, HAYO YOTE MKAYATAZAME.

MKINIKUNA NITAWAKUNA.

Cc: NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo Dr. gwajima D MIN -meRabbon Nyani Ngabu min -me
 
Makosa makubwa kabisa ya Dkt Samia
1: Baada ya kuapishwa kuanza vijembe vya kumsagia kunguni Mtangulizi wake (aliaminishwa hivyo na wale wahuni)
2: Kurushiwa mpira wa kugombea 2025 just few days baada ya msiba na yeye kuudaka (hapa walimtega ili waone ni namna gani wanaweza kumharibu ili akifika 2025 awe sifa zake za kugombea zimeharibika, na wamefanikiwa kwa 98%)
3: Kuamini uongozi wa Mtangulizi wake haukuwa mzuri kabisa (kumbuka na yeye alikuwa sehemu ya huo uongozi), hivyo kumfanya hata 2025 akinadi sera za awamu ya 5 (maana wahuni walimtengenezea slogan ya kazi iendelee ili akija 2025 akiitumia wamsute kwa kusema kazi gani iendelee wakati kuna ufisadi etc), so ni failure slogan hao wahuni walimuandalia
4: Kuamini kuwa waliokuwa wanafukuzwa kwenye teuzi na Mtangulizi wake walionewa (hapa walimtengenezea mazingira mabaya ili aje kujionea mwenyewe na uwe ushahidi wa serikali yake kushindwa
Waoo! one on the smartest ladies we have in JF.

Umefikiri na kuandika vyema mama
 
Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.

Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.

Bara vs Kisiwani

Kike vs Kuume

Magufuli vs Kikwete

patamu hapa
Sukuma gang wanajipanga

Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.

Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.

Bara vs Kisiwani

Kike vs Kuume

Magufuli vs Kikwete

patamu hapa
Sukuma gang wanajipanga

HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina Kasimu na Kamanda Siro muende mkalitazame hili kwa makini tuone "tunakwenda vipi".

Tumeanza kusikia "vijikelele kelele" vya watu kutaka kunipora urais wangu, nawaagiza mwende mkanipiganie mama yenu.

Suala JENGINE nasikia huko mitandaoni, ooh mama kauza bandari, mama kauza bahari, mama kafanya vile mama kafanya hivi, HAYO YOTE MKAYATAZAME.

MKINIKUNA NITAWAKUNA.

Cc: NAMBA MOJA AJAYE NCHINI DR Mambo Jambo Dr. gwajima D MIN -meRabbon Nyani Ngabu min -me
Mitano ya Magu,

Mitano ya sa100.

Kisha kumi ya ajaye. Asojua hesabu za kisiasa atahangaika sana.

Kiukweli,

HATOGOMBEA!!
 
Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.

Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.

Bara vs Kisiwani

Kike vs Kuume

Magufuli vs Kikwete

patamu hapa
angejua angestaafu mwakani kuliko kukaza nia wakati watu hawamkubali atakuja kupatwa na mshangao mataqajio yakiwa sio wanaomsifia wanamdanganya.
 
Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.

Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.

Bara vs Kisiwani

Kike vs Kuume

Magufuli vs Kikwete

patamu hapa
Kina manyuzi mmeshaanza kumpanikisha maza wa watu
 
Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.

Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.

Bara vs Kisiwani

Kike vs Kuume

Magufuli vs Kikwete

patamu hapa
1742529875843.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom