May be Dkt Samia is Frastated.

May be Dkt Samia is Frastated.

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,658
Reaction score
5,139
Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini chini dhidi ya watu wa chama chake,hajui alishike lipi aache lipi kila mtu ni rafiki na adui kwake.

Tumeshuhudia teuzi na tenguzi nyingi huenda tukaendelea kushuhudia makubwa zaidi,siasa ni mchezo mchafu.

Bara vs Kisiwani

Kike vs Kuume

Magufuli vs Kikwete

patamu hapa
 
Makosa makubwa kabisa ya Dkt Samia
1: Baada ya kuapishwa kuanza vijembe vya kumsagia kunguni Mtangulizi wake (aliaminishwa hivyo na wale wahuni)
2: Kurushiwa mpira wa kugombea 2025 just few days baada ya msiba na yeye kuudaka (hapa walimtega ili waone ni namna gani wanaweza kumharibu ili akifika 2025 awe sifa zake za kugombea zimeharibika, na wamefanikiwa kwa 98%)
3: Kuamini uongozi wa Mtangulizi wake haukuwa mzuri kabisa (kumbuka na yeye alikuwa sehemu ya huo uongozi), hivyo kumfanya hata 2025 akinadi sera za awamu ya 5 (maana wahuni walimtengenezea slogan ya kazi iendelee ili akija 2025 akiitumia wamsute kwa kusema kazi gani iendelee wakati kuna ufisadi etc), so ni failure slogan hao wahuni walimuandalia
4: Kuamini kuwa waliokuwa wanafukuzwa kwenye teuzi na Mtangulizi wake walionewa (hapa walimtengenezea mazingira mabaya ili aje kujionea mwenyewe na uwe ushahidi wa serikali yake kushindwa
 
Number 1 total failure!
Kuna Siri Sirini ambazo nyingi wooote hamjui, zombies wanawachezesha wanavyotaka wao zombie ukiitwa kushoto hauendi kulia inafuata kushoto ni zombie, zombie anabashiri kisichokua kweli, zombie anafikiria yasiyowahi kuwepo wala yasiyotarajiwa ni zombie

You're all zombified!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom