Matola umezungumza vizuri hapo sema tatizo hawa washabiki wengi wa soka kwa sasa ni zao la millenium.. Hawaijui historia hata kidogo.. Vilabu hivi vilikuwa vinaongozwa na wazee ambao hawakuwa na elimu lakini walikuwa na vipaji vya hali ya juu vya kuongoza soka kwa busara na hekima.. Viongozi ambao wali-sacrifice muda na pesa zao kuhakikisha vilabu vya simba & yanga vinakuwa na wachezaji wenye vipaji na waliojua kuucheza mpira uwanjani.. Wazee ambao waliunda vikosi b vya timu zao kwa ajili ya kuwaanda wachezaji wenye umri mdogo kuingia kwenye timu za wakubwa..
Leo wameingia viongozi "wasomi" ambao baada ya kuona mpira unalipa kibiashara wameamua kujali maslahi yao zaidi kuliko ya timu.. Leo kiongozi haogopi kuiingiza timu yake kwenye pambano dhidi ya mtani wake hata kama timu haina maandalizi mradi tu aingize pesa mfukoni.. Yaani viongozi wa simba na yanga wakishirikiana na tff wanakaa kama kamati na kuangalia jinsi gani wanavyoweza kuchuma pesa ili wajitajirishe wao.. Hawajali feelings za wapenzi na mashabiki wa vilabu vyao as long as wao wanapata pesa..
Nyepesi ni kuwa Coutinho naye nje.
Mi nilisha sema kuwa huyo Maximo amekuja kutafuta aibu tu na kupoteza heshima yake aliyondoka nayo.Hizi timu za yanga na simba kwa sarakasi tu ni kama magamba, wao kushindwa ni msamiti lazima kinuke tu!!
Umemaliza yote, labda tu niulize swali la nyongeza kati ya Mzee Tabu Mangara na Billionare msomi Yusuf Manji ni nani ameacha legacy?
Pia ningependa kujuwa usomi wa Bakhresa nadhani huyu atakuwa ni Profesa bila shaka.
Eti wasomi wenyewe wa degree 3 kina Le Mutuz ndio uwafanishe na wazee walioanzisha hizi Club haya ni matusi.
Thanks God yule hakimu mla rushwa hakupita kwenye Urais wa TFF maana mngeshangaa leo TFF kamati nyeti na Le Mutuz yumo.
Hiyo itamwondoa Phiri maana naye kaokolewa na Ruvu Shooting. Ngoja ligi ianze na hao Waganda wenu mtakiona cha moto. Mganda mmoja mmemsajili alikuwa chakula cha Mubiru. Kwa taarifa zaidi google 'Smoked, FUFA boss sodomizes Crane's player'.
Kwa simba hilo si tatizo, wana uzoefu.
Si ajabu, kuna mtu anamtafuna huyo chakula ya mubiru.
daaah! ni shida kumbe!?Mkuu MOSSAD II hakuna hatari, hz timu za kariakoo ndio kawaida yao kuwa na wachezaji ama ht kocha mfuasi wa d. cameron, hy mganda sina details zake, lkn ht kbl ya huyo, tyr simba inae mchezaji mwenzie na d. cameron, mganda anaongezea idadi!
huko nyuma walikuwepo mpk makocha, ht yule mzungu wa Yanga aliekuwa analala na chuji, wote ni wale wale!
Kwani ulitaka watu wote tushabikie hayo matimu yenu ya kariakoo?
Kwani tulioanza kufuatilia soka la bongo kuanzia mwaka 2009 lazma tushabikie simba au Yanga?
Acha kukariri
Kama wewe ulizaliwa 2000 kushuka chini, wewe ni Simba au Yanga. Azam utaenda kwa mkopo, huu ndo ukweli.