Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

Hiyo itamwondoa Phiri maana naye kaokolewa na Ruvu Shooting. Ngoja ligi ianze na hao Waganda wenu mtakiona cha moto. Mganda mmoja mmemsajili alikuwa chakula cha Mubiru. Kwa taarifa zaidi google 'Smoked, FUFA boss sodomizes Crane's player'.

2 - 0, bado zinakusumbua wewe!! Katika makocha ambao Simba wana subira nao, ni Phiri.
 
mmh, it's more than danger!

Mkuu MOSSAD II hakuna hatari, hz timu za kariakoo ndio kawaida yao kuwa na wachezaji ama ht kocha mfuasi wa d. cameron, hy mganda sina details zake, lkn ht kbl ya huyo, tyr simba inae mchezaji mwenzie na d. cameron, mganda anaongezea idadi!
huko nyuma walikuwepo mpk makocha, ht yule mzungu wa Yanga aliekuwa analala na chuji, wote ni wale wale!
 
Last edited by a moderator:
Yanga ni timu ya kipumbavu kuwahi kutokea ktk dunia hii. Hivi ubora wa kocha unatokana na kumfunga mpinzani? Ingetikea wangeshinda (tufanye 5-0) je wangemfukuza? Wasomi wetu acheni kukazana na siasa tu, hata michezo inaitaji msaada wenu. Hii kuwaachia michezo watu wenye uelewa mdogo haya ndio madhara yake.
 
Mkuu kama ulikuwepo. Nimewahi kuanzisha uzi kama huo kwamba nini unatamani kife hapa tz. Binafsi nilisema Yanga, Simba na CCM uzi haukuchukua hata dakika 5 mods wakaondoa. Nisubiri tena nione kwa hii coment.

Simba na Yanga ni janga la soka la Tanganyika.
 
Ningekua wazili wa michezo ningefanya kila juhudi kuhakikisha nazifuta yanga & Simba.
 
Yanga ni timu ya kipumbavu kuwahi kutokea ktk dunia hii. Hivi ubora wa kocha unatokana na kumfunga mpinzani? Ingetikea wangeshinda (tufanye 5-0) je wangemfukuza? Wasomi wetu acheni kukazana na siasa tu, hata michezo inaitaji msaada wenu. Hii kuwaachia michezo watu wenye uelewa mdogo haya ndio madhara yake.

Wewe unaota daylight dream wasomi wana msaada gani kwa nchi hii? Si watauza hadi majengo ya Club yaliyojengwa na wazee ambao hawakuwa na elimu yoyote zaidi ya uzalendo na busara tu.
 
Utakuwa labda mgeni kwenye soka la bongo, kama si mgeni, utake usitake eidha Simba au Yanga imechomelewa kwenye damu yako. Acha kudanganya watu. Azam haina mashabiki, ina watu wanayoipenda.

Kwani ulitaka watu wote tushabikie hayo matimu yenu ya kariakoo?

Kwani tulioanza kufuatilia soka la bongo kuanzia mwaka 2009 lazma tushabikie simba au Yanga?

Acha kukariri
 
Wewe unaota daylight dream wasomi wana msaada gani kwa nchi hii? Si watauza hadi majengo ya Club yaliyojengwa na wazee ambao hawakuwa na elimu yoyote zaidi ya uzalendo na busara tu.

Kwahiyo bora wanywa gahawa kina dalali na Mzee akilimali?
 
We mpumbavu nini!? Mtu atashabikia vipi kitu asicho na upendo nacho? Kwataarifa yako Azam inayo wapenzi /mashabiki, (mimi nikiwa mmoja wao). Wahafidhina wachache (hasa wa mikoani) ndio musiotaka kubadika. Yanga & Simba zinaitia habu ligi yetu na taifa kwa ujumla. Hivi mpaka dunia ya leo, kocha anaweza kufukuzwa kwaajili ya kufungwa na mpinzani? Ndio maana hazifikigi kokote kwenye medali za kimataifa, sababu zenyee zinamaliza nguvu na bajeti yote kwa kumfunga mpinzani tu.

Utake usitake Simba au Yanga ipo kwenye damu yako. Azam ni timu ya kukimbilia wale ambao timu yao eidha simba au yanga inafanya vibaya. Ukweli ndo huo, Azam haina mashabiki. 2 - 0 zimekuvuruga, umeenda kwa mkopo!
 
Huyo plujm akirud atakuwa mpumbavu....

Kaka alikorudi huenda alikuwa juu ya mawe. Na akija huku anakuwa matawi na mshiko wa nguvu.
Mbona maximo hamkumuonga mjinga? Mtu alikuwa amefika kufundisha timu ya taifa eti akarudi kufundisha timu ndogo kama yanga
 
Kwani ulitaka watu wote tushabikie hayo matimu yenu ya kariakoo?

Kwani tulioanza kufuatilia soka la bongo kuanzia mwaka 2009 lazma tushabikie simba au Yanga?

Acha kukariri

Kama wewe ulizaliwa 2000 kushuka chini, wewe ni Simba au Yanga. Azam utaenda kwa mkopo, huu ndo ukweli.
 
Back
Top Bottom