Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

We mpumbavu nini!? Mtu atashabikia vipi kitu asicho na upendo nacho? Kwataarifa yako Azam inayo wapenzi /mashabiki, (mimi nikiwa mmoja wao). Wahafidhina wachache (hasa wa mikoani) ndio musiotaka kubadika. Yanga & Simba zinaitia habu ligi yetu na taifa kwa ujumla. Hivi mpaka dunia ya leo, kocha anaweza kufukuzwa kwaajili ya kufungwa na mpinzani? Ndio maana hazifikigi kokote kwenye medali za kimataifa, sababu zenyee zinamaliza nguvu na bajeti yote kwa kumfunga mpinzani tu.

Kama umeweza kubadili toka Simba au Yanga, wewe huujui mpira wa bongo, unafuata upepe unapoelekea. Ila kwa jinsi ilivyo, naona 2 - 0 bado inaingia, tulia ifike kwenye mishipa husika!
 
Kwani ulitaka watu wote tushabikie hayo matimu yenu ya kariakoo?

Kwani tulioanza kufuatilia soka la bongo kuanzia mwaka 2009 lazma tushabikie simba au Yanga?

Acha kukariri

Una umri gani, labda tuanzie hapo!! Kama wewe umezaliwa 2000 kushuka, wewe ni Simba au Yanga, vinginevyo, basi ulikuwa hauishi hapa Tanzania, period
 
Una umri gani, labda tuanzie hapo!! Kama wewe umezaliwa 2000 kushuka, wewe ni Simba au Yanga, unless vinginevyo, basi ulikuwa hauishi hapa Tanzania, period

Hivi unajua kuna watanganyika ambao hawana hata chembe ya ushabiki wa mpira wa bongo ila Mbele?
 
Hivi unajua kuna watanganyika ambao hawana hata chembe ya ushabiki wa mpira wa bongo ila Mbele?

Eti eh!! Kwa hiyo na wewe ni mmoja wapo? Sasa "nimekuelewa", nakuunga mkono mzee wa Ramba Ramba!! Mimi naendaga Azam mkopo, wakicheza na Yanga au timu ya nje. oooooooops! Samahani, nimekumix kidogo, we si Azam, ni mzee wa Manu. Hongereni kwa kushinda mtani jembe ya Uk juzi.
 
Wewe unaota daylight dream wasomi wana msaada gani kwa nchi hii? Si watauza hadi majengo ya Club yaliyojengwa na wazee ambao hawakuwa na elimu yoyote zaidi ya uzalendo na busara tu.
Kijana! Dunia ya leo, Busara na Uzalendo tu, vishakua havina msaada wowote kwenye jamii. Dunia ya leo ilipo simamia inahitaji miono (Elim) alafu kisha hivyo ulivyo vitaja (uzalendo na busara) vinakuja nyuma. Ninaimani wasomi wetu wangeamua kujazana kwenye michezo, basi taifaletu lingepiga hatua ktk medali za kimataifa tofauti na tulipo kwa sasa. Lakini kwakutegemea mtu kama manji au Rage (marakumi huyu Aveva) ndio watukuzie soka letu, hilo tutangoja kama wafuasi wa kibwetele.
 
Mkuu MOSSAD II hakuna hatari, hz timu za kariakoo ndio kawaida yao kuwa na wachezaji ama ht kocha mfuasi wa d. cameron, hy mganda sina details zake, lkn ht kbl ya huyo, tyr simba inae mchezaji mwenzie na d. cameron, mganda anaongezea idadi!
huko nyuma walikuwepo mpk makocha, ht yule mzungu wa Yanga aliekuwa analala na chuji, wote ni wale wale!

Hapo kwa mzungu wa Yanga Tom Saintfiet na Chuji ni kweli 100%, ila watu wa Yanga walijitahidi kweli kuficha na wakamtimua fasta fasta kabla haijavuja zaidi.
 
*** you *** you *** you yanga.....mimi ni shabiki wa yanga sitashabikia tena yanga teeeeeeeeenaaaaaaaaaa,nahamia azam fc rasmi sasa,am doneeeee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Eti eh!! Kwa hiyo na wewe ni mmoja wapo? Sasa "nimekuelewa", nakuunga mkono mzee wa Ramba Ramba!! Mimi naendaga Azam mkopo, wakicheza na Yanga au timu ya nje. oooooooops! Samahani, nimekumix kidogo, we si Azam, ni mzee wa Manu. Hongereni kwa kushinda mtani jembe ya Uk juzi.

Ni wakati wa mashabiki wa man u kukaa tena kwenye viti vya Mbele kwenye vibanda umiza!!

Mateso ya Moyes maisha.
 
Kwa wale mnaosubiri soka la Tanganyika kufanya vizuri,ni bora mjiandae kisaikolojia.
Halitaendelea kamwe.
 
Nashangaa kwamba wananung'unika wakati ndicho walichostahili! Yanga kwa Simba ni mdebwedo mwacheni huyo katimiza wajibu wake. Na hata hivyo mmepigwa vichache viwili tu mnalalamiiiika utafikili kila mchezaji kafungwa goli (Goli 11).
 
Back
Top Bottom