Maxence Melo: Watanzania wana haki ya kutokuamini taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu kuhusu alipokuwa Makamu wa Rais

Tumekuwa tukisema muda mrefu, hakuna kitu kibaya kama serekali kupika taarifa, imefikia mahali sio waziri mkuu tu, hata serekali nzima ikisema kitu watu waamini. Watu wenye uwezo mdogo tu wa kuhoji/kuatafakari ndio wenye ujasiri wa kuamini taarifa za serekali hii. Ukishaona serekali inaingia madarakani kwa njia za uongo, ujue uongo ndio utakuwa msingi wa utawala wake. Kitendo Cha taarifa ya waziri mkuu kutokuaminika, hiyo ni ishara tosha kuwa serekali haiminiki tena.
 
View attachment 2840103

Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu.
a haki ya kutokumwamini Waziri Mkuu, yaliwahi kutokea enzi za Uongozi wa Hayati Magufuli, mazingira ya wakati huo na sasa kwa kiasi fulani yalikuwa yanafanana.
Inahitaji akili ya mwendawazimu kumuamini kiswaswadu
 
Hakunaga kitu kibaya hapa duniani kama Kutoaminika

Watu wanampenda Tundu Antipas Lisu kwa sababu anaamika, hilo tu!
Sema unampenda wewe lakini mimi namuona Lissu kama mbabaishaji,mnafiki,ndumila kuwili ,muongo,msaliti,mwenye mihemuko,mkurupukaji ,asiye na adabu wala staha wala hekima wala chujio la ulimi wake na mengine mengi tu. Unakumbuka namna Lissu alivyokuwa akimtukana mh Lowassa kwa miaka nane mfululizo? Vipi ilipofika 2015? Lissu alisema nini tena kuhusu huyo huyo mh Lowassa? Sasa unaanzia wapi kumpenda au kumuamini mtu kama Lissu?

Mimi namuona Lissu kama mtu asiye faa kuongoza watu wenye akili Timamu na wanaojitambua.saiz yake ni huko huko CHADEMA wanakofanana akili na kuwa nawatu wengi dizaini ya akina Mdude Nyagali watukanaji na wanuka matusi Utafikiri wameopolewa kwenye shimo la choo.
 
Tatizo lenu wengi humu Jf Siasa mmekutana nazo mkiwa na NJAA

Lowassa alishambuliwa kweli lakini baada ya kujiuzulu uPM akajieleza na akaeleweka kiasi cha 2015 kupata 40% ya kura

Unapoona NEC imempa alama 40 ujue alishinda maana hiyo ni Pure haina wizi ndani yake 😂
 
Alieleweka vipi kwa CHADEMA na akina Lissu ? Mbona waliendelea kumshambulia kwa mashambulizi yenye matusi ndani yake?
 
Back
Top Bottom