PAmoja sana kiongozi.
Woga huwa hawana mafanikio.
Si kazi rahisi kuwa mwanaharakati,
wengi hukutwa na mengi,
ama VICTIMIZATION au DISCRIMINATION,
ukilijua hilo,
unapiga kiufundi,
ili hata kama wakikutafuta,
wanakuta vumbi.
Huwa hatukati tamaa,
kwa sababu,
ndio jinsi tulivyoumbwa.
HARAKATI kwetu,
ni sehemu ya maisha yetu.
Sasa kilichosalia,
ni kupambana,
ili Ben saanane naye,
AONEKANE.
#ReleaseBenSaanane#
PAMOJA MAX.