Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

TUKO PAMOJA MKUU....MUNGU AKUZIDISHIE NGUVU NA UJASIRI....UNAONA NI NAMNA GANI WATU WANAVYO KU SUPPORT,ONA UMATI UNAOKUJA KUKUTEMBELEA HUKO GEREZANI KEKO HIYO YOTE INAONESHA NI NAMNA GANI UNAVYOKUBALIKA..

[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]

OVA
 
Mkuu Melo kuna neno na ushauri ushauri wangu pale Na. 390.

Unasema hivi: Asante sana kwa mchango wako katika taifa hili katika kupigania uhuru wa vyombo vya habari na kutoa maoni maana ni haki ya kuzaliwa ya binadamu.

Kupitia kwako naomba ujumbe huu umufikie Mzee Mwanakijiji. Ki ukweli naomba umfahamishe kuwa hakuwatendea haki wananchi pale alipokuwa anawatetea watawala huku akijua kuwa watawala wanakandamiza raia kwa kuwanyima freedom of expression na kuvunja katiba.

MMM Amechangia kuwapa kiburi watawala kuendelea kutenda wanayotenda sasa kwako na kwa wengine pia kama Lema.
 
Pole sana kiongozi. Winnie Mandela alipokamatwa nakuwekwa jela na Serikali ya Kibaguzi ya Makaburu na pale alipotoka jela alisema nini?

"You did not break me, you made me"

Kumpa support Bwana Max, Hatusimami kupinga wala kushindana na Mamlaka zetu. Hili ni suala la kisheria. Ingawa bado tunaiomba Mamlaka kuyafuta mashitaka hayo.

Kumtolea mtu siri zake ni sawa na kuukanyaga utu wa mtu. Ni udhalilishaji wa hali ya juu.

Tusisahau, Wikileaks waliponyakuwa siri za Mitandao, lilileta aibu sana na mfarakano wa hali ya juu. Mamlaka yetu itajisikiaje kama siri zake za kikazi au za wafanyakazi wake zianikwe hadharani? Hata sisi akina vimbelembele hatutapenda kuona hayo. Hakuna aliyekuwa juu ya sheria. The good you want for yourself, you must also wish the same for me. Kutunza na kuhifanyi siri ndio Ubinaadamu. Nani anataka kuwa na pepo la Yuda Eskarioti?

Heri na Baraka za Krismas zikufikie Bw Max na familia yako, pamoja na Mamlaka zetu na wananchi wetu wote. Sisi wote ni familia moja.

Mwenyezi Mungu awe na sisi.
 
Umoja ni Nguvu, utengano huleta udhaifu. Mapambano haya yaendelea kwa umoja ili tuweza kumshinda Adui anayetaka kunyemelea Uhuru wa habari.

Tuko pamoja Melo.

Kazi inaendelea.
 
Pole sana brother...

Yani uwezi amini hii serikali mengi najitahid kujipa moyo ana wa discipline watumish wake waliozoea kutokuwajibika.

ila kwenye hili ase la wazee wa habari, dah kanikwaza ase..
 
Tuko pamoja captain wetu... Nachojua kuhusu ishu yako it's just because of dotikomu.... Na nyingine under carpet it's secret of user [emoji185] [emoji723].....! But I'm not sure
 
Back
Top Bottom