Jamani wapendwa nimeona ni-share na nyie hili, nimepitia page ya EATV na kuona wameweka kuwa kesho katika chat yao ya KIKAANGONI LIVE, watamkaanga mwanzilishi wa Jamii Forums, naamanisha atachati na kujibu maswali ya watu tofauti kuhusu yeye na jamii forums
================================
Kwa wale wanaopenda kufahamu zaidi kuhusu Maxence Melo Soma - https://www.jamiiforums.com/great-t...ew-with-jamiiforums-founder-maxence-melo.html
================================
Kwa wale wanaopenda kufahamu zaidi kuhusu Maxence Melo Soma - https://www.jamiiforums.com/great-t...ew-with-jamiiforums-founder-maxence-melo.html