Maxence Melo ndani ya Kikaangoni LIVE EATV

Maxence Melo ndani ya Kikaangoni LIVE EATV

Sure akaangwe live tule nyama!!!! Kweli Maxence Melo ni lazima utuambia ni kwa nini JF si kama ile ya miaka ya 2008? Baada ya Jambo Forum? Mabandiko mengi yalisaidia sana kurekebisha masuala kisiasa na kiuchumi na kijamii pia. Cha kushangaza wakiweka watu mabandiko kama hayo basi huwa yanaondolewa hasa kwa baadhi ya watu Fulani!!!! Soma vizuri thread utaiona challenge hii inatoka kwa baadhi yetu pia. I second!!
 
Mkuu Skype, itakuwa ni saa 6 kamili mchana.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI
 
Last edited by a moderator:
Kumbe huyo ndo mwanzilishi mwenza wa JF mi nilifikiri ni Ritz
 
Last edited by a moderator:

Yani mkuu nikikuangalia nakuona kama unataka kunipiga ban vile! Uwe na hurama kidogo bana........
attachment.php
 
sasa mbona wanaweka mchana wakati watu tuko makazini jamani?
mm wananiboa sana
wangeweka usiku tumshangae halafu mm nilifikiri jf ni mali ya SISIEMU
 
Maoni yako na ushauri (kama umetoa) nayapokea kwa mikono miwili. Asante.
Vizuri mkuu, pole nimekusoma kumbe tatizo ni simu kufungua attacment, anyway ni kuanzia saa 6 mchana tarehe 26 March 2014 siku ya Jumatano.
 
Vizuri mkuu, pole nimekusoma kumbe tatizo ni simu kufungua attacment, anyway ni kuanzia saa 6 mchana tarehe 26 March 2014 siku ya Jumatano.

Sawa mkuu, ndiyo maana nimemsoma msomi Addrian Stepp akinishushua ila nilichukulia poa kwa kua hapa duniani tunazidiana elimu na uwezo wa kufikiri. Mkuu uwe na siku njema.
 
Mkuu, heshima yako bana. Yawezekana kweli kusoma sijui hata picha yawezekana sikuiona na sijaiona pia. Hii inatokana na uwezo wa simu yangu kuwa mdogo ktk kufungua baadhi ya attachment kama pdf, jpg, png, jpeg, nk nk nk. Kwa hiyo niwie radhi kwa mapungufu ya simu yangu na kama hutojali baada ya maelezo haya nadhani uko tayari kunijibu nilichokiuliza.

Naomba radhi kwa hilo ndugu Skype, maelezo ya mwanzisha thread hayakuwa na muda isipokuwa attachment ndio ilikuwa na muda kitu ambacho kilinifanya nihukumu moja kwa moja.
Nimejipima na nimeona nimekukosea kitu ambacho si kawaida yangu.
Tafadhali naomba tusameheane kwa sababu hizi ni social network inatakiwa tuelimishane, tujifunze, tuhabarishane, tuburudike nk na si kukosana kwa namna yeyote.
Natumai utanisamehe kama umenielewa ndugu Skype.
Kuhusu muda attachment imeandikwa
Ni jumatano hii
tr 26-3-2014
saa 6 mchana.
 
Last edited by a moderator:
Haya maswali inabidi ukawaulize hao mwana ambao wanatumia jukwa lao kukashifu jf na wamiliki wake.
Soma kanuni za jf utajua kwanini nyuzi ambazo hazina msingi zinaondolewa na wala si za zitto.

Unajua nyie watu ni wa ajabu sana maana mnataka kila mnacho weka humu kiachwe tuu.

Hivi mtafurahi siku jf hikifungiwa kwa mabandiko yenu?
Tatizo lenu mnataka kinacho wapendeza ninyi si kilicho bora.

Hiyo Mwana yenu mmeianzisha kupambana na jf.

Cc BAK Mozila Fire Fox, Yericko Nyerere.

tuu
 
Last edited by a moderator:
Naomba radhi kwa hilo ndugu Skype, maelezo ya mwanzisha thread hayakuwa na muda isipokuwa attachment ndio ilikuwa na muda kitu ambacho kilinifanya nihukumu moja kwa moja.
Nimejipima na nimeona nimekukosea kitu ambacho si kawaida yangu.
Tafadhali naomba tusameheane kwa sababu hizi ni social network inatakiwa tuelimishane, tujifunze, tuhabarishane, tuburudike nk na si kukosana kwa namna yeyote.
Natumai utanisamehe kama umenielewa ndugu Skype.
Kuhusu muda attachment imeandikwa
Ni jumatano hii
tr 26-3-2014
saa 6 mchana.

Usijali ndugu yangu, tuko pamoja na ndiyo maana nilipoona jibu lako sikuhamaki ghafla ila niliamini huenda umekoment kwa kuamini hata mimi ntakua natumia kifaa chenye uwezo mkubwa. Vinginevyo nikushukuru kwa kunijibu sasa nilichouliza hapo awali. Nikutakie siku njema.
 
Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom