Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,141
- 56,602
Hata sikumbuki. Mpaka nirevist thread.Hii siku ulikasirika Sana Mkuu.

Ama kweli yametimiayatakwisha haya mbona kwa bongo ni vtu vidogo
yaani jeupeeeeeee kabisa hii bongo mpaka malaika wanashangaa
Nadhani Musiba angekua karibu ungemramba makofi kabisaHata sikumbuki. Mpaka nirevist thread.
Tumepitia kila aina ya unyama
Huo mzimu umsaidie kuwalipa BM na Fatma KarumeTuache siasa, uchunguzi wa kina ufanyike kuhusu tuhuma za Musiba. Kwani yeye mwehu? Yote aliyosema hakuna hata moja la kweli? Naomba mzimu wa JPM umlinde Musiba.
Halafu kuna watu wanataka kombe lifunikwe kienyeji.Tumepitia kila aina ya unyama
Sababu ya matumizi mabaya ya kitengoNi kwa mini aliamua kuwazushia hawa watu?
Tuache siasa, uchunguzi wa kina ufanyike kuhusu tuhuma za Musiba. Kwani yeye mwehu? Yote aliyosema hakuna hata moja la kweli? Naomba mzimu wa JPM umlinde Musiba.

Magazeti yake yalichafua taswira ya TanzaniaMkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anahojiwa na ofisi ya Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai ( DCI) Jijini Dar Es Salaam muda huu.
Maxence anahojiwa muda mchache baada ya magazeti ya leo ya Tanzanite na Fahari Yetu kuandika kwamba Maxcence Melo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, TCRA, Balozi Emmanuel Nchimbi na Benard Membe wanapanga njama za kumuua Cyprian Musiba.
Maxence anahojiwa chini ya wakili wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania, Jones Sendodo.
Mbali na Maxence Melo, Magazeti ya Tanzanite na Fahari yetu, yamedai kwamba Mkakati huo wa kumuua Musiba unapangwa pia na baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Watumishi wa Jeshi la Polisi Nchini na Kigogo wa CCM.
Wengine walio kwenye mkakati huo wa kutaka kumuua Musiba ni Balozi wa Tanzania nchini Brazil Dkt. Emmanuel Nchimbi, Benard Membe, Ofisi ya DDP, Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kanali Kipingu.
Magazeti hayo yamedai watumishi wa TCRA wamefunga account za Mitandao ya Kijamii ya Musiba na kufuatilia Mawasiliano yake.
Gazeti hilo limedai pia kwamba watu hao wanajipanga kifungua kesi nne, Mbili mahakama kuu na mbili mahakama ya Kisutu. Mbali na kesi pia kwamba wana mpango wa kuondoa uhai wake.
Pia Magezeti hayo yamedai kwamba hili Genge linalotaka kumtoa uhai wake, lilikuwa na mkakati wa kuhakikisha wanamuondoa rais Magufuli kupitia baadhi ya wajumbe wanaoingia katika mkutano mkuu wa CCM (NEC) na Kamati kuu(CC), ili asiweze kuendelea na kipindi chake cha pili cha Urais.
Cyprian Majura Musiba ambaye alikuwa Mtangazaji wa zamani wa runinga ya Channel Ten na radio ya Magic FM, ni Mkurugenzi wa kampuni ya CZI na Mhariri wa magazeti ya Tanzanite na Fahari yetu.
Tutaendelea kuwajuza.
======
UPDATES; 1445HRS
MAXENCE MELO AACHIWA BAADA YA KUHOJIWA NA OFISI YA DCI KWA SAA NNE
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo ameachiwa bila masharti yoyote na Ofisi ya DCI baada ya kuhojiwa juu ya tuhuma zilizotolewa na magazeti ya Fahari Yetu na Tanzanite kuwa anashirikiana na Polisi, TCRA, Bernard Membe, Balozi Emmanuel Nchimbi, Kanali Iddi Kipingu na Wakili Jonathan Mndeme kupanga njama za kumuua Ndg. Cyprian Musiba. Maxence amekuwa mtu wa kwanza kuhojiwa saa chache baada ya gazeti kutoa habari hizo.
Amehojiwa kwa Saa Nne.
Dar es Salaam
11.07.2019
Zaidi, soma Tuhuma za mauaji: Nimehojiwa na Polisi, nimetimiza wajibu wangu
View attachment 1151111View attachment 1151112
No way! Acha alipe hizo B tisa na fatma nae adai chake! Enzi ile kulikua na upuuz sana!! Yaan usipofuata wanachotaka wao lazima upewe kesi uteswe au upotezwe mazima!! Mambo ya hovyo kbs.Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anahojiwa na ofisi ya Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai ( DCI) Jijini Dar Es Salaam muda huu.