Maxence Melo aanza kujitetea Kesi Namba 456 Jamhuri vs JamiiForums juu ya Oilcom na Uchakachuaji Mafuta Bandarini

Dah!😀
hii ndo examination in-chief!
Kibatala ni kiboko aisee!

Mkuu usisahau kutupatia updates za tar 28
 
Hahaha hakuna kesi hapò, jamhuri inaawasumbua tu raia wåke

Laiti raia wangekuwa wanapoishinda jamhuri wanaishtaki kwa kuwasumbua, kuwadhalilisha, kuwafedhehesha na kuwapotezea muda. Kisha wanaidai mabilioni ya shilingi...
 
Hata mimi nashangaa. Mtoa taarifa siku zote analindwa, fanyia kazi kama kuna ukweli chukua hatua kama hakuna ukweli, achana na kesi hiyo.

Sasa kuchafuliwa kwa kampuni ya oilcom, inakuwaje serikali ichukie? Au oilcom ni kampuni ya serikali hivyo kuichafua ni kuichafua serikali pia?

Totally confused
Ohoo
Hivi serekali ilifanyia kazi huo uhuni wa oilcom au kufanyia kazi ndio kumsaka mtoa taarifa
 
Mods nibadilishieni jina mnipe guuuuuuum ili nikishtakiwa wakili wa Jamhuri Sylvia akikosea kulitamka namruka futi buku kwamba siyo mimi

nilipoteza sana mda kusoma haya ninayoyafanyia kazi bora uanasheria au MD?
 
Naona yaleyale, ya usumbufu na kukuumiza kisaikolojia, ufike mahali uchoke akili na mwili, hakuna mantiki kwenye kesi hii. ni ku- Buy time tu.
 
Back
Top Bottom