Maxence (baada ya ajali ya gari): Ahsante Mungu, ahsante watanzania!

Status
Not open for further replies.
Pole sana,

Mimi nimefarijika kusikia mnaendelea vyema. Kwa hakika Mungu ni mwema na yatupasa kumuomba na kumshukuru muda wote.

Yesu ni mwema
 
Last edited by a moderator:
Pole sana na Mungu awe nanyi, na pia tunashukuru kwa ushauri hasa kwa sisi maderva. Be blessed brother
 
Hakika MUNGU wetu aliye mweza wa yote yu pamoja nasi!

Tuna kila sababu ya kurudishia Mungu wetu sifa yake ya kipekee! Sisi kama Mi na wewe tuna mtazamo wa hapa tu ila tuna mwenye maisha yetu ambaye anauweza wa kusema mwisho wetu kabla ya mwanzo.

Kila jambo na majira yake ya Ndg ya Maxence Melo na mna kila sababu ya kipekee kabisa ya kulitaja jina lake Daima!

Tupo pamoja mwanzo mwisho hata hata siku ya kutoa shukrani madhabahuni mwake Bwana nakuomba usitutenge!

Tumshukuru MUNGU mwenye mamlaka mwanzo mwisho!
 
Pole sana,na japo kwenye huu mtandao ni sehemu ambayo Mungu anatukanwa na kukanwa karibia kila siku.ni ajabu bado mtu anaweza kuwa na uwezo wa kuweka hapa post kama ulivyofanya,kweli neema za Mungu zimetapakaa kila mahala.sifa kwa Mungu baba na Mwokozi wetu Yesu Kristo.
 
Kutaja jina la Mungu yatosha Max. Tutaendelea kuomba pamoja nawe uvimbe wako upone haraka uendelee na kazi ya kujenga taifa letu. Uvimbe huo ukipona naamini na kichwa kinachouma kitaacha kuuma. Naomba Mungu aendelee kukupigania katika hili.
 
Ugua pole Max na dogo, mungu aendelee kuwatia nguvu mpone haraka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom