Max Melo kajitolea kutulinda, sisi tumeshindwa kumlinda, lakini vifungu hivi vinawapa nguvu polisi

Wasalaam wana JF,

Kwanza nimesikitishwa sana na kusumbuliwa na kushikiliwa kwa Melo kwa kile kinachoitwa kushindwa kutoa taarifa za baadhi ya wanachama kwa jeshi la polisi.

Melo ni shujaa maana anatupigania sana na ameendelea kutupigania na anasumbuliwa kwasababu yetu sisi lakini ni ukweli ulio wazi sisi tumeshindwa kumpigania au kuipigania JF hata mara moja...

Hakuna anayejua ni data za kina nani zinahitajika lakini ni ukweli ulio wazi sisi wanajf baadhi yetu tumekuwa tukiutumia mtandao huu vibaya na kweli JF admin wamekuwa wakifanya kazi kubwa kuturudisha kwenye mstari lakini wengine tumekuwa tukiwaona wao wabaya au kutuonea.

Pengine Melo anasumbuliwa kutokana na baadhi ya maandishi yetu hasa ya uongo, uchonganishi na matusi kwa viongozi au kwa Umma..., Lakini kwakuwa ni wajibu wake kulinda usiri wetu inabidi achukue mzigo wa kutulinda.. Ni wazi kuna baadhi ya mabandiko hapa yetu yanakuwa ni ya uongo, uchochezi japo mods hujitahidi kuyafuta lakini mengine yanakuwa yameshasababisha madhara na kusambaa...

Hawa mods wa JF akiwemo Melo hufanya kazi kubwa ya kutuweka kwenye mstari lakini tumekuwa viburi lakini tunasahau kuwa cyber crime act inawabana JF na wao ndio huwa wa kwanza kusumbuliwa tunapohitajika...

Ni lazima tuwe na huruma kweli kwa Melo na JF kwa kutoandika uongo au mambo tunayo yaona hayafai au yanavunja sheria za nchi na bahati mbaya mods wanapokuja kuyafuta yanakuwa tayari yameshazagaa na wengi wananukuu chanzo ni JF na tumekuwa tukitumia neno "tetesi" kusambaza uongo hadi inafikia baadhi ya taasisi kutuhumu JF moja kwa moja.

Ni vyema watu tukafahamu sisi ni sababu ya Melo kusumbuliwa na inasikitisha yeye anasumbuliwa kwasababu yetu na anatupigania lakini sisi hatumpiganii tunasubiri madhara yakishatokea ndio tunaanza kuongea.... Mfano watu wakipigwa ban kwa kukiuka sheria wataanza kusema eti oooh emenunuliwa oooh anabana uhuru oooh anatumika na serikali...

Melo ameendelea kutupigania bila kujali kashifa na matusi yetu tunayomtukana wanapokataa JF kutumika kuvunja sheria, leo hii anasumbuka kwakuwa sisi tumeshindwa kumlinda maana tunasahau kuwa yeye ana beba dhamana yetu...

Nilishasema sehemu kama JF wataona kuna kila sababu ya kufuta id yangu kwakuwa imekuwa ikisababisha usumbufu usio wa lazima ni bora waifute kuliko siku moja JF ikifungwa...ni bora nikaisoma JF kama mgeni kuliko kuwa sababu ya JF kufungiwa au wamiliki wake kusumbuliwa.

Lakini wana JF tunasahau kuwa haya ni matokeo ya cyber crime act (2015) ambayo imewapa nguvu kubwa sana jeshi la polisi kuomba taarifa ya mtu yeyote kutoka taasisi yeyote ile na anapokataa wao huiandikia mahakama kumshurutisha kutoa taarifan hivyo ni wazi Cyber crime act ina wapa nguvu sana polisi....

Tusome baadhi ya hivi vipengele vinavyo toa nguvu kwa jeshi la polisi kwenye sheria hii ya mitandao.

View attachment 446122
View attachment 446123
View attachment 446124

View attachment 446125
View attachment 446127

Umeandika mengi bila sababu, hii sheria ilipingwa na watu wengi isipokuwa wana CCM kwa ushabiki mkaipitisha. Hoja hapa ni kwamba kwa kuwa mlishapitisha sheria ya kikoloni msigeuke na kulaumu wanaJF kwa michango yao. WanaJF walitimiza wajibu wao kwa kuirarua na kuonyesha kuwa ni sheria mbovu.

Haya ni matokeo ya kutunga sheria zinazopinga uwepo wa maendeleo ya jamii halafu wewe uliyetunga hizo sheria unalalamika eti hakuna maendeleo na hujui ni kwanini nchi yako ni maskini.
 
JF is a business, and whatever the brother-man's going through is to protect his business, period. In the end, I just hope it's all worth it.

Keep it strong Melo.
 
Wewe hujui sheria mtoa mada unazingua...hicho kifungu ulichokiweka kinaruhusu tu polisi kumpekua mtu na inatakiwa kwanza kuwe na search order..yaani nini wanatafuta kwako...kisha wakupekua na watachopata wakiweke kwenye hati yakutaifisha...yaani certificate of seizure..lakini kuingia mawasiliano binafsi ya mtu haipo na haiwi covered na kifungu hicho....katika inalinda uhuru wakujieleza na uhuru wa faragha ikiwamo mawasiliano.
 
Melo anaonewa tuu inaumiza sana mtu anafanya kazi harali kusumbuliwa bila sababu za msingi kwa matakwa ya siasa mbovu kweli nimeumia ila sina jinsi zaidi ya hasira tuu...
 
Mbona hawajaiandikia mahakama wamejichukukilia hatua nje ya sheria? Ruta

Sheria inasema on a,case of proving offence yaan kesi ikiwa mahakaman, so wapeleke kesi mahakan ya hao watu then atoe ushahidi

Mfano kesi ya yericko mělo akiombwa mabandiko yake hatapelekA?
ATAPELEKA

SO MTU AU MSHITakiwa hayupo na polisi wanataks privacy yA mtu ungekuwa wwe ruta ungetoa?
 
Uliyoyaeleza katika comment yako yana ukweli asilimia 100. Lakini basi, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama navyo visitumie hovyo sheria kama hizi katika utendaji wao wa kazi. Wasimnyanyase wala kumkandamiza mtu kwa ajili ya kuwafurahisha watu au kundi fulani.
Yanayomkuta ndugu yangu Melo ni matokeo ya kanunina sheria zilizotungwa kubana matumizi ya mtandao ambao kama kundi fulani litataka kukukomesha, basi, linafanya hivyo kwa " blessing" ya sheria hizi.

Huko Marekani, kampuni ya Apple imegoma kutoa "encryption" ya simu zake za iPhone.. lakini huwezi kuifanya issue hiyo kuwa criminal case na kumkamata mwenye kampuni ya Apple!

Sisi huku ni: KAMATA, WEKA NDANI policy..... Haya mambo yanazungumzika, sio kumkamata mtu kama jambazi.

Pole ndugu yangu Melo, tuko pamoja..
Na computer za jf zinazocontrol server n za apple hakuna udukuaji pale
Polen polisi
Mtaangaika lakn hamtashinda
 
Wasalaam wana JF,

Kwanza nimesikitishwa sana na kusumbuliwa na kushikiliwa kwa Melo kwa kile kinachoitwa kushindwa kutoa taarifa za baadhi ya wanachama kwa jeshi la polisi.

Melo ni shujaa maana anatupigania sana na ameendelea kutupigania na anasumbuliwa kwasababu yetu sisi lakini ni ukweli ulio wazi sisi tumeshindwa kumpigania au kuipigania JF hata mara moja...

Hakuna anayejua ni data za kina nani zinahitajika lakini ni ukweli ulio wazi sisi wanajf baadhi yetu tumekuwa tukiutumia mtandao huu vibaya na kweli JF admin wamekuwa wakifanya kazi kubwa kuturudisha kwenye mstari lakini wengine tumekuwa tukiwaona wao wabaya au kutuonea.

Pengine Melo anasumbuliwa kutokana na baadhi ya maandishi yetu hasa ya uongo, uchonganishi na matusi kwa viongozi au kwa Umma..., Lakini kwakuwa ni wajibu wake kulinda usiri wetu inabidi achukue mzigo wa kutulinda.. Ni wazi kuna baadhi ya mabandiko hapa yetu yanakuwa ni ya uongo, uchochezi japo mods hujitahidi kuyafuta lakini mengine yanakuwa yameshasababisha madhara na kusambaa...

Hawa mods wa JF akiwemo Melo hufanya kazi kubwa ya kutuweka kwenye mstari lakini tumekuwa viburi lakini tunasahau kuwa cyber crime act inawabana JF na wao ndio huwa wa kwanza kusumbuliwa tunapohitajika...

Ni lazima tuwe na huruma kweli kwa Melo na JF kwa kutoandika uongo au mambo tunayo yaona hayafai au yanavunja sheria za nchi na bahati mbaya mods wanapokuja kuyafuta yanakuwa tayari yameshazagaa na wengi wananukuu chanzo ni JF na tumekuwa tukitumia neno "tetesi" kusambaza uongo hadi inafikia baadhi ya taasisi kutuhumu JF moja kwa moja.

Ni vyema watu tukafahamu sisi ni sababu ya Melo kusumbuliwa na inasikitisha yeye anasumbuliwa kwasababu yetu na anatupigania lakini sisi hatumpiganii tunasubiri madhara yakishatokea ndio tunaanza kuongea.... Mfano watu wakipigwa ban kwa kukiuka sheria wataanza kusema eti oooh emenunuliwa oooh anabana uhuru oooh anatumika na serikali...

Melo ameendelea kutupigania bila kujali kashifa na matusi yetu tunayomtukana wanapokataa JF kutumika kuvunja sheria, leo hii anasumbuka kwakuwa sisi tumeshindwa kumlinda maana tunasahau kuwa yeye ana beba dhamana yetu...

Nilishasema sehemu kama JF wataona kuna kila sababu ya kufuta id yangu kwakuwa imekuwa ikisababisha usumbufu usio wa lazima ni bora waifute kuliko siku moja JF ikifungwa...ni bora nikaisoma JF kama mgeni kuliko kuwa sababu ya JF kufungiwa au wamiliki wake kusumbuliwa.

Lakini wana JF tunasahau kuwa haya ni matokeo ya cyber crime act (2015) ambayo imewapa nguvu kubwa sana jeshi la polisi kuomba taarifa ya mtu yeyote kutoka taasisi yeyote ile na anapokataa wao huiandikia mahakama kumshurutisha kutoa taarifan hivyo ni wazi Cyber crime act ina wapa nguvu sana polisi....

Tusome baadhi ya hivi vipengele vinavyo toa nguvu kwa jeshi la polisi kwenye sheria hii ya mitandao.

View attachment 446122
View attachment 446123
View attachment 446124

View attachment 446125
View attachment 446127
He will be Out sisi White hacker tutakuwa incharge
 
Na Imani Melo itakuwa Huru na kuendelea na kazi zake kama kawaida,lakini wana JF tuzijue kanuni na sheria zetu hapa Tanzania otherwise mtandao utaendelea kupata msukosuko.
 
Sheria zinatungwa kulinda wananchi naTaifa sio viongozi. Kwa hiyo mnapoitafsiri sheria haina maana inalinda hata wahalifu. Kwa hiyo serikali inapogeuza sheria kulinda viongozi wake wasikosolewe inaashiria ukiukaji wa sheria kwani hata fisadi anaweza kulindwa sheria inapotumika vibaya. Ikumbukwe tu waziri wa mambo ya ndani ni mwanachama wa JF na viongozi wengine kibao ambao kwa nia zao wenyewe hutimia majina bandia. Sio kazi ya Max kusajili watu kwa majina yao asilia kwani hakuna utaalam inaosajili majina halali hatabikiwa kutumia e - mail. Zaidi ya hapo ni kazi ya Upelelezi kuweza kutumia ujuzi, vifaa na tekonologia kupambana na cybercrime na sii vyombo vya habari...
 
Back
Top Bottom