jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,784
- 11,970
MAX GO, jii ni app imeanzishwa Nigeria (Lagos) kwa ajili ya Boda Boda zao, iko kama UBER ile ya Taxi, tena wenzetu wanatupiga bao hivi hivi..
Ila kweli hatuwezi kufanya franchise au kuanzisha na sisi yetu? Au bado tupo kwenye "Coma", na kwamba haya mambo hatuyawezi...
http://www.max.ng/go
Ila kweli hatuwezi kufanya franchise au kuanzisha na sisi yetu? Au bado tupo kwenye "Coma", na kwamba haya mambo hatuyawezi...
http://www.max.ng/go
