heeh mama mkwe plus wifi wote kimeo
harafu hivi nini kinawshinda kukaa makwao jamani mpaka wakaharibu ndoa za wenzao gosh..................................................??
Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
madai kwa kaka yao na huyo mwingine kwa mwanangu,...mama mkwe nae cku hiyo nikamtolea uvivu, mama kanical ana shida nimfate home kwake, nilikuwa nimemnunulia vitu baadhi vya home kwake, mama mkwe kaona nimevipaki na kumuaga naenda kumwona mama mara moja, mwanae karudi anamwambia mwali ameniacha naumwa kaenda kumwona mamake, wakati mie nimefika home namwuliza mama salama najibiwa salama na nimeshinda salama hayo ya kuumwa yamezuka alivyoniona naenda kwa mamangu, akidhani ni pesa za mwanaenilizotumia kumnunulia mamangu bidhaa, anarudi mr anataka kugomba fulani nikamwambia aaahhh maneno ya chini chini ctaki, nikamfata mamake kumuuliza, nikamwambia mbona nilivyokuja hukunimbia kama unaumwa lakini unamwambia mwanao anieleweje? akaanza oohhh ahaa, nikamwambia yule ni mamangu alienileta kwenye hii dunia mpaka nikakutana na mwanao, lazima nimckilize kwa lolote analotaka kuongea na mie mwanae, sio kuolewa bac na mamangu nimsahau, nikwambia mama wewe nakuona kama mamangu mzazi kabisa lakini hunitendei haki wewe ukiwa na shida zako utakuja kumwambia mwanao hapa na mie nakupokea vizuri, mamangu hapendi kuja kuja hapa kwangu coz hapamuhusu kivile, anajua nimeolewa na nipo kwa mume sasa wewe kuja huku na kuniharibia ndoa kwa maneno yacyo ya kweli haipenndezi...jamani niliongea mpaka bac, mpaka leo mama mkwe/wifi tupo pa1....leo nimeandika sana mana hawa mawatu waninisumbua sana uwiiiii.
Hapo nakupa high five tatu jamani..mawifi wanaweza kukutia vidole machoni...bora ni kumpa masharti kitambo wajue kuwa kuna limits. sijui huwa wanataka waolewe wao ama!
utasumbuaa kwenye ndoa kama kupiga gotii kwa wifii tuu unaleta ubishiiii
eeeh nyamayao yaani wanakuchongea harafu bado wanaendelea kukaa na wewe ..baba mkwe anakaa na nani kama mkewe miaka yote yuko kwako
wifi nae mmewe anakaa na nani ???kwanini basi wasikae kwa amani kama bado wanataka kuendelea kukaa na wewe ?
haya maisha yetu ya kiafrica jamani
wanatamani ingekuwa ndoa ya kiislamu wangemtafutia mke wa pili....alivyoshtuka na kuniona nyuma alitamani kuzimia
madai kwa kaka yao na huyo mwingine kwa mwanangu,...mama mkwe nae cku hiyo nikamtolea uvivu, mama kanical ana shida nimfate home kwake, nilikuwa nimemnunulia vitu baadhi vya home kwake, mama mkwe kaona nimevipaki na kumuaga naenda kumwona mama mara moja, mwanae karudi anamwambia mwali ameniacha naumwa kaenda kumwona mamake, wakati mie nimefika home namwuliza mama salama najibiwa salama na nimeshinda salama hayo ya kuumwa yamezuka alivyoniona naenda kwa mamangu, akidhani ni pesa za mwanaenilizotumia kumnunulia mamangu bidhaa, anarudi mr anataka kugomba fulani nikamwambia aaahhh maneno ya chini chini ctaki, nikamfata mamake kumuuliza, nikamwambia mbona nilivyokuja hukunimbia kama unaumwa lakini unamwambia mwanao anieleweje? akaanza oohhh ahaa, nikamwambia yule ni mamangu alienileta kwenye hii dunia mpaka nikakutana na mwanao, lazima nimckilize kwa lolote analotaka kuongea na mie mwanae, sio kuolewa bac na mamangu nimsahau, nikwambia mama wewe nakuona kama mamangu mzazi kabisa lakini hunitendei haki wewe ukiwa na shida zako utakuja kumwambia mwanao hapa na mie nakupokea vizuri, mamangu hapendi kuja kuja hapa kwangu coz hapamuhusu kivile, anajua nimeolewa na nipo kwa mume sasa wewe kuja huku na kuniharibia ndoa kwa maneno yacyo ya kweli haipenndezi...jamani niliongea mpaka bac, mpaka leo mama mkwe/wifi tupo pa1....leo nimeandika sana mana hawa mawatu waninisumbua sana uwiiiii.
Hahahaha Nyamayao walikuweza ulionana na wababe wenzio
jamani wadada na JF tukubali kuwa sometimes sisi waolewaji ndo huwa tunakuwa na matatizo,
mie nikishindwa kitu ambacho naona ni haki yangu ujue cku zangu za kufa zimewadiaa.....wao ndio walinikoma mie japo walijaribu kunitingisha.
jamani wadada na JF tukubali kuwa sometimes sisi waolewaji ndo huwa tunakuwa na matatizo, mambo ya kwenda umejiandaa kuidhibiti familia ya mume. unajua sio familia zote ambazo ni ngumu kuishi nazo ila kwa vile tunatoka kwetu tukiwa tumejiandaa jinzi ya kuwadibiti mama mkwe na mawifi ndo inakuwa balaa. wakati mwingine wifi au mama mkwe anaweza akakosea kitu kidogo, kibinadamu, ambapo hata mama au mdogo wako anaweza akafanya kitu kama hicho lakini sababu kafanya wifi/mama mkwe inakuwa balaa.
tujitahidi na sisi kuchukulia familia za waume zetu kama familia zetu, labda haya mzogo yatapungua
Dah karibu dada kumbe na wewe ni muolewaji mm nilijua muoaji.
Dah nina mtihani mkubwa wa kuchagua kifaa mwaka 2012 sijui nigaili jamani naomba msaada Nyamayao
Dah karibu dada kumbe na wewe ni muolewaji mm nilijua muoaji.
Dah nina mtihani mkubwa wa kuchagua kifaa mwaka 2012 sijui nigaili jamani naomba msaada Nyamayao
Hahahaha Nyamayao ulipatikana ndo maana siku hizi umekuwa kaksi