Usibadili mawazo utampa kichwa sana pambana naye,
msalimie kawaida bora humdharau asikusumbue kabisa, kwani utakaa naye kwako, hawa watu wa hivi ukiwaendekeza atakupelekesha mpaka utakonda ubaki kama nyoka, mapema kabisa anza kumuonesha rangi zako zote.
ingekuwa mama mkwe hapo sawa kuna point lakini, wifi tena mwenye kwake, huyo lazima anakutafuta uchokozi tu.
MJ1 kweli kabisa umenena, kwani huyo wifi kakuoa yeye, plus kama hujalelewa na hayo mambo ya kupiga magoti, its hard!! ask me, My Mr. wangu ni wa Ug na huko ndiko upigaji magoti umekolea, jamani mie sipigi na wala sio madharau, nawaheshimu wote watu wake. but nobody is going to force me to do it!!
Huyo wifi kwani lazima uonane naye?? kaa kwako and avoid her for your peace, akijileta kwako umpungie mkono tu..hata hiyo ni salamu. akizidi itisha kikao u square things out! let it be known that u will not be doing it in this life time and that u respect her.... kupiga magoti sio kuonyesha kuwa unamuheshimu!
habari za mawifi achana nazo pretty we omba mungu akupe mme mwema tu wa kuelewa na kupambanua mambo
la ndoa utaiona chungu mawifi wakianza na mzee akawa upande wao
Mie mwenzio nikipiga goti nasikia maumivu ingawa kabila langu shurti upige goti ...huyo wifi yako anaijua adabu🙂
Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
wifi/mama mkwe sio watu wa kuwazembe kuanzia mwanzo, utakavyowarembea ndivyo watakavyo kuburuza, mbele ya mama mkwe na mwanae yaan mr cku moja nilimtolea uvivu wifi hatokaa arudie maisha yake yote na heshima za kumwaga mpaka sasa.......ukiteleza tu utamwona mpaka mumeo mtarajiwa mchungu tena ukute ndio wae wakaka wa kuckiliza ndugu zao kuliko wewe oohh utakwisha....uczubae.
duh bora uje kwetu hakuna kumindiana kihivyo, kila mtu peace
Ndio nawasubiria hao FL, Camel, Vera na wengineo. Wanipe uzoefu wa kuishi na wifi wa dizaini hii.
hehehe!wasukuma wana kitu kimoja kizuri sana na spesho wanawake wanakifurahia.WASUKUMA WANAJUA KUPENDA,WANAJUA KUKEA!na hamna mwanaume anakufa vibaya kwa mwanamke kama msukuma
wewe nawe utafikiri sio wa mjini.........mfanyie usanii mpigie magoti tena ya nguvu....the only way to get rid of mawifi wa design hii ni kuwafanyia unafiki ile mbaya....mwisho wa siku anayekuhusu ni kaka yao hizi baggage za mawifi usizijali sana .......tolerate her to an extent ila akizidi kukufuatafuata just ignore herHabari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno maneno. Ana kazi na familia yake lakini bado tuu ananisema, eti anataka nimpigie magoti ninapomsalimia, anawaambia watu kaka yake anaoa binti wa mjini hawana heshima.
Hivi unapomsalimia mtu ukimpigia goti ndio heshima?Wadada mliolewa hebu nipeni mbinu za kumdhibiti huyu wifi.
mi naona Nyamayao tunaongea lugha moja. sina cha kuongeza.wifi/mama mkwe sio watu wa kuwazembe kuanzia mwanzo, utakavyowarembea ndivyo watakavyo kuburuza, mbele ya mama mkwe na mwanae yaan mr cku moja nilimtolea uvivu wifi hatokaa arudie maisha yake yote na heshima za kumwaga mpaka sasa.......ukiteleza tu utamwona mpaka mumeo mtarajiwa mchungu tena ukute ndio wae wakaka wa kuckiliza ndugu zao kuliko wewe oohh utakwisha....uczubae.
wewe nawe utafikiri sio wa mjini.........mfanyie usanii mpigie magoti tena ya nguvu....the only way to get rid of mawifi wa design hii ni kuwafanyia unafiki ile mbaya....mwisho wa siku anayekuhusu ni kaka yao hizi baggage za mawifi usizijali sana .......tolerate her to an extent ila akizidi kukufuatafuata just ignore her
Nyamayao nilijua tu utakuja hapa ni visa, hebu tupe details basi wengine bado hatujaanza kupambana na mawifi!
wewe nawe utafikiri sio wa mjini.........mfanyie usanii mpigie magoti tena ya nguvu....the only way to get rid of mawifi wa design hii ni kuwafanyia unafiki ile mbaya....mwisho wa siku anayekuhusu ni kaka yao hizi baggage za mawifi usizijali sana .......tolerate her to an extent ila akizidi kukufuatafuata just ignore her
Shishi ma dia mie niliolewa mapema sana, sasa wakawa wanataka ile dizaini kunionea, ukifanya hiki kile kwao tabu, nikirudi job nakuta wifi kavaa cjui jeans/tshirt zangu, mie nikawa najiuliza huyu anajiamini nini nyumbani kwangu na ictoshe kaja kukaa kwangu kwa muda baada ya kukorofishana na mumewe tena atake kuniingilia mambo yangu ya ndani? haiwezekani...mr wangu ana mtoto wa ujanani nilimkuta nae wakati huo mama mkwe/wifi yupo hapo home kwa matatizo yake, wakawa wanataka kumfanya huyo mtoto kama Queen wa nyumba yangu, nikiongea nae kidogo kosa na wakati wamenikuta nakaa nae vizuri tu, cku hiyo namtuma kwa room yangu nashangaa wifi anamwambia mtoto" ukimaliza kapumzike chumbani mwanangu mana naona utafanywa caterpilar...nikamweka kiporo....cku ya cku nikamkuta anamlalamikia house boy kwamba yeye na mamake wanaona kakake hajapata mke kabisa, wanatamani ingekuwa ndoa ya kiislamu wangemtafutia mke wa pili....alivyoshtuka na kuniona nyuma alitamani kuzimia, ckusema kitu mpaka kakake alivyorudi nikampa mbele ya mama yao za kumtosha tu......hajarudia tena, masharti under ma roof niligoma mie, masharti kwake huko.
eeeh unafiki hadi lini ? pretty ni vyema wakujue wewe ukoje mapeeeeeeeeeeeeema .ili wanyooshe maelezo
kwanza wapo watakaosema wifi mbaya hata ukiwafanyia mazuri yapi
wapo watakaosema wifi ana roho mbaya
wapo watakaosema wifi mchoyo
wapo watakaokusifia kwa unafiki
shost be your self maisha utayaona mtelemko
Ukianza kujivika sura isiyo yako utaharibu