Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,806 Reaction score 17,923 Feb 1, 2025 #21 Mwanamke hafai kuongoza. Wanaume Mungu aliwaumba na kaba. Wanawake hilo hatuna. Wanawake tunajua kulea na si kuongoza.
Mwanamke hafai kuongoza. Wanaume Mungu aliwaumba na kaba. Wanawake hilo hatuna. Wanawake tunajua kulea na si kuongoza.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,391 Reaction score 196,123 Nov 27, 2025 #22 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: Mahondaw