Mawazo yanahitajika kuhusu Uncle kulala na mtoto chumba kimoja

Hayo ndio maisha tuliyolelewa sisi.

Mgeni akija anakaa siku moja unampisha wewe utalala hata ukumbini lakini mgeni astarehe vizuri.

Nyie wageni wakija ndio mnawatesa,malezi ya ajabu haya
Hajiulizi kwa nini watu walikuwa akija mgeni ndio kuku anachinjwa au ndio wakati wa kula zinatumika sahani za udongo badala ya za plastiki na bati...Tulifunzwa kumkirimu mgeni hata mandiko yanasema hivyo...Endelea kutoa elimu kuna watu kwa maneno yako wana gain kitu...Inaonesha ni mkongwe
 
Ushoga kwan wanaanzisha hao wageni na ndugu pekee? Tatizo lipo ila namna ya utatuaji haikuwa sawa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app

Hiyo story ilishatokea Zanzibar huko mgeni alikua analala na mtoto na akaanza kumfanyia michezo mibaya mtoto akaanza kuwa na tabia ya kishoga, zipo sababu nyingi ila hii pia huchangia katika 80% ya ushoga, ushoga unaanzia kwenye ngazi za familia hakuna mtu amezaliwa akawa shoga bali ni tabia huzikuta hujifunza na kuziendeleza,
 
Mtu unaenda kusalimia kwa ndugu yako unakuta wana vyumba viwili tuu na unataka kujibana nao hapo mgeni huna ustaarabu, wewe mgeni ustake wenyeji wawe wastaarabu wakati wewe at first place umeshindwa kuwa mstaarabu
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Tafadhali usicheke..

Huu ni msiba
 
MREJESHO

Kabla ya kupiga msos niliamua kumueleza wife kuwa "uncle" naenda kumlaza lodge na siwez kumuweka rehani cute girl wangu. Wife alikubali kwa shingo upande.

Fasta nikawacheki wadau wa boda waniangalizie chumba logde za uswazi.

Wakati wa kupiga msosi nikaamua kumchana "uncle" jinsi Dunia ilipofikia na maamuz yangu kwa wakat huo. Jamaa kwanza hakuamin kama nampeleka nje kulala kwa kuwa alijua tayar kafika.

Kiufupi, kalala logde ya kawaida sana (Bei kapuni) tofauti na kitambi kinavyomuonesha.

Nashukuru sana kwa msaada wa mawazo yenu. Linda familia yako bila kujali lawama zotakazo tokea
Mjomba haji Tena... Hata kama ana mishe zake hatokuja hapo
 
Back
Top Bottom