Mawazo yanahitajika kuhusu Uncle kulala na mtoto chumba kimoja

Kwani dunia haijabadilika??????


Tatizo watanzania hampendi kuambiwa ukweli

Mkuu mleta uzi kamwambia mgeni kuwa Dunia imebadilika(akimaanisha atamnajisi mtoto akilala nae)

Kistaarabu huwez kumwambia mgeni hvo,,, Wewe tumia Lugha nyingine ambayo haitaleta hisia mbaya kwa mgeni wako...

Hakukuwa na ulazima wa kumwambia hvo.
 
Unaweza kusema chochote kwenye hili?
Screenshot_20220210-181953.jpg
 
Kutamani kuona picha ya mwanaume mwenzio ni kuzidi kuonyesha matatizo ya akili. Kutoka kulaza mtoto wako wa miaka mitano na mwanaume, sasa unaelekea kutaka kuona picha ya mwanaume mwenzio. Hizo familia mnawezaje kuziendesha na akili za hivi?
Inaonekana kabisa unamatatizo ya uelewa
 
Safi kabisa,
Hii ndio inatakiwa kufanywa na kila mzazi ndani ya nyumba,

Ila duuh mlikua na Moyo ile mara ya kwanza, mtoto wa kike tena wa miaka mitano kumlaza na njemba la miaka 30 badala ya kulala nae nyinyi mtoto au kumlaza huyo njemba sebuleni kama sio jikoni kabisa.


Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ukihisi haiko sahihi kumlaza na wanao basi juwa kuwa si sahihi kumlaza na wanao. Siku zote nafsi zetu hutuonya kwa ile hali tunayosema ni wasiwasi na ndio maana waswahili wakasema wasiwasi ni akili.

Kuliko kuja kujuta baadae ondoa hiyo kupe inayojiita shemeji kwako haraka sana. Kama anakwenda na kurudi mjini inamaanisha ana mitikasi ya maana hivyo kumudu kulipia lodge.

Aje hapo kwako adoee msosi akatafute sehemu alale. Jitu la miaka 30 halioni haya kubanana na vitoto, mwisho likojolewe halafu lionekane lenyewe ndio kikojozi.


Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Yaani katika mambo ya ajabu ni haya tuna familia Moja hapa kijijini kwetu Walikuwa wanatembelewa na ancle kama hivo hivo so akawa analala chumba Cha mtoto wa kiume ebhanae Leo huyo mtoto ni shoga na anaelezea wa Kwanza kumfanyia hivo ni huyo mjomba
huyo mtoto alitaka tyuuh. Sometimes mnawasingizia uncles kumbe watoto ndo vihere here vyao lol.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Umekosea kumwambia Dunia imebadilika Kama sehemu ya kumshutumu na kutomuamini.

Hapakuwa n haja ya kumueleza mambo hayo.

Mosi,
Ungemwambia tuu Nyumba yenu ni ndogo, na hutajisikia vizuri yeye kulala Sebuleni, hivyo unashauri muende mkatafute Lodge ya kulala ili awe Comfortable kuliko kulala pale sebuleni.

Pili,
Kama alikuja Kwa kushtukiza, ungemfuatilia mapema kabla ya saa mbili usiku kujua Kama atalala hapohapo au Ratiba yake imekaaje, kisha Kama Ratiba yake alipanga kulala hapohapo basi ndio ungemueleza Hali halisi ya Nyumba yako.

Tatu,
Kama anaukariby Mkubwa na wewe ya Mkeo mbali na undugu.
Basi ungemchukua mtoto mkalala naye kisha Mgeni akatumia chumba cha mtoto.


Hata hivyo ni lazima kesho yake umuweke wazi kuwa ulimpokea Kwa heshima yake tuu lakini hupokei wageni wanaokuja Kwa kushtukiza.
Hiyo ingemuambia kuwa hatakiwi na pia ingemfanya siku nyingine akija atoe taarifa.
Pia Kwa jitihada ulizofanya za kumlaza hapo au kumlaza Guest angeona umemuheshimu.

Pia ungejifanya unaulizia pesa ya Guest Kwa mke wako kama ipo, ili kumfanya ashtuke kuwa amekuja kuvuruga Bajeti za watu.
 
Wanaadamu mnakosea sana ku approach ishu kama hizi,hamuna diplomacy katika kusolve ishu zenu.

Kumbuka kutumia diplomacy kusolve matatizo kunawafanya muendelee kuwa wamoja,unaposhindwa kutumia diplomacy katika ishu kama hizo watu wanatone roho mbaya kwako na kuna siku itakutokea puani.

Kwanza kumlaza mgeni nje ya nyumba ni tabia mbovu sana na ni utovu wa adabu ni sawa mgeni aje alafu wewe ukamuombee chakula kwa jirani huku akiona.

Ustaarabu ni mgeni kumuachia nyumba alale nyie mtajua mnalala wapi,silazimishi kukubali ustaarabu huu.

Nakumbuka kuna mwaka nilienda kwa ndugu zangu pale mbagala wana chumba na ukumbi,walichofanya waliniachia chumba nikalala wao sijui walilala wapi asubuhi mapema nimewakuta wanaendelea na mambo mengine mimi nikaamsha nililala siku moja tu,hii ndio ustaarabu.

Nyie binadamu wengine sijui mumekulia wapi,mna roho za ajabu sana aisee.

Sijui ulishindwa nini kulala na mtoto wenu kisha mgeni akalala peke yake,sio ustaarabu huu.

Na namna ulivyokuwa na roho mbaya ukamuambia kabisa ati dunia imejaribika,maana yake umemuonesha kwamba humuamini.

Na sio k2amba humuamini kulala na binti yake tu bali hata kulala hapo nyumbani bila binti asilale ukaenda kumtupa huko gesti,angezidiwa usiku ?,angekabwa ?

Sio ustaarabu mkuu,ningekuwa mimi ndio anko hiyo lodge nalipa mimi mwenyewe maana umefanya ubwege sana.

Siku zote tumia diplomacy kusolve matatizo utaishi vizuri na jamii hata ndugu zako pia.
Nasimama na wee hapa, hakikaa una busara sana, ubarikiwe.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Onesha uhusiano wa miaka yangu na mada.

Mimi sikatai kuwepo kwa hayo matendo,hoja yangu mkuu ni kwamba mtu kama huyo wenu hajawahi kusikika na hivyo vitendo.

Sasa katika kusolve usimhukumu kwamba yeye tayari ni mhusika.

Sio ustaarabu kumlaza mgeni nje ya nyumba yako.

Hoja yangu kwa nini usilale na mwanao huyo mgeni akalala peke yake ?

Au ulihofia angekuja chumbani kwenu kuwalawiti wote nyie na huyo binti ndio maana ukampeleka gesti ?

Hujafanya poa kaka,huo sio uungwana

Hoja yangu mungelala na binti yenu alafu huyo anko angelala peke yake angemlawiti vipi huyo mtoto,au uliogopa asije kuwalawiti na nyie wazazi hapo nyumbani ?

Ulishasema kwamba huyo anko hakuamini,kwa maana ameshtukizwa na maamuzi yako,inshort haukufanya maamuzi ya kiume yenye akili,umefanya maamuzi ya kitoto ndio maana hata mkeo akakubali kishingo upande tu.

Au ungelala nae wewe kisha mtoto angelala na mkeo(mama yake) hii pia ulikuwa unaogopa kalawitiwa na shemeji yako ?
Wallah uko vizuri sana, umemaliza kila kitu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
We diplomasia unaijua? Imekusaidia kwenye nini? Hiyo ni diplomasia au ni uoga mbele ya macho ya watu watakuonaje?

Hivi unahisi unafanya sahihi kumpangia mtu utaratibu wa kuishi kwenye nyumba yake? maadili ya mtoto yapo kwenye mikono ya wazazi, unajua hakuna kitu kibaya kama mtoto tena wa miaka mitano alale na wazazi.

Yaani option ulioichukua ni mbovu bora hata mwenzako kafanya uamuzi wa kumpeleka Lodge uncle, watoto wakizazi hichi wananasa mambo kwa haraka sana wewe unashauri unampoteza.

Hivi unajua kwasisi wanaume asubuhi ukiamka ni lazima mashine huwa inasimama sasa unataka na na mwanao aone maungo yako maana kuna kujisahau, nyie watu sijui mpoje kulaumu pasipo kuwa na maamuzi ya busara
Hapa nakupinga, approach aliyotumia mtoa mada sio sahihi, angefanya namna ingine pasipo kuharibu uaminifu was huyo uncle, mbna mchangiaji kaeleza vizuri na kaeleweka vema.

Kwani hao wote wanaoharibika n ucles wanasababisha? Hatukatai jambo lipo, ila je unatatuaje yaan,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sema we ni mbishi... Kuna vizazi vingi sana vinaharibika kwa kuwalaza watoto na wageni, watoto wengine mpaka wanakuja kuwa mashoga kwa kuwa tayari alishaanzishiwa michezo na wageni wa kushukia
Ushoga kwan wanaanzisha hao wageni na ndugu pekee? Tatizo lipo ila namna ya utatuaji haikuwa sawa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wakati nipo form5 bording kwenye chumba chetu tulikua watu 4, form 1 wawili na sisi form5 wawili. Madogo walikua wanalala juu sisi chini. Mimi mzee wa mastory za mademu sana na utani utani basi nlikua na wafuasi wengi wananikubali na kuja room kwetu kusikiza mastory yangu jinsi nilivyokua fundi wa kuzichakata mbususu, haka kadogo ka form one ndio kananikubali kishenzi kila tukikaa kanataka niwape story na trick nilizokua nazitumia kutongoza na kula mbususu, basi kalikua kananiona mi ni fundi kwelikweli, kakawa kaniniganda hakachezi mbali na mimi.

Mi nlikua nakachulia kawaida tu ukijumlisha na ile age yake nikajua ni zile nyege tu za baleghe ndio zinamsumbua. Sometimes kanalala kwenye kitanda changu muda mrefu mpaka nikitimue ndio kinapanda juu kwenye kitanda chake.

Asubuhi akitandika kwake na kwangu pia ananitandikia, shuka anakunja, mi nilijua anafanya vile kwa kua muda mwingi hua anashinda kwenye kitanda changu, sometimes ananifulia mashati ya shule bila hata kumuomba, yote hayo mi nilikua nayachukulia kama vile heshima na kuniona mimi kama kaka yake pele shuleni.

Maana hata kwenye masomo nilikua nakapiga pindi halafu nakakomalia kwelikweli. Haka kadogo mama yake ni mtumishi kwenye wizara fulani, kamelelewa kishua na kudekezwa kimayai mayai. Mama yake alitalikiana na mumewe muda mrefu hivyo makuzi yake alilelewa na mama peke zaidi.

Kuna siku kalinipiga tukio nikabaki nimeduwaa ila kuja kukichimba na kukipiga mikwara ndio kikanieleza kua wakati yupo darasa la tano kuna mtoto wa ndugu yao alitoka kijijini na kuja mjini kuanza form one, alikua analala nae chumba kimoja ndie aliemfundisha huo upumbavu.

Baana ya kunieleza kisa kizima ilivyokua nikajiapiza siku nikipata mtoto sitathubutu kumlaza chumba kimoja na ndugu wa kiume wa aina yoyote.
Huyo mtoto alikua konki yeye ndo alishawishi kuingiliwa na huyo ndugu yake. Sasa hadi anakufanyia yote hayo si alishakua mzoefu lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Umeelewa hoja yangu ?

Sijasapoti mtoto kulala na mjomba.

Nilichomuona huyu mtu kazingua ni kitendo cha kwenda kumuweka mgeni guest wakati kulikuwa na option zinginze za kistaarabu za kumfanya mgeni alale peke yake.

Ila sikulazimishi ukubali ninachosema,ila hwyo ni maoni yangu kwamba mtoa mada bado wmetumia utoto kum isolate anko wakati alikuwa na njia nyingi za kiutu uzima
Umeeleweka vemaaaaaah, hongera sana.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kumwambia mgeni Dunia imebadilika amefeli sana,,,, hakuna Busara ya namna hio.. unamfanya mgeni ni mtuhumiwa tayari.
Ujue dunia ya sasa imekuwa ngumu sana,, Zamani watu walikuwa wanafurahia wageni lakini leo ugeni imekuwa kero kwa wengi...

Option ya kulala sebuleni ilikuwa the best na familia zetu wengi, watoto tumeshawai kulala sebuleni ili wageni walale vyumbani.. (ni kawaida sana kwa jamii yetu).

Kizazi cha sasa hata ukienda kwa mtu ghafla utaonekana unamaliza Ugali hehehehehe.. Sijui ni kizazi cha hovyo au ndio wakati umetaka mabo yaende hvyo.

Niishie hapo...
Wa mjini hawa utawaweza? Mambo hayo kijijini.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi.
Mtu mzima tena wa kiume kulala na watoto iwe wa kike au wa kiume,,sio jambo zuri,,

Lakin pia njia iliotumika kutatua tatizo kama ulivoeleza sio njia ya busara,,

Wangelala na mtoto chumbani ,,mgenini akalala peke yake kwenye chumba cha watoto_ a very simple solution

Mtoa maada ametumia nguvu kubwa saana kutatua tatizo dogo

Mtoa maada anaweza kua kweli ameshinda lakini hebu ajalibu kuvaa viatu vya mgeni wake,,kama angekuwa yeye angehisije tena unaambiwa kabisa kuwa "uenaenda kulala gest kwa sababu sikuamini kulala na watoto wangu,,"

Lazima kama mtu mzima ujisikie vibaya.
Yaan hadi nimeogopa mie, eti kamchana makavu khaaaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom