Mawazo yako yatasaidia

Mawazo yako yatasaidia

Fletcher

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
99
Reaction score
32
Mi ni mwanaume......ni mkristo yaani lutheran. Nimetokea kumpenda binti mmoja wa dhehebu nyingine ambayo ni jehovas witness, siwezi kumuoa hadi tuwe dini moja na yeye hawezi hama maana anaamini dini yake ndo wanamjua Mungu na ni ya ukweli. Mm nimempenda kupitiliza yaani nimeamua kuhama dini ili tu niwe nae, ttzo wazazi wangu hasa baba yangu mzazi, mm ndo ndugu yake na nitegemeo lake na yeye ni mdini kweli! Hataweza kunikubalia nihame dhehebu. Na mm nampenda kweli baba yangu

Naombeni ushauri wenu ndugu zanguni
 
Upendo utakapopungua kuna mengi yatabadilika,life is dynamic.

I dont think kama upendo utapungua.....shez very different! Na nnampenda sana na ananipenda kweli! upendo wangu haujawahi kupungua zaidi unaongezeka siku hadi siku. Nipo nae huu mwaka wa tatu
 
Soma makala ya Mwakasege inahusu urafiki,uchumba hadi ndoa.itakusaidia sana kufanya maamuzi sahihi.MAMBO YAMPASAYO KIJANA KUYAJUA KABLA HAJAINGIA KWENYE NDOA.hii makala ipo kwenye website yake,just tafuta kwenye google 'mwakasege' itakuletea.
 
^^
Mungu mwenyewe ni upendo! Nawe unatafuta upendo! Ikiwa unavunja mipaka kwa ajili ya upendo mi nani hata nikuzuie?
^^
 
Kama umependa kutoka moyoni mwako usikilize moyo.Huyo ndio ubavu wako kwahiyo baba wala mama hapo hawana cha kufanya ukichukulia kuwa unaoa na ukumbuke kuwa ndoa ni sakramenti kaka so listen to your heart.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Udini! udini! udini!
Bhana ninyi hamjapendana kiukweli, na mkipendana hasa suala hilo ni dogo kuliko chembe ya poda! Afu nawashangaa sana, kumbe nyote ni wakiristo!
...
Na pozi zote hizo halafu ukamkute anavongo hata chatu anaweza kuingia bila ya kugusa mashavu! Teh! teh! teh!
...
Kwa mawazo yangu tu, mwanaume habadili dini or dhehebu kwa sababu ya mwanamke!
 
Dini ni kitu kikubwa......mapigano yanatokea nchi nyingi sababu ya dini......huyu mschana nimempenda na nnaweza fanya anything ili niwe nae
 
Soma makala ya Mwakasege inahusu urafiki,uchumba hadi ndoa.itakusaidia sana kufanya maamuzi sahihi.MAMBO YAMPASAYO KIJANA KUYAJUA KABLA HAJAINGIA KWENYE NDOA.hii makala ipo kwenye website yake,just tafuta kwenye google 'mwakasege' itakuletea.

Ntaicheki hio....asante
 
Kama umependa kutoka moyoni mwako usikilize moyo.Huyo ndio ubavu wako kwahiyo baba wala mama hapo hawana cha kufanya ukichukulia kuwa unaoa na ukumbuke kuwa ndoa ni sakramenti kaka so listen to your heart.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Thanks.....i will
 
Dini ni kitu kikubwa......mapigano yanatokea nchi nyingi sababu ya dini......huyu mschana nimempenda na nnaweza fanya anything ili niwe nae

Khaa! Mbona mfano wako sio relevance kwa hii topic?
Ivi unadhani wale wanapigana kwa sababu ya wapenzi wao kubadili dini?
...
Badili dhehebu umuoe basi!
...
Afu nipe mantiki ya kutuwekea huu uzi!
 
Ulimaanisha kwamba kwenye love dini ni kitu kidogo sio?
 
Udini! udini! udini!
Bhana ninyi hamjapendana kiukweli, na mkipendana hasa suala hilo ni dogo kuliko chembe ya poda! Afu nawashangaa sana, kumbe nyote ni wakiristo!
...
Na pozi zote hizo halafu ukamkute anavongo hata chatu anaweza kuingia bila ya kugusa mashavu! Teh! teh! teh!
...
Kwa mawazo yangu tu, mwanaume habadili dini or dhehebu kwa sababu ya mwanamke!

mkuu hapa sio udini!

bali ni udhehebu! udhehebu! udhehebu!!
 
Halafu dhehebu yao ni kwamba wanaoana watu wa dhehebu hio hio! Huwezi kuoa au kuolewa nje ya dhehebu
 
Back
Top Bottom