Mawazo yako yatasaidia

Mawazo yako yatasaidia

mama yangu aliwahi kuniambia, 'usikae ubadili dini kwa sababu ya mtu, ili uwe na mtu fulani, fanya hivyo endapo tu roho yako imeridhia kuwa mafundisho ya dini hiyo uiendeayo ni sahihi na si vinginevyo.'

my mentor was/is a Nazarene pastor but his wife was an Anglican. walichofanya tu ni kukubaliana wakaenda mafunzo ya ndoa kwa church ya wife wakafunga ndoa huko na baada ya hapo wote wakarudi kuabudu in the Nazarene church.

ni muhimu sana haya maamuzi muyafanye wawili na ni muhimu sana nyote mfanye compromise. pale unapoona ni wewe tu unaye compromise...jiulize tena! Is this right?

again msome christine ibrahim alichosema hapo juu. Wewe na huyo dada (hasa wewe) ni wazi kuwa hamyafahamu maandiko vyema na ndiyo maana mnabaki kubishana kuhusu madhehebu. rudini makanisani kwenu kwanza mkajifunze ndipo mrudi kuongea kuhusu ndoa yenu.

mwisho, inapendeza sana baba, mama, watoto wakiamka pamoja labda Jumapili asubuhi na wakaenda pamoja sehemu moja kuabudu...think about it. Dunia hii hukuumbiwa mwanamke mmoja tu ndo awe mkeo...

PM Moderator,
Mentor.
 
Last edited by a moderator:

Nimekupata mkuu! Nitafikiria sana
 
Last edited by a moderator:
Ok! Yeye abaki kwenye dini yake na mimi nibaki kwenye dini yangu.....tutaendelea kupendana na ikifika mda natakiwa kuoa na yeye anatakiwa kuolewa itakuaje?
Hilo tu ndo linalonitatiza
 
Back
Top Bottom