Mawazo yako yatasaidia

Mawazo yako yatasaidia

Hakuna swala gumu in Love kama advce ya dini, kwn that hakuna atakae kuadvce wthout sayng we ndio mwenye maamuz. Then hapo kuna v2 vwili mapenz and iman ya dini

MASWALI..
1. Unataka kuchange dini coz ya mwanamke unampenda, huwez kumkosa and unataka kumuoa?

2. Unataka kuchange dini kwa hofu ya mungu, and kujua usahihi uko wapi ili umuhamuda mungu in postve way?

NOTE:
Dini kama culture, m2 anakua nayo kujfunza na kujua ndio iman inapojaa, sasa ww iman ya ukubwan kwenye dini za wa2, kisa mapenz takea kaka.

Then mapenz yana mwsho, cz hamuwez fka 200years, kuna kufa, kuachana, what abt Mungu ambae ataishi milele, thnk twce.

Huyu mschana kanibia nichange dini.....lkn yeye ameinsist kwamba nijifunze na nisadiki nitakayo fundishwa kama nitaamini......nitafikiria hilo bro. Mimi nnachoamini Mungu ni mmoja na dini ameleta mzungu tu
 
unajua kwa nini wazazi wako wanakataa wakati ni dini ya kikiristo?? hiyo dini sio unavyofikiri! Hata shetani anaijua na kutumia biblia! CHUNGUZA

Ila baba yangu ni mdini sana! Hakubali ndugu yake yeyote kuhama dhehebu yake
 
Dini ni kitu kikubwa......mapigano yanatokea nchi nyingi sababu ya dini......huyu mschana nimempenda na nnaweza fanya anything ili niwe nae

kafungeni ndoa serikalini..
 
Kuhusu kumjua? Nnamjua vizuri sana lkn kama haitatosha nnaweza fanya kitu kimoja. Nimebahatika kupata mama msomi na ni psychologyst anaweza kukaa nae na kunisaidia kumjua zaidi
Mapezi ni kitu cha ajabu sana kwani huweza hata mfanya mtu akawa kiposi, hata akionyeshwa korongo hatoweza kuona, na hata tahadhari hupuuzwa. Hiki ndicho ninachokiona kwako.

Umependa kupita kiasi na unachotamani kusikia kutoka kwa wachangiaji ni kuungwa mkono ili ubadili dini na umpate huyo mchumba wako, sina hakika kama kama yeye kakupa kipaumbele kama ufanyavyo wewe.

Nenda taratibu na kwa umakini usijelia siku moja. Kuusemea moyo wa mtu ni jambo gumu sana kuliko unavyodhani. Mwanamke anaweza kuvunga (pretend) hata kwa miaka kumi mko pamoja na usigundue. Nahisi wewe bado kijana mdogo kwa umri.

Omba sana Mungu akusaidie katika maamuzi haya magumu ya kumpata mwenza kwa kubadili dhehebu. Fikiria kisawasawa usiendeshwe na hisia tu za kimapenzi, imani nayo ni muhimu.
 
Asante......ntajitahidi
 
.sio kila wakati tunafata moyo unasema nini, majira mengine AKILI hutumika na katika hili akili ichukue mkondo wake, kwanza anaposema wao ndo wanamjua Mungu na dini yao ndo ya ukweli, vipi yako wewe ina mapungufu gani na unamwabudu Mungu yupi usiyemjua kama wao?..kaka usikatae hapa ulikuja kutafuta mtu afananaye nawe kwenye maamuzi kwani umedhamiria kuwa na huyo dada hivyo twakutakia ELIMU njema na MAISHA mema, hatutaki yakushinde hadi kukuumiza nenda kwanza ukajifunze ndani ya hiyo ndoa na dini yako mpya utayoingia siku si nyingi, sie tutakuwepo hapahapa kukushauri.
 
moyo u radhi...

Moyo wa mtu ni mdanganyifu kuliko vitu vyote ndugu yangu, hakuna awezaye kuuelewa.... bado unafikiri ni sahihi kufuata moyo wako Excel?
 
Last edited by a moderator:
Jamani hapo dini gani mnazunhumzia..nkajua labda mkristo kwa mwislamu kumbe wote wakristo wa JAESUS tena!! Ok fanya hivi nenda kanisani kwake fanya mafunzo ya ndoa umuoe kisha rudi kanisani kwako endelea na maisha yako. Kikubwa si ndoa katka kanisa lake?? Fanya hivyo tafadhali akiwa kwako mnapanga wenyewe hata mkitaka kuwa makafiri sawa tu..msich eleweshe penzi lenu na upendo
 
Kuhusu hio dini.....najua tunatumia Bible moja. Na nimechunguza tayari sio ngumu sana kwa mtu mwenye maadili mema. Nimejitahidi ku sociolize na wazee wakongwe wa hio dhehebu. Ni kwamba tumetofautiana kidogo tu. Shida yangu ni kwamba! Wazazi na ndugu.

ss kwa akili yako ya kawaida, km Mungu anaehubiriwa ni 1 na biblia ni hiyo hiyo, hiyo tofauti ndogo ni ya nn?na inatoka wapi, mwili wa kristo ni 1, bt watumishi ndo wameitwa tofauti kila 1 na huduma yake kadri roho mtakatifu alivyotoa karama/vipawa kwa watu hao.
ww mwenyew hujaelewa imani ni nn ndo maana umeshikilia udhehebu (dini)km huyo mtu wako, na yy angekuwa anaelewa km Mungu ni 1 na wanaomuabudu yawapasa kumwabudu ktk Roho na kweli wala usingekuwa dilema!!

my take:be carefully usije kurudi hapa unalia
 
Huyu mschana kanibia nichange dini.....lkn yeye ameinsist kwamba nijifunze na nisadiki nitakayo fundishwa kama nitaamini......nitafikiria hilo bro. Mimi nnachoamini Mungu ni mmoja na dini ameleta mzungu tu

dini/madhehebu ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu bt Yesu kristo ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu kwa maana tulipotea baada ya anguko la adam wa kwanza.
so kinachotakiwa ni mawasiliano yako ww binafsi na Mungu kupitia Yesu kristo na si vinginevyo.
so dini/dhehebu unatakiwa kuwa mayo makino kwa maana unatakiw kuwa mahali sahihi sio kila madhabahu ni ya Mungu wa kweli
 
daaa fuata jiko hilo faster before wangine hawaja take_over....
 
Kijana una mihemuko ya mapenzi na kweli ushauri unaotafuta ni wa kukuunga mkono lkn mimi pia nakushauri kaa ufikirie

Upendo ni wa wawili, sasa kwa nini wewe ndo ujishughulishe tu wakati yeye hana mpango? Na pia hili kwa ufupi linaonyesha hata dini yako huijui ila umo tu kwa vile ilizaliwa na wazazi wa dini hiyo. Nakushauri nenda taratibu, ya wazazi isiyatupe kwa haraka kesho yakikukuta huko utakosa pakukimbilia. Na kumbuka kwa kushika dini kwao wanaijua hata hao Jehova kuliko wewe, sasa wanavyokukatalia usiwe mbishi.

Ila ukiamua kukomaa nenda kaoe kwani sisi au mzee wako hatutakuwepo
 
Ninavowajua hao mashaidi wa yehova ubadili dini au ukubali kumkosa.
 
Back
Top Bottom