Mawazo Yako Yanatawala Maisha Yako

Mawazo Yako Yanatawala Maisha Yako

No hakuna upweke ndugu yangu , nikuna wimbi la vijana wa hovyo tu, limekuja kwa kasi, ila waungwana tunatafakari turudi vipi kwa nyuzi zako.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿Thanks so much mkuu💪🏿💗
 
Sometimes pia mazingira yanayokuzunguka yanachangia hatma ya maisha yako pia. Hata kama una mawazo ya kuchukua balon dior hauwezi kufanikiwa ukiwa unacheza simba au yanga. Hata kama una mawazo ya kuwa tajiri namba moja duniani hauwezi kufanikiwa ukifanya uwekezaji wako Tanzania. Mawazo pia yanatakiwa kukutana na fursa
Exactly 💯
 
Hakika mawazo yetu ni mwanzo wa matokeo ya maisha yetu.
Ndio maana kuwa makini sana na watu ambao wanakuzunguka,bila kujua huwa wanakuathiri kidogo kidogo mwisho wa siku unakuwa katika mfumo wao

Lakini ukiwa around na watu wenye kuona mbali watakuathiri na mawazo chanya yenye kujenga
 
Kimsingi mazingira yanachangia kufanya programming ya mawazo..

Yaana mwenye akili timamu hawezi waza balloon d or akiwa simba au yanga, Kuna sababu zinazotufanya tuwaze..

Na mawazo yakishageuka kuwa nguvu yatakubadilishia mazingira na kukupa usaidizi wa kuyatimiza.

You think small and you will remain small for life.. Fid
Kwaiyo mazingira wezeshi na mawazo ni kipi kinatangulia? Diamond alisema ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja duniani. Unafikiri kuna posibility ya kufanikisha ilo akiwa Tanzania?
 
Ndio maana kuwa makini sana na watu ambao wanakuzunguka,bila kujua huwa wanakuathiri kidogo kidogo mwisho wa siku unakuwa katika mfumo wao

Lakini ukiwa around na watu wenye kuona mbali watakuathiri na mawazo chanya yenye kujenga
Ahsante kwa nukuu yako yenye motisha.

Sasa jinsi gani naweza kumtambua mtu na mawazo yake? Either yenye kujenga or yenye kuvomoa?
 
Kwaiyo mazingira wezeshi na mawazo ni kipi kinatangulia? Diamond alisema ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja duniani. Unafikiri kuna posibility ya kufanikisha ilo akiwa Tanzania?
Mawazo yanatangulia.

Kwakuwa hayo mawazo ndio yanatakiwa kutengeneza strategies ikiwemo Hilo la mazingira.

Nafikir hata mbape amemove Madrid akijua ni rahisi pale ku archive goals zake japo sisi atatwambia tu anaipenda.

N,b. Unaweza kuwadanganya watu unachowaza ila sio nafsi Yako. Yaani jambo ambalo ukisema nafsini mwako naweza utaweza na ambalo ukiwaza hili haliwezekana ni hivyohivyo.
 
Kuna situations ambazo mazingira wezeshi yanatangulia ndipo mawazo yanakuja mfano mfumo wetu wa elimu hautupi uwanda mpana kujua life purpose zetu. Hapo maana yake mazingira ni kikwazo, ndio maana wwmgi tunachelewa sana kuzijua purpose zetu hapa duniani wengine mpaka wanakufa hawajui wapo duniani kufanya nini
 
Sahihi
 
Ahsante kwa nukuu yako yenye motisha.

Sasa jinsi gani naweza kumtambua mtu na mawazo yake? Either yenye kujenga or yenye kuvomoa?
Unatambua mawazo ya mtu,pale mnapo zungumza khususani katika nyanja mbali mbali za maisha

Mtu mwenye mawazo ambayo si ya kujenga,utaona mtazamo wake ni juu ya kutowezekana kufanyika kwa mambo fulani,yani huwa ni mtu mwenye kukata tamaa na kukatisha watu tamaa

Siku zote atatafuta sababu za kuhalalisha kutofanikiwa kwa jambo bila hata kufanya utafiti,anaamini kuna baadhi ya mambo ni kwa ajili ya watu fulani tu na si kwa kila mtu,kwa mfano atakwambia biashara bwana ni ya watu wa jamii ya asia lkn wabongo tunabahatisha tu

Kiufupi hana mtazamo chanya kwa kila jambo,hupenda kulalamika zaidi hata kwa mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wake

Nadhani walau umepata picha fulani
 
Hapo nimeelewa ndugu.
 
Sometimes pia mazingira yanayokuzunguka yanachangia hatma ya maisha yako pia. Hata kama una mawazo ya kuchukua balon dior hauwezi kufanikiwa ukiwa unacheza simba au yanga. Hata kama una mawazo ya kuwa tajiri namba moja duniani hauwezi kufanikiwa ukifanya uwekezaji wako Tanzania. Mawazo pia yanatakiwa kukutana na fursa
Point
 
Back
Top Bottom