Mawazo ya Mwalimu wakati yupo chuo kuanzia sasa

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,973
6,610
Nimecopy na kupaste.

Naona wajinga wanafikiri mimi ndio nimendika.

Mods mmerekebisha title na kuondoa maneno copy and paste bila sababu.

*Muda Huo Ni Mwaka 2018 Ajira Zimetoka Nimeshapangiwa Shule Nimeanza Ualimu Wangu Fresh Tu*
*Natokea Home Kwangu Muda Natembea Kuelekea Shule Na Kibegi Changu Mgongoni Ndani Kuna Mastering Na Kijitabu Changu Cha Common Mistakes In English. Napishana Na Mwanafunzi Wangu Anavuta Bangi Namcheki Tu Halafu Napita Zangu.*

*Nafika Mbele Kidogo Nakutana Na Mabinti Wawili Ambao Nao Ni Wanafunzi Wangu Wa Kidato Cha 3 Mabinti Wamevaa Vimini Na Nyonyo Wame-busti Mpaka Zinafika Kwenye Kidevu.Napita Zangu Kimya Pasipo Kuwaongelesha*

*Nafika Shule Nawasabahi Walimu Wenzangu Staffroom,Nabeba Chaki Zangu Zakutosha Na Daftari Langu La Notes Naingia Darasani Nawasalimu Wanafunzi Wengine Hawatoi Salamu. Nakausha Napiga Zangu Pindi.Namaliza Nauliza Ambao Hawakufanya Zoezi Nililoacha Karibia Nusu Ya Darasa Nakuta Hawajafanya.Naagiza Waliofanya Wakusanye Na Baada Ya Kipindi Sioni Daftari Ofsini.*

*Namaliza Vipindi Vyangu Nasepa Kwenye Mishe zangu Zingine. Wiki 3 Zinapita Kila Nikitoa Zoezi WANAFUNZI Hawafanyi Na Mimi Nakausha Zangu*

*Daftari la Mahudhurio Kama Mwalimu Wa Darasa Nagundua Kuna WANAFUNZI Karibia 43 Hawajafika Shule Kwa Wiki3 Mfululizo, Nakausha Zangu Nawaweka ABSENTEES Naendelea Na Kazi Zangu*

*Wiki Ya MWISHO Wa Mwezi Napokea Kameseji Kangu Toka SIM BANKING KWAMBA KA-LAKI 5 KAMESOMA NASHUKURU MUNGU VIZURI TU*

Maisha Yanaendelea

*Malezi Ni Jukumu La Mzazi Wala Sio La Mwalimu.Tuache VIHEREHERE!*

*Mwanafunzi Hajanyoa Nywele Mwache, Kanyoa Kiduku Mwache, Kanyoa Panki Mwache, Kanyoa Kipanchonyo Mwache. Jifanye Kiherehere Uwakate Nywele Kinguvu Ndalichako Akushughulikie*

C&P
 
Safi
 
kwa masomo yako hayo
GE na Ll ajira sahau!
tunawapa kipaumbele walim wa sayansi!
unaweza ukajiajiri tu
 
Ifike hatua mada za kipuuzi puuzi kama hizi zifike mwisho sasa.
Kwani lazima uandike.
Ukiona ya kipuuzi pita bila kuandika.
Unadhani kila post inamaana hapa Jf.

Wewe ni dunderhead.
 
Ifike hatua mada za kipuuzi puuzi kama hizi zifike mwisho sasa.
Siku zote, acid hutulizwa na base, "and vice versa is true". Unategemea walimu na walimu tarajali watajadili nini kama wamekuwa "punching bags"? Maana serikali inawanyooshea kidole, jamii (wazazi) inawanyooshea vidole, maslahi nayo ni madogo. Wanajibu hukumu za serikali na jamii, na lundo la matusi waliyotukanwa kwa sababu ya content bila kuhangaika kujua context.

Kumbuka, "To every action there is an equal and opposite reaction" (Kanuni ya tatu ya Newton katika mwendo).
 
*Muda Huo Ni Mwaka 2018 Ajira Zimetoka Nimeshapangiwa Shule Nimeanza Ualimu Wangu Fresh Tu*
*Natokea Home Kwangu Muda Natembea Kuelekea Shule Na Kibegi Changu Mgongoni Ndani Kuna Mastering Na Kijitabu Changu Cha Common Mistakes In English. Napishana Na Mwanafunzi Wangu Anavuta Bangi Namcheki Tu Halafu Napita Zangu.*

*Nafika Mbele Kidogo Nakutana Na Mabinti Wawili Ambao Nao Ni Wanafunzi Wangu Wa Kidato Cha 3 Mabinti Wamevaa Vimini Na Nyonyo Wame-busti Mpaka Zinafika Kwenye Kidevu.Napita Zangu Kimya Pasipo Kuwaongelesha*

*Nafika Shule Nawasabahi Walimu Wenzangu Staffroom,Nabeba Chaki Zangu Zakutosha Na Daftari Langu La Notes Naingia Darasani Nawasalimu Wanafunzi Wengine Hawatoi Salamu. Nakausha Napiga Zangu Pindi.Namaliza Nauliza Ambao Hawakufanya Zoezi Nililoacha Karibia Nusu Ya Darasa Nakuta Hawajafanya.Naagiza Waliofanya Wakusanye Na Baada Ya Kipindi Sioni Daftari Ofsini.*

*Namaliza Vipindi Vyangu Nasepa Kwenye Mishe zangu Zingine. Wiki 3 Zinapita Kila Nikitoa Zoezi WANAFUNZI Hawafanyi Na Mimi Nakausha Zangu*

*Daftari la Mahudhurio Kama Mwalimu Wa Darasa Nagundua Kuna WANAFUNZI Karibia 43 Hawajafika Shule Kwa Wiki3 Mfululizo, Nakausha Zangu Nawaweka ABSENTEES Naendelea Na Kazi Zangu*

*Wiki Ya MWISHO Wa Mwezi Napokea Kameseji Kangu Toka SIM BANKING KWAMBA KA-LAKI 5 KAMESOMA NASHUKURU MUNGU VIZURI TU*

Maisha Yanaendelea

*Malezi Ni Jukumu La Mzazi Wala Sio La Mwalimu.Tuache VIHEREHERE!*

*Mwanafunzi Hajanyoa Nywele Mwache, Kanyoa Kiduku Mwache, Kanyoa Panki Mwache, Kanyoa Kipanchonyo Mwache. Jifanye Kiherehere Uwakate Nywele Kinguvu Ndalichako Akushughulikie*

C&P

Ilo ndilo tatizo lenu waalimu wasiozingatia elimu wanayosoma.

Mwalimu aliyeiva vizuri katika nyanja za psychology, philosophy and foundation of education hawezi kufanya uhuni kama huo. Kwanza ataanzaje. ?

Kama ualimu hatuuwezi tusomee kazi tunazoziweza. Ualimu tuwaachie wenyewe walimu.

Watanzania wanasifika kuwa ni miongoni mwa walimu bora duniani. Hivyo punguzeni mihemuko (emotions), tatizo lenu waalimu kama wewe ni kuwa mnadhani shuleni ni sehemu ya mashindano ambapo mwalimu ndiye anatakiwa kushinda.

Shule sio yako ivyo usifuate sheria zako mfano unampiga mwanafunzi bakora 15 au unampiga ngumi badala ya viboko, msichana unampiga matakoni badala ya mikononi.

Why?? Kwa nini??

Kwa iyo mnataka baadae wakiwa mahakimu kosa la kifungo cha miezi sita wawafunge watu miaka sita? Au mnafundisha nini kwa mfano huo?

TATIZO LENU mkiambiwa fuateni taratibu mnanuna badala ya kutii. Mnawadhalilisha wenyewe wenye Taaluma zao.
 
Malipo n hapa hapa dunian coz tayar walim washajenga chuki na wanafunzi kwaio tutegemee ongezeko la kufeli kwa asilimia kubwa
 
Ifike hatua mada za kipuuzi puuzi kama hizi zifike mwisho sasa.

Upuuzi wao upo wapi kama wanaswekwa rumande, na dunia nzima inatangaziwa mwalimu .mtu mbaya.

Me sipati picha gepi iliyotengenezwa kati mwalimu na mwanafunzi sasa hvi itakavyokuwa kubwa. Uje umdiscipline mtoto wa mtu ufunguliwe kesi, acha wazazi walelee watoto wao. Mwalimu kazi yako wee fundisha hesabu, kiswahili, english, sijui biology nk. Hayo ya kuchapa sijui adhabu wazazi watajua wenyewe..
 
Hivi wewe kabisa unaona hiyo mada ni ya mwalimu kabisa au vijana wa vijiweni!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom