Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 5,972
- 6,605
Nimecopy na kupaste.
Naona wajinga wanafikiri mimi ndio nimendika.
Mods mmerekebisha title na kuondoa maneno copy and paste bila sababu.
*Muda Huo Ni Mwaka 2018 Ajira Zimetoka Nimeshapangiwa Shule Nimeanza Ualimu Wangu Fresh Tu*
*Natokea Home Kwangu Muda Natembea Kuelekea Shule Na Kibegi Changu Mgongoni Ndani Kuna Mastering Na Kijitabu Changu Cha Common Mistakes In English. Napishana Na Mwanafunzi Wangu Anavuta Bangi Namcheki Tu Halafu Napita Zangu.*
*Nafika Mbele Kidogo Nakutana Na Mabinti Wawili Ambao Nao Ni Wanafunzi Wangu Wa Kidato Cha 3 Mabinti Wamevaa Vimini Na Nyonyo Wame-busti Mpaka Zinafika Kwenye Kidevu.Napita Zangu Kimya Pasipo Kuwaongelesha*
*Nafika Shule Nawasabahi Walimu Wenzangu Staffroom,Nabeba Chaki Zangu Zakutosha Na Daftari Langu La Notes Naingia Darasani Nawasalimu Wanafunzi Wengine Hawatoi Salamu. Nakausha Napiga Zangu Pindi.Namaliza Nauliza Ambao Hawakufanya Zoezi Nililoacha Karibia Nusu Ya Darasa Nakuta Hawajafanya.Naagiza Waliofanya Wakusanye Na Baada Ya Kipindi Sioni Daftari Ofsini.*
*Namaliza Vipindi Vyangu Nasepa Kwenye Mishe zangu Zingine. Wiki 3 Zinapita Kila Nikitoa Zoezi WANAFUNZI Hawafanyi Na Mimi Nakausha Zangu*
*Daftari la Mahudhurio Kama Mwalimu Wa Darasa Nagundua Kuna WANAFUNZI Karibia 43 Hawajafika Shule Kwa Wiki3 Mfululizo, Nakausha Zangu Nawaweka ABSENTEES Naendelea Na Kazi Zangu*
*Wiki Ya MWISHO Wa Mwezi Napokea Kameseji Kangu Toka SIM BANKING KWAMBA KA-LAKI 5 KAMESOMA NASHUKURU MUNGU VIZURI TU*
Maisha Yanaendelea
*Malezi Ni Jukumu La Mzazi Wala Sio La Mwalimu.Tuache VIHEREHERE!*
*Mwanafunzi Hajanyoa Nywele Mwache, Kanyoa Kiduku Mwache, Kanyoa Panki Mwache, Kanyoa Kipanchonyo Mwache. Jifanye Kiherehere Uwakate Nywele Kinguvu Ndalichako Akushughulikie*
C&P