big galacha
Member
- Jun 1, 2011
- 27
- 2
ahaaaaaaaa, kumbe ni wewe ndio unasalandia demu wanguHabari zenu wanajamvi!
Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili!
Nina GF wangu yuko Arusha me nko Mwanza, huyo binti 2likuwa 2naelewana sana na ofcourse alikuwa anaonyesha kunipenda na pia kunijali lakin kulikuwa na tatizo kuwa mara nyingi nikimpigia nakuta simu iko busy na nilivomuuliza akaniambia ni baba yake ila baada ya kumbana vizuri akaniambia kuna jamaa anamsuanbua ila ye hamtaki me nikakubali japo kwa shngo upande lakin kuanzia hapo amekuwa hana tym na me yani hata kuwasiliana ni mpaka me nimtafute na nisipomtafuta hata wiki ndo hatuwasilian wiki tofauti na kabla ya kumuuliza ambapo alikuwa ananipigia co chin ya mara tano!
Je ni vibaya kumuuliza mtu ki2 ambacho una wasiwasi nacho?
Msaada pliz katika hali hii nifanyaje?
Yako tamu,kamwaga naye kamwagwa!hawa watu siyo kabisa!!nataman kuwalaaniAchana naye haraka sana,mie yameshanikuta na nimemwaga,hawa madem walio wengi ni kama kunguru hawafugiki kabisa. Si afadhali yake kawa mke wa 4! Wa kwangu ni bonge la toto mtu wangu kitu kama Beyonce lakini nimemmwaga mwaaa na jamaa aliyemdanganya naye kamwaga mwaaa!
Umenifurahisha hapo mwisho. atafakari na achukue hatua = haki elimu. hahahahaha. tatizo wabongo mpaka waambiwe "sikutaki nimepata bwana zaidi yako" ndio wanaridhika japo ataanza mie nyingi mara nilikuwa mara nili mfanyia. jamani twendeni na wakati mtu akikuonesha vitendo we sepa usisubiri matusi na kashfa.Sasa usichokielewa mpaka hapo ni nini,.......tatizo mmezoea kusubiri kuambiawa maneno au kufanyiwa mambo ya kuumizwa ndio muuachie ngazi....tafakari na uchukue hatua
ni kwel nampenda sana na haya yote yameanza baada ya kumuonesha waziwazi jinsi ninavompenda kwan hapo mwanzo nlikuwa nikimuuliza ki2 kama hicho anajibu fresh bt now fulu kuringa!Nionavyo Mkuu umekuja jamvini kwa sababu bado unampenda huyo msichana, vyenginevyo ungelitimka visigino kisogoni.Kwa kuwa unapenda, mara nyengine ni bora "kusubiri ushahidi kamili" kulikoni kuchukua maamuzi ya haraka haraka ambayo tunakuja kuyajutia.Nakubali kuwa mawasiliano ni msingi wa mahusiano yoyote, kwa hiyo iko haja ya kuzungumza na kuambiana ukweli. Penginendio huyo binti ameshapata wake, pengine anacheza huku na huku, pengine unamsakama sanakwa wivu kiasi hana uhuru ndio sababu anakukwepa. Tusiangalie kasoro za wenzetu na kuzifumbia macho kasoro zetu.Ninachokushauri Mkuu zungumza naye akupe ukweli. Muulize kama yuko serious na uhusiano wenu. Mtake akueleze ukweli bila kuficha. Unaweza pia "kutingisha kiberiti". Mchokonoe kutafuta ukweli bado ikiwa ni mapema kwa kumwambia "ikiwa mambo ndio hivi bora yetu yaishe". Ikiwa lengo lake ni hilo atanasa tu, na utakuwa umempunguziamzigo wa kutamka lile ambalo yeye hana ubavu wa kulitamka. Mwisho wa habari ni wewe mwenyewe unayejua unachokitaka. Kila la heri.
Umbali nao unachangia haya mambo jamani, heri jirani aliye karibu kuliko mzazi/ndugu aliye mbali. Huyo binti sio malaika ni binadamu na anaweza kupata majaribu pia ktk mahusiano, kama kweli unampenda umechukua hatua gani kuhakikisha unamsaidia asiangukie majaribuni, hasa ukijua hampo karibu? Fanya juhudi kumshauri na kuhimiza upendo wako kwake. Akikataa basi atakukumbuka huko mbele ya safari. Ni kweli warembo wako wengi lkn A si sawa na B. Kilinde na kukipiginia kile ulicho nacho hadi pale utakaposhindwa